Rekodi kali za dunia zilizowekwa na Waafrika. Shikamoo SWESWE

Alikuwa ni beki raia wa Zimbabwe. lakini hili swala la kucheza dakika 90 pasipo kugusa mpira alilikana yeye mwenyewe kuwa ni habari za uongo.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃswese noma mzee
 
Ya Sweswe inawezekana endapo tu timu pinzani imiliki mpira kwa 80%-100% dakika zote la sivyo ni ngumu sana kutokea
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Na kocha hakumuona
 
Duh bila shaka alikua kipa na hawakufungwa wala hakukua na jaribio la kupigwa mpira golini siku hiyo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hiyo ya Sweswe kama ni kweli ni ngumu
Pia ya Sadio Mane ni ngumu sana. Ya Messi inaweza kuvunjwa.
 
Watu mnajadili ishu ya sweswe bila kujua hizi rekodi zinawahusu waafrika ila messi yumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ