Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sweswe Mungu anakuona ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au alikuwa kipaT. Swese katisha sana.
Ha ha haaa
Ni wapili (Katikati) kwenye picha hapo juu.Au alikuwa kipa
Kacheza ndaniAu alikuwa kipa
Namfananisha na yule Pape Ndaw wa MikiaT. Swese katisha sana.
Ha ha haaa
Kwanini asingiziwe?Alikuwa ni beki raia wa Zimbabwe. lakini hili swala la kucheza dakika 90 pasipo kugusa mpira alilikana yeye mwenyewe kuwa ni habari za uongo.
Ndio hapo sasa, ila kwenye utetezi wake aliomba atajiwe ni mechi ya tarehe ngapi na dhidi ya timu gani ambayo hakugusa mpira mwanzo mwisho.Kwanini asingiziwe?
Ur geniousWatu mnajadili ishu ya sweswe bila kujua hizi rekodi zinawahusu waafrika ila messi yumo