Rekodi mpya: Majeshi 15 makubwa zaidi barani Afrika 2025

1, Misri hawa kutokana na kuwa imezungukwa na nchi za mashariki ya kati zenye mizozo ya mara kwa mara ni lazima bajeti kubwa ielekezwe huko ili kujihakikishia usalama wake,,

2,7,11 hawa sina neno juu yao maana tangu ukuaji wangu sijawahi kusikia lolote juu ya kuhusika kwao na mizozo yoyote ya kivita,,

3, Hapana (kipimo ni namna gani Boko Haram wanadhibitisha hilo)

4, Kama watakuwa hapo namba nne maana yake ilitakiwa Tanzania tuwe namba tatu au mbili kabisa,,

5, Inawezekana ndio lakini mbona wameshindwa kuukabili mzozo wa Tigrey,,?

6, Yap nadhani wanastahili hata kuwa juu ya hapo maana Jonas Savimbi aliwapa darasa na wamejifunza namna gani nchi inatakiwa kuwa na jeshi imara,,

8, Acha utani Mshana Jr

9, Pengine sijajua hizi takwimu ni za mwaka gani lakini kile kinachoendea leo Sudan hawastahili kuwa humu

10, R.i.p Gaddafi mabwanyenye hawakutaka kuona unakuwa na jeshi la ndoto zako, jeshi la kusimamia na kulinda maslahi ya nchi zote za kiislamu na mashariki ya kati kwa ujumla,,

12, Mkuu Mshana Jr ficha hii Al Shabab wasije wakaona itakua msala kwa majirani,, hawajiwezi kwa lolote wale jirani zetu,,

13, ?

14, Yanayoendelea huko Cabo Delgado yanafikirisha,, sidhani kama wastahili kuwa hapo,,

15, ?
 
Ni rekodi mpya 2025
 
Rekodi haijazungumzia umahiri bali ukubwa
NB : orodha hii inatokana na idadi ya Vifaa vya Kisasa, Maendeleo ya Teknolojia ya Kijeshi, ndege, mizinga na mchango wa jumla kwa UN.
 
Ina maana vifaa pekee sio kipimo cha kukabiliana na maadui au machafuko.

Majeshi mengi hapo pamoja na Dhana bora na kisasa lakini wameshindwa kukabiliana na machafuko katika nchi zao

Amani ni matatizo katika nchi nyingi ulizo ziainisha hapo

Bora kupasua mawe kwa kichwa kuliko kununua rocket 🚀 ambayo haikusaidii katika kuleta amani, usalama na utulivu kwa sasa katika nchi
 
Ivi Hawa wanajeshi mtaan huku wenye vitambi wataweza mikikimiki lolote likitokea hizo picha za hao wanajeshi eeeh wako vizur
 
Wale wavunja tofali na mindege yao ya kizamani inayoungaruma kama sabufa mbona siwaon hapo

Wale jamaa tawii la CCM
 
Ni kutishana tuu, lakin pia hayo mambo ya vifaa ni vile wazungu wanapenda kuonekana bora. Leo hii ukienda ukanunu mandege ya marekan kwakuw unakuwa umewaungisha bhas unaweza kupanda mpka namba moja hapo.

Ila kama vifaa vyako unanunua nje ya Umoja wa ulaya, sahau kuwa kwenye hizo chati.
 
Back
Top Bottom