Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kama game ngumu ni hiyo....lakini Unai anawajuajua wale siyo mbaya.Arsenal bado anakazi ya kuupanda mlima Everest sasa yupo kwenye meter 4000 anaenda kucheza na timu ya kiwango cha kushangaza
Ndo zinatinga leo BabuChelsea na Arsenal zimeshatinga fainali au unazichuria tu?
Acha uongo Spain wameshafanya hivyo mara nyingi tu, tatizo lako unajua mpira wa EPL tuNdio Mara ya kwanza kwa historia ya ULAYA
Arsenal bado anakazi ya kuupanda mlima Everest sasa yupo kwenye meter 4000 anaenda kucheza na timu ya kiwango cha kushangaza
Acha uongo Spain wameshafanya hivyo mara nyingi tu, tatizo lako unajua mpira wa EPL tu