Rekodi mpya Ulaya

Rekodi mpya Ulaya

Ceas

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Posts
193
Reaction score
204
Wapenda michezo wenzangu naomba tukumbushane binafsi sikumbuki mara ya mwisho iliwekwa mwaka gani UEFA na ikitokea UROPA kukutanisha timu za ligi moja.
LIVERPOOL VS TOTTENHAM ( UEFA)


CHELSEA VS ARSENAL ( UROPA)
 
Kombe la UEFA anachukua Tottenham spurs na EUROPA Anabeba Chelsea ndoo tunawaachia Liverpool na arsenal
 
Arsenal bado anakazi ya kuupanda mlima Everest sasa yupo kwenye meter 4000 anaenda kucheza na timu ya kiwango cha kushangaza
Ni kweli mkuu ukizingatia yuko ugenn
 
Arsenal bado anakazi ya kuupanda mlima Everest sasa yupo kwenye meter 4000 anaenda kucheza na timu ya kiwango cha kushangaza
Ni kweli kama game ngumu ni hiyo....lakini Unai anawajuajua wale siyo mbaya.
 
Mechi ya leo Chelsea akitoka ni bahati,Chelsea bila Ngolo Kante hakuna kitu
 
Back
Top Bottom