Rekodi ya Kibadeni kwenye derby ya Kariakoo ipo rehani

Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.

Kwa Baleke.

Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.

Katika hii MICHEZO akifunga MAGOLI 3 hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.

Kwa sasa nisiseme nikamaliza
Raja ni kubwa kuliko hizo Yanga na Azam
 
Alishindwa Okwi itakuwa Baleke.
Simba akishinda 5 -0
Okwi mbili. 2
Kaseja.
Mafisango.
Sunzu.
Okwi alimuachia tu Kaseja apige Penalty aweke rekodi ya kuwa kipa pekee kufunga goli kwenye derby ya kariakoo la sivyo Emmanuel Emosting Okwi angevunja rekodi hiyo hata hivyo sio mbaya kwani Baleke ataimaliza hiyo kazi
 
Hapa washabiki wa yanga wanatetemeka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipimo sahihi kwangu Binafsi ni MICHEZO mi nne ijayo.

Kwa Baleke.

Yanga.
Azam.
Wydad.
Whydad.

Katika hii MICHEZO akifunga MAGOLI 3 hapo ndipo nitasema ni mshambuliaji mwenye uwezo.

Kwa sasa nisiseme nikamaliza
Wewe nawe usiifanye akili yako kuwa ngumu. Ndio umeambiwa atawafunga itopolo goli 3. Kwaio ni kipomo tosha
 
Unaota wewe. Baleke, tarehe 16/4 , hatafunga goli lolote na ndiyo utakuwa mwisho wa hii HYPE mnayompa huyo Mzaire feki
Ama kweli "wajinga watu" hivi kwa moto huu alionao Baleke pale Yanga kuna kitu gani cha kumpunguza kasi mtu hatari kama yule asifunge hiyo tar 16
 
Hapa washabiki wa yanga wanatetemeka[emoji23][emoji23][emoji23]
Baleke ni kama Jinamizi kwenye njozi kila wakilala wana weweseka kiwa itakuwaje hiyo tar 16
 
mayele ndiye anayeweza kuvunja hiyo rekodi coz kashawahi kufunga hadi goli mbili safi kwenye hii derby
 
mayele ndiye anayeweza kuvunja hiyo rekodi coz kashawahi kufunga hadi goli mbili safi kwenye hii derby
Goli 2 sio Hat trick na kwenye kuitafuta Hat trick katika mechi moja hakuna uhusiano wowote na mechi zilizopita na ndio maana atatakiwa kuanza moja tena hadi 3 kama anaitaka Hat trick na sio kuanzia mbili alizofunga huko nyuma
Mayele sio Striker wa Hat trick ni mchezaji wa kigoli kimoja kimoja tu akijitahidi sana 2 Hat trick labda awakute Zalan ya Sudan Kusini
 
Baeleze baelewe. Mayele yulee alishindwa, itakuwa huyu aliyejichokea na ambaye sasa uchoyo umemjaa attempts 10 atafunga moja tena la kulazimisha.
 
sasa tukianzia hapo hapo ulipoandika mayele aliyewahi funga goli mbili dhidi ya simba na beleke ambaye hakuwahi kucheza kabisa hiyo mechi nani wa kumpa credit iyo...yani uhusiao wa beleke kufunga hatrik unatokea wapi kama yule aliyewahi kufunga goli mbili ktk iyo mechi hawezi kuhusiana na goli tatu
 
Kinacho muhusisha Baleke hapo ni uwezo wake mkubwa wa kufunga Hat trick na kulifanya lionekane jambo rahisi tu na ndio maana kwenye mechi 06 za mwisho huyo mwamba ana Hat trick mbili
 
Huyo mvunjakuni wenu anateguka nyonga sio muda mrefu. . Bocco kaaga kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…