Rekodi ya Kibadeni kwenye derby ya Kariakoo ipo rehani

Huyo mvunjakuni wenu anateguka nyonga sio muda mrefu. . Bocco kaaga kwao
Bocco kuaga kwao hakuna uhusiao wowote na uwezo wa Jean Baleke ambaye pia ametoka kwao kwa kuaga
 
Kinacho muhusisha Baleke hapo ni uwezo wake mkubwa wa kufunga Hat trick na kulifanya lionekane jambo rahisi tu na ndio maana kwenye mechi 06 za mwisho huyo mwamba ana Hat trick mbili
vs timu gani
 
Mimi Ni mwananchi lkn Kuna wachezaji wa Simba nilikua nawakubali Kama King Kibaden, Tanzania one na Golden boy Zamoyoni.
 
Akishinda kwenye mechi hiyo moderators naombeni ban tafadhali
 
Kibadeni alipoipata ilikuwa ni mechi yake ya kwanza, hakuwahi kucheza kabla.
 
Mimi Ni mwananchi lkn Kuna wachezaji wa Simba nilikua nawakubali Kama King Kibaden, Tanzania one na Golden boy Zamoyoni.
Na sasa hivi Mwamba Jean Baleke nae lazima ukiri tu kuwa unamkubali au nakosea mkuu?
 
Kibadeni alipoipata ilikuwa ni mechi yake ya kwanza, hakuwahi kucheza kabla.
Ni bora umemuweka sawa mkuu huyu jamaa anafikiri kwakuwa Mayele aliwahi funga mawili kwenye mechi ya derby huko nyuma basi amebakisha kufunga moja kuipata Hattrick hajui kuwa hii mechi inaanza kivingne na Baleke anaweka rekodi yake mpya
 
Haya sasa leo ndio leo masaa mawili tu yamebaki Baleke kuweka Hat Trick yake ya kwanza kwenye Derby ya Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…