Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kama ni gumu Al ahly katoa wapi point 12,kundi gumu huwa ni mpaka mechi ya mwisho ndio huwa inaamua matokeo sio mshindi anajulikana mechi mbili kablaMaana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
Post hii itunzweMaana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
Na kundi la yanga ndio litakalotoa bingwa wa iyo michuano uku kundi la Simba lote likiishia robo fainali, iyo Ina maana kundi la yanga ndio kilikuwa kundi gumu zaidi!View attachment 2922780
Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13
Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8
Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0
Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
Bingwa wa Afcon 2023 katika group stageView attachment 2922780
Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13
Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8
Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0
Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
we sema Ahaly ana Nafasi ya kuchukua Ubigwa kwa sababu ya Rekodi zake ila usime Kundi la Yanga litoa Bigwa kwamba Na nyinyi Yanga mtachukua Ubigwa wepesi wa Kundi la Simba unatoka wapi wakati Wayda msimu uliopita katoka kucheza fainali galaxy Ndani ya Misimu mitatu kacheza group stage mara Mbili 2021/22 na 2023/24 Asec karibu kila msimu anacheza michuano ya CAF wew Yanga una misimu mingapi hujacheza makundi ya ligi ya mabigwaNa kundi la yanga ndio litakalotoa bingwa wa iyo michuano uku kundi la Simba lote likiishia robo fainali, iyo Ina maana kundi la yanga ndio kilikuwa kundi gumu zaidi!
Rudini mkadai goal lenu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnasahau tuliny8mwa goli na refa tulipocheza na Meadeame.
Kumbe kufuzu ni kufuzu tu, sasa mlichokuwa mnajisifia mmefuzu huku mna mechi mkononi hiyo mechi imewasaidia nini?Kufuzu ni kufuzu haijalishi unafuzu kwa point ngapi. Ivory coast alifuzu akiwa na point 3 pekee lakini mwisho wa siku akabeba kombe.
Kilichoshangiliwa ni kukataa tiketi ya robo fainali mapema kabla ya mechi ya mwisho. Mbona vitu vidogo tu unavifanya viwe vigumu kuelewa?Kumbe kufuzu ni kufuzu tu, sasa mlichokuwa mnajisifia mmefuzu huku mna mechi mkononi hiyo mechi imewasaidia nini?
KUFUZU ni KUFUZU TUKilichoshangiliwa ni kukataa tiketi ya robo fainali mapema kabla ya mechi ya mwisho. Mbona vitu vidogo tu unavifanya viwe vigumu kuelewa?
Ngumu wapi bhana,mgumu hapo ni Al Ahly tu,hii ni club bingwa hakuna kundi ambalo siyo ngumu msitafute visingizioMaana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani
Bingwa safari hii ni mamelod.Na nimeota atacheza fainali na Simba ya Tanzania.ni ndoto lakini.Maana yake ni kwanba kundi la YANGA ndio lilikuwa kundi gumu ndio maana unaona point chache na mdio kundi litakalotoa bingwa wa mashindano maana ni kundi lenye ushindani