Rekodi zinaonesha kuwa Simba SC ni klabu bora zaidi Afrika Mashariki

Simba Sports Club
One Team, One Dream
Nguvu Moja!!
 
Simba ameanza kucheza na Al ahly miaka ya 80 akamfunga 2-1 mechi ilichezwa Mwanza maridhiano akafungwa 2-0, miaka hiyohiyo ya 80 akikutana na yanga akapokea kichapo cha goli 4
 
Wazee wa kufa kiume wanajulikana.si ni hawahawa wa mbele daima nyuma mwiko[emoji1][emoji1].
 
WAMEWAHI kukutana kwenye michuano ya CAF WINNERS CUP ambapo mechi ya kwanza al ahly alishinda kwao 2-0 na mechi ya marudiano SIMBA alishinda 2-1.
 
Yeah, maana tunajua yule kanjibai hawezi tamka vizuri 😅😅
Kweli kabisa....
Huna kisa chochote mtani ukitupie turefresh jamani na ushindi wetu wa kumdindia Alhyl...
🤣 🤣
 
Kweli kabisa....
Huna kisa chochote mtani ukitupie turefresh jamani na ushindi wetu wa kumdindia Alhyl...
🤣 🤣
Acha mwezi huu upite, ubize upungue mtani. Mwezi ujao tutarefresh vizuri humu jukwaani😅😅😅
 
Hata Man U ni timu Bora Sana ukanda wa Bara la Ulaya na dunia kwa ujumla,,Kwa rekodi pia
 
NYUZI ZA KUJIFARIJI ZIMEKUWA NYINGI HALAFU GHAFLA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…