Rekodi zinaonesha kuwa Simba SC ni klabu bora zaidi Afrika Mashariki

Tz Kuna wapumbavu ndio maana hata umeme unaporudi mijitu mnashangilia huoooo!!.
Yaani unakuwa bora kwakutoa draw na Al Ahly?, Huyo usm Algers aliyemkanda asemeje? Hebu tupunguze upumbavu?. Ubora unakura hamsaa?
Unaongozwa na chuki au uhalisia wa kitakwimu na ufundi?Ukijibu hili swali nakupatia ngao ya jamii uende nayo nyumbani kwenu.
 
Unaongozwa na chuki au uhalisia wa kitakwimu na ufundi?Ukijibu hili swali nakupatia ngao ya jamii uende nayo nyumbani kwenu.
Jifunzeni kwa wanaojua

Na Hersi ashaenda kwa Madiba kuchukua tuisheni ya jinsi ya kumfunga huyo mwarabu koko

Timi nzima mnaringia droo

Aahaaaa
 
Jana kuna mtangazaji alikua anasema simba ndio timu ya kwanza kufanya mashindano wakiwa wamevaa viatu na pia ni timu ya kwanza kupanda ndege wakienda kwenyw mechi ethiopia kama sjakos. Ila kwenye ukweli tuseme tu simba wanazingua lakini wako njema
 
WAjifunze kwa wanaojua
 
Unaongozwa na chuki au uhalisia wa kitakwimu na ufundi?Ukijibu hili swali nakupatia ngao ya jamii uende nayo nyumbani kwenu.
Ujinga umekuwa mwingi.... Takwimu za kuishia robo kila shindano zina maana gani?, Ndio maana hata taasisi za elimu zina ukomo wa mtoto kukariri darasa... Takwimu za kuferi?, Miaka 5 ya Simba kuingia robo katika kila shindano zinafaid gani zaidi ya kufa kiume!.
 
Acha chuki.Moyo utaacha kufanya kazi kwa uvupumba wako.Yanga walifika robo fainali mwaka gani kwenye AFL?
 
Acha chuki.Moyo utaacha kufanya kazi kwa uvupumba wako.Yanga walifika robo fainali mwaka gani kwenye AFL?
Wewe ni mpunbavu unajua maana ya kufika na kuteuliwa kucheza AFL?, Simba amecheza mechi ipi akaingia robo fainali?.
AFC ni Bonanza ambalo limeteua timu Kama CCM wanavyoteua wanawake wao kuwa wabunge wa viti maalaum.... Ndio maana Rais wa CAF alisema msimu unaofuata timu zitapatikana kutokana na kufanya vizuri ligi za ndani na rank zao... Puuzi wewe!
 
Unaandika meeengi.Dalili ya ujingaujinga.Yanga watateuliwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…