lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Wewe umeishia wapi?Ila umeishia robo
Au mara ya mwisho kuingia robo ilikua lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeishia wapi?Ila umeishia robo
Jibu swaliWewe umeishia wapi?
Au mara ya mwisho kuingia robo ilikua lini?
Unaongozwa na chuki au uhalisia wa kitakwimu na ufundi?Ukijibu hili swali nakupatia ngao ya jamii uende nayo nyumbani kwenu.Tz Kuna wapumbavu ndio maana hata umeme unaporudi mijitu mnashangilia huoooo!!.
Yaani unakuwa bora kwakutoa draw na Al Ahly?, Huyo usm Algers aliyemkanda asemeje? Hebu tupunguze upumbavu?. Ubora unakura hamsaa?
Jifunzeni kwa wanaojuaUnaongozwa na chuki au uhalisia wa kitakwimu na ufundi?Ukijibu hili swali nakupatia ngao ya jamii uende nayo nyumbani kwenu.
Jifunzeni kwa wanaojua
Na Hersi ashaenda kwa Madiba kuchukua tuisheni ya jinsi ya kumfunga huyo mwarabu koko
Timi nzima mnaringia droo
AahaaaaView attachment 2792131
Akishinda Mamelodi na Yanga kashindaKwa hiyo hapo Utopoloni ndiyo mmeshinda?
Sasa hapo utabisha kwamba aliyekuloga amekufa?Akishinda Mamelodi na Yanga kashinda
Aliyeniroga ndo mganga wa Mamelodi SundownsSasa hapo utabisha kwamba aliyekuloga amekufa?
WAjifunze kwa wanaojuaJana kuna mtangazaji alikua anasema simba ndio timu ya kwanza kufanya mashindano wakiwa wamevaa viatu na pia ni timu ya kwanza kupanda ndege wakienda kwenyw mechi ethiopia kama sjakos. Ila kwenye ukweli tuseme tu simba wanazingua lakini wako njema
Ujinga umekuwa mwingi.... Takwimu za kuishia robo kila shindano zina maana gani?, Ndio maana hata taasisi za elimu zina ukomo wa mtoto kukariri darasa... Takwimu za kuferi?, Miaka 5 ya Simba kuingia robo katika kila shindano zinafaid gani zaidi ya kufa kiume!.Unaongozwa na chuki au uhalisia wa kitakwimu na ufundi?Ukijibu hili swali nakupatia ngao ya jamii uende nayo nyumbani kwenu.
Acha chuki.Moyo utaacha kufanya kazi kwa uvupumba wako.Yanga walifika robo fainali mwaka gani kwenye AFL?Ujinga umekuwa mwingi.... Takwimu za kuishia robo kila shindano zina maana gani?, Ndio maana hata taasisi za elimu zina ukomo wa mtoto kukariri darasa... Takwimu za kuferi?, Miaka 5 ya Simba kuingia robo katika kila shindano zinafaid gani zaidi ya kufa kiume!.
Wewe ni mpunbavu unajua maana ya kufika na kuteuliwa kucheza AFL?, Simba amecheza mechi ipi akaingia robo fainali?.Acha chuki.Moyo utaacha kufanya kazi kwa uvupumba wako.Yanga walifika robo fainali mwaka gani kwenye AFL?
Unaandika meeengi.Dalili ya ujingaujinga.Yanga watateuliwa lini?Wewe ni mpunbavu unajua maana ya kufika na kuteuliwa kucheza AFL?, Simba amecheza mechi ipi akaingia robo fainali?.
AFC ni Bonanza ambalo limeteua timu Kama CCM wanavyoteua wanawake wao kuwa wabunge wa viti maalaum.... Ndio maana Rais wa CAF alisema msimu unaofuata timu zitapatikana kutokana na kufanya vizuri ligi za ndani na rank zao... Puuzi wewe!
Na nyie si mmeanzia na kuishia hapo hapoAcha chuki.Moyo utaacha kufanya kazi kwa uvupumba wako.Yanga walifika robo fainali mwaka gani kwenye AFL?
Yanga walianzia wapi?Na nyie si mmeanzia na kuishia hapo hapo
Aaahaahaa
Waulize AFLYanga walianzia wapi?
Sisi tunakufaga kiume, nyie mnakufaga kike kike.Stori za kufa kiume zime expire sasa zimeanza za rekodi?
Roho inawauma wachawi ninyi.Na bado!😂😂😂😂Waulize AFL