Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Kufa ni kufa tuSisi tunakufaga kiume, nyie mnakufaga kike kike.
Aahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa ni kufa tuSisi tunakufaga kiume, nyie mnakufaga kike kike.
Roho inaniuma kuona nyie mmeanzia robo mkaishia roboRoho inawauma wachawi ninyi.Na bado!😂😂😂😂
Naona ufloat baada ya kukupga kwwnye mshono... Yanga ataingia kwa ubora wake...Unaandika meeengi.Dalili ya ujingaujinga.Yanga watateuliwa lini?
Ninyi mtaanzia nusu fainali mvalishwe kamba shingoni.Roho inaniuma kuona nyie mmeanzia robo mkaishia robo
Aaahaaaa
Usijidanganye.Hakuna bora mbili.Uliza uelekezwe.Simba ni Simba tu.Hutaki,kufa ufariki.Naona ufloat baada ya kukupga kwwnye mshono... Yanga ataingia kwa ubora wake...
AaahaaasNinyi mtaanzia nusu fainali mvalishwe kamba shingoni.
Kumbe nafanya mijadala na zombie... Kha 🏃🏃Usijidanganye.Hakuna bora mbili.Uliza uelekezwe.Simba ni Simba tu.Hutaki,kufa ufariki.
Ngoja tuone.Hivi Al Ahly mliwasindikiza "eyapoti"?Aaahaaas
Mwakani siyo mbali
Tunataka tukuonyeshe jinsi ya kufika nusu mpaka fainali
Ulitaka niwe serious kwa akili zako hizo?Kumbe nafanya mijadala na zombie... Kha 🏃🏃
Sawa mwerevu hebu tuoneshe rekodi za timu yako dhidi ya AL AHLY.Tz Kuna wapumbavu ndio maana hata umeme unaporudi mijitu mnashangilia huoooo!!.
Yaani unakuwa bora kwakutoa draw na Al Ahly?, Huyo usm Algers aliyemkanda asemeje? Hebu tupunguze upumbavu?. Ubora unakura hamsaa?
Anazo?Kazi yake kuviziavizia tu.Sawa mwerevu hebu tuoneshe rekodi za timu yako dhidi ya AL AHLY.
No tumewasindiiza kwenye kinywa cha Mamelodi SundownsNgoja tuone.Hivi Al Ahly mliwasindikiza "eyapoti"?
Historia inaanza pale Club zilipoanza kukutana ,Simba namkubwa mwenzake walianza kukutana mama Yako alikuwa hajachumbiwa!Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo Simba alifungwa 5-0, baadae Match ilivyoamia Tanzania Simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania Simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.
Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA
SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2
TOTAL MTCH - 6
Kuna khamsa..!!Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo Simba alifungwa 5-0, baadae Match ilivyoamia Tanzania Simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania Simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.
Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA
SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2
TOTAL MTCH - 6
TIMU KUBWA HAIPAMBANII MEDALI INAPAMBANIA KOMBE.Timu kubwa gani haina hata medali moja ya CAF
Mwaka 1993 ulikuwa umeshazaliwa?Timu kubwa gani haina hata medali moja ya CAF
Medali za kabla Yesu hajazaliwa hizoMwaka 1993 ulikuwa umeshazaliwa?
Kwa hiyo husomi biblia kwa sababu iliandikwa siku nyingi?Medali za kabla Yesu hajazaliwa hizo
Aahahaaa