Maimae mwanangu umetisha ile mbaya.Kwa kua rais kaingia kijeuri madarakani nakuapia lazima amuweke jeuri mwenzie tulia mtu aliyefirisika nyama za kukalia hata km hakatwi tozo yoyote
Habari za redio mbao za ndani ni kuwa Tulia anapanga vote of no confidence/ impeachment bungeni kwa Rais Samuya.Sijaona sababu ya Tulia kuondolewa maana aliendana na regime iliyopo lakini kikubwa, ni mtu anaeijua sheria vizuri hivyo ni rahisi kucheza nayo anavyotaka
Kwa mfumo huu uliopo unahitaji ng'ombe asiyeijua sheria sana na asiye mjuaji ili iwe rahisi kumuendesha, ndio maana hata majina ya wagombea wa uchaguzi yalikuwa ni ya hovyo tu.Sijaona sababu ya Tulia kuondolewa maana aliendana na regime iliyopo lakini kikubwa, ni mtu anaeijua sheria vizuri hivyo ni rahisi kucheza nayo anavyotaka
Tulia anaweza kuwa waziri MkuuTangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.
Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??
Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi, 2025-2030 tutakuwa na spika mpya.
Week ijayo kitaeleweka…
Hivi ni madudu gani haya unaongea? maana hayana mguu wala kichwa, yapo tu kama matraco barabarani yanasubiri wateja.Wamuweke Baba levo awe spika maana Majizi ya Ccm hayana tofauti na yale Manyumbu yaliyoandamana juzi kuiba na kuharibu mali za watu wote kazi yao ni moja kuharibu nchi.
Ni siku chache zimepita hivyo, Dr. Tulia atakuwa mjinga wa mwisho kufanya movement bila assurance ya kiti.Habari za redio mbao za ndani ni kuwa Tulia anapanga vote of no confidence/ impeachment bungeni kwa Rais Samuya.
Rais Samuya anapanga kumpangua Tulia asiwe Spika.
Inaonekana haya mauaji hata CCM wenyewe yamewastua.
Naunga mkono hojaTangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.
Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??
Huitaji muerevu au mjinga ila unahitaji mmoja kati yao mwenye kiu ya madaraka anayeweza kufanya lolote ili asipoteze power aliyonayo.Kwa mfumo huu uliopo unahitaji ng'ombe asiyeijua sheria sana na asiye mjuaji ili iwe rahisi kumuendesha, ndio maana hata majina ya wagombea wa uchaguzi yalikuwa ni ya hovyo tu.
Really? Tulia huo ujasiri kautoa wapi?Habari za redio mbao za ndani ni kuwa Tulia anapanga vote of no confidence/ impeachment bungeni kwa Rais Samuya.
Rais Samuya anapanga kumpangua Tulia asiwe Spika.
Inaonekana haya mauaji hata CCM wenyewe yamewastua.
Bota Lukuvi mara 1,000 kuliko wengineTangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.
Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??
Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi, 2025-2030 tutakuwa na spika mpya.
Week ijayo kitaeleweka…
Wanaogopa kuuawa nao.Really? Tulia huo ujasiri kautoa wapi?
Na kama mauaji yamewastua mbona hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mbele na kukemea hadharani yaliyotokea?
Wote wako kimya.
Yuko wapi yule Butiku? Pinda? Sumaye?
Their silence is very telling…….
Sura yake inatuharibia sura ya taifa.Kwa kua rais kaingia kijeuri madarakani nakuapia lazima amuweke jeuri mwenzie tulia mtu aliyefirisika nyama za kukalia hata km hakatwi tozo yoyote