Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
🤣🤣Sura yake inatuharibia sura ya taifa.
🤣🤣Sura yake inatuharibia sura ya taifa.
Huyu Tulia hana utofauti na Samuya. Kama alishindwa kupinga utekaji kipindi ana hayo madaraka unadhani kwa sasa ndio atampinga huyo shetani?Habari za redio mbao za ndani ni kuwa Tulia anapanga vote of no confidence/ impeachment bungeni kwa Rais Samuya.
Rais Samuya anapanga kumpangua Tulia asiwe Spika.
Inaonekana haya mauaji hata CCM wenyewe yamewastua.
Tofauti ni kwamba mmoja ni mdanganyika na mwingine mwizenjHuyu Tulia hana utofauti na Samuya. Kama alishindwa kupinga utekaji kipindi ana hayo madaraka unadhani kwa sasa ndio atampinga huyo shetani?
Ila wote wana malengo sawa.Tofauti ni kwamba mmoja ni mdanganyika na mwingine mwizenj
Hapana. Kila mmoja ana yake na vyake. Sura mbaya ni chawa wakati samuya ni mfuga chawa. Sura mbaya anataka kudandia mgogo wa sumuya wakati sura mbaya hana cha kumpa sumuya zaidi ya utu wake japo wote ni masheitwaani audhbillahi minaashaitwan rajiim.Ila wote wana malengo sawa.
Ujitokeze mbele ili waue mifumo yako ya maisha😂? Are you on your right mind? Who wants to die broke?Really? Tulia huo ujasiri kautoa wapi?
Na kama mauaji yamewastua mbona hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mbele na kukemea hadharani yaliyotokea?
Wote wako kimya.
Yuko wapi yule Butiku? Pinda? Sumaye?
Their silence is very telling…….
Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.
Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??
Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi, 2025-2030 tutakuwa na spika mpya.
Week ijayo kitaeleweka…
Hawezi kuwa na makali kwa jinsi mfumo ulivyo. He will be leashed as well!Bota Lukuvi mara 1,000 kuliko wengine
So what?Ujitokeze mbele ili waue mifumo yako ya maisha😂? Are you on your right mind? Who wants to die broke?
Wanasema kuna tofauti kati ya Samia wa kabla ya November 29 na wa baada ya hapo.Huyu Tulia hana utofauti na Samuya. Kama alishindwa kupinga utekaji kipindi ana hayo madaraka unadhani kwa sasa ndio atampinga huyo shetani?
Mkiwa mnaandamana Marekani, msifiche sura, halafu chomeni miundo mbinu ya Wamarekani na Mali za Watu, kuonyesha Demokrasia ilivyo juu huko, mkilifanikisha hilo huku Tanzania tutawaunga mkono.🙏So what?
I’d rather die broke than compromise my principles in the face of unspeakable atrocities.
All money ain’t good money.
Kwa kitendo alichokifanya hata Shetani mwenyewe atamkana.Wanasema kuna tofauti kati ya Samia wa kabla ya November 29 na wa baada ya hapo.
Kwamba hata shetani naye huwa anawakataa wafuasi wake fulani wanapozidisha ushetani akisema mimi sikuwafundisha hivyo 😂😂
Now I know someone is going to get a hard on just from me mentioning shetani figuratively.
Ungekuwa wewe ndiyo huko pale juu ungechukua hatua gani dhidi ya kundi la wahalifu walioamua kuchoma, kuvunja, kuiba na kujeruhi kwa kichaka cha maandamano ya amani?Kwa kitendo alichokifanya hata Shetani mwenyewe atamkana.
Kwahiyo sheria inasema wahalifu wauwawe?Ungekuwa wewe ndiyo huko pale juu ungechukua hatua gani dhidi ya kundi la wahalifu walioamua kuchoma, kuvunja, kuiba na kujeruhi kwa kichaka cha maandamano ya amani?
Kwa tulipofikia hatua zilizochukuliwa ni sahihi, tena walichelewa kuchukua hatua hizo ndiyo maana uharibifu ukawa Mkubwa. Siku nyingine wasichelewe kiasi kile.Kwahiyo sheria inasema wahalifu wauwawe?
Mkiwa mnaandamana Marekani, msifiche sura, halafu chomeni miundo mbinu ya Wamarekani na Mali za Watu, kuonyesha Demokrasia ilivyo juu huko, mkilifanikisha hilo huku Tanzania tutawaunga mkono.🙏
....utaundiwa zengwe, na mengine matatu nimeyasahau!!!Tulia ameishaingia kwenye mstari wao.impeachment bungeni