Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.

Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??

Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi, 2025-2030 tutakuwa na spika mpya.

Week ijayo kitaeleweka…
We don't give a fuuuuck...
 
Naunga mkono hoja
Spika mpya anapaswa awe Prof. Kabudi Thread 'Wito kwa CCM: Lukuvi ni mzoefu, Simbachawene mpole sana. Nashauri twende na Kabudi ndio aweze kuongoza Bunge' GE2025 - Wito kwa CCM: Lukuvi ni mzoefu, Simbachawene mpole sana. Nashauri twende na Kabudi ndio aweze kuongoza Bunge

Ila sio lazima awe Kabudi, Dr. Tulia anaweza kurudishwa ili tusopoteze cheo cha rais wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU
P
Wewe unawaza kiti cha urais wa mabunge,wenzako wanawaza urais usio na kikomo. Pole sana. Katiba inakwenda kubadilishwa ili kumuwezesha Samuya kugombea tena.
 
Wamuweke Baba levo awe spika maana Majizi ya Ccm hayana tofauti na yale Manyumbu yaliyoandamana juzi kuiba na kuharibu mali za watu wote kazi yao ni moja kuharibu nchi.
Hivi wewe dogo ulipotelea wapi
 
Hivi huyu aliyepo mnamuonaje mbona kama afya yake n mgogoro naona kama hatoboi 2030

Yule naibu wake apashe tu
 
Back
Top Bottom