Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

Habari za redio mbao za ndani ni kuwa Tulia anapanga vote of no confidence/ impeachment bungeni kwa Rais Samuya.

Rais Samuya anapanga kumpangua Tulia asiwe Spika.

Inaonekana haya mauaji hata CCM wenyewe yamewastua.
Huyu Tulia hana utofauti na Samuya. Kama alishindwa kupinga utekaji kipindi ana hayo madaraka unadhani kwa sasa ndio atampinga huyo shetani?
 
Ila wote wana malengo sawa.
Hapana. Kila mmoja ana yake na vyake. Sura mbaya ni chawa wakati samuya ni mfuga chawa. Sura mbaya anataka kudandia mgogo wa sumuya wakati sura mbaya hana cha kumpa sumuya zaidi ya utu wake japo wote ni masheitwaani audhbillahi minaashaitwan rajiim.
 
Really? Tulia huo ujasiri kautoa wapi?

Na kama mauaji yamewastua mbona hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mbele na kukemea hadharani yaliyotokea?

Wote wako kimya.

Yuko wapi yule Butiku? Pinda? Sumaye?

Their silence is very telling…….
Ujitokeze mbele ili waue mifumo yako ya maishaπŸ˜‚? Are you on your right mind? Who wants to die broke?
 

Hako kachawi katolewe tu.
 
Ujitokeze mbele ili waue mifumo yako ya maishaπŸ˜‚? Are you on your right mind? Who wants to die broke?
So what?

I’d rather die broke than compromise my principles in the face of unspeakable atrocities.

All money ain’t good money.
 
Huyu Tulia hana utofauti na Samuya. Kama alishindwa kupinga utekaji kipindi ana hayo madaraka unadhani kwa sasa ndio atampinga huyo shetani?
Wanasema kuna tofauti kati ya Samia wa kabla ya November 29 na wa baada ya hapo.

Kwamba hata shetani naye huwa anawakataa wafuasi wake fulani wanapozidisha ushetani akisema mimi sikuwafundisha hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚

Now I know someone is going to get a hard on just from me mentioning shetani figuratively.
 
So what?

I’d rather die broke than compromise my principles in the face of unspeakable atrocities.

All money ain’t good money.
Mkiwa mnaandamana Marekani, msifiche sura, halafu chomeni miundo mbinu ya Wamarekani na Mali za Watu, kuonyesha Demokrasia ilivyo juu huko, mkilifanikisha hilo huku Tanzania tutawaunga mkono.πŸ™
 
Reactions: Lax
Kwa kitendo alichokifanya hata Shetani mwenyewe atamkana.
 
Kwa kitendo alichokifanya hata Shetani mwenyewe atamkana.
Ungekuwa wewe ndiyo huko pale juu ungechukua hatua gani dhidi ya kundi la wahalifu walioamua kuchoma, kuvunja, kuiba na kujeruhi kwa kichaka cha maandamano ya amani?
 
Ungekuwa wewe ndiyo huko pale juu ungechukua hatua gani dhidi ya kundi la wahalifu walioamua kuchoma, kuvunja, kuiba na kujeruhi kwa kichaka cha maandamano ya amani?
Kwahiyo sheria inasema wahalifu wauwawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…