Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

Sijaona sababu ya Tulia kuondolewa maana aliendana na regime iliyopo lakini kikubwa, ni mtu anaeijua sheria vizuri hivyo ni rahisi kucheza nayo anavyotaka
Amewahi kushinda kesi gani tofauti na ile ya uchaguzi watu wakae mita Mia mbili baada ya kupiga kura?
 
Umejuaje nilikuwa nasubiria uhitimishe kuandika nikuulize leo shetani kafufuka?
 
Zungu anapewa uspika
Naibu wake Nagma, mwana mama mzenji, atameithi Zungu baadae kwa umri au sababu za kiafya
Tulia anakuwa PM au Deputy PM
 
Umejuaje nilikuwa nasubiria uhitimishe kuandika nikuulize leo shetani kafufuka?
Mimi nina uwezo wa kujua utakachofikiri kabla hujafikiri, kama Saddam Hussein.

Saddam Hussein alikuwa anawaambia mawaziri wake kuwa yeye Saddam Hussein ana uwezo wa kumjua nani atamsaliti kabla huyo mtu atakayemsaliti Saddam hajajua kuwa atamsaliti Saddam 😂😂😂😂
 
Kabudi anaenda kuongoza wakina baba Levo kutoka kuendesha wasomi UDSM mpaka kuendesha wakina baba Levo amepanda amshuka Msukuma
 
Mzee Mayalla huna maono kabisa.

Kama wazee wa Taifa ndio wewe, basi hili Taifa limeangamia.
 
Mkeka wako umetiki
 
Zungu anapewa uspika
Naibu wake Nagma, mwana mama mzenji, atameithi Zungu baadae kwa umri au sababu za kiafya
Tulia anakuwa PM au Deputy PM
Lets bookmark this for reference
 
Nimekukubali Thread 'Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?' Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?
P
 
Wamuweke Baba levo awe spika maana Majizi ya Ccm hayana tofauti na yale Manyumbu yaliyoandamana juzi kuiba na kuharibu mali za watu wote kazi yao ni moja kuharibu nchi.
Kwahiyo nawe unakubali kuwa CCM ni majizi Lucha?
 
Lakini hakuona kifo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…