MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Sikuhizi mikitano ya Ulaya na Marekani imeadimika?
Kwa hiyo zile 4R tumeachiwa tuzikariri wenyewe kwa Kiingereza chetu cha ugoko?haha nakumbuka alikuwa anasema “ hatuwezi kujifungia ndani sisi siyo kisiwa lazima tufungue nchi” tena kwa mbwembwe na kejeli nyiingi, sasa fungate limeisha nafikiri, hamna pa kwenda tena cha ajabu hata umangani tu siku hizi kimya …
🤣🤣🤣🤣 Mkuu kwani wafadhili wa mechi pale Picnic wanasemaje?Huyu UWT hana nauli, yupo ofisi ya UWT kata ya Kaloleni, nimemuona asubuhi ya saa 4
Hilo jipu la hapo nyuma kwako ushatumbua?Mtu unakaa zako unawaza ujinga gani nikaandike jf unatuona wana jf kama m@t@kø yako.
Ni mtu mzima hana mvuto tena, CCM wanazini na mabinti wadogo under 23, lakini huyu ni mzee tayari ana 39🤣🤣🤣🤣 Mkuu kwani wafadhili wa mechi pale Picnic wanasemaje?
Binti huyu ni yupi? Nipeni hata codes.Ni mtu mzima hana mvuto tena, CCM wanazini na mabinti wadogo under 23, lakini huyu ni mzee tayari ana 39
Mama watoto ikifikia hiki kipindi cha mikutano ya CCM kama nipo Dodoma, huwa anaomba ruhusa kazini kwake na kuhakikisha anakuwa nami "mguu bandika, mguu bandua" mpaka watakapomaliza na kuondoka hapa mjini.Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja.
Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa mkutano mkuu aliyemtambulisha kama binamu yake... ni yule binamu yake mwanaume mwenye V8 nyeusi. Natumaini unamfahamu.
Mkutano ni leo na kesho halafu weekend watu watafurahia hapahapa Dom. Mtarajie kurudi Dar jumatatu. Acha mawazo mabaya. WanaCCM ni watu wema kama ahadi namba 9 inavyowataka kuwa wema kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Manzi ako yuko sehemu salama kabisa. RELAX
Mkuu,Mama watoto ikifikia hiki kipindi cha mikutano ya CCM kama nipo Dodoma, huwa anaomba ruhusa kazini kwake na kuhakikisha anakuwa nami "mguu bandika, mguu bandua" mpaka watakapomaliza na kuondoka hapa mjini.
Yeye ndiye dereva kila niendapo.
Uzoefu wangu wa miaka 40 ya kushuhudia mikutano mikuu ya CCM pale Kizota, Chamwino,na sasa JKCC, kusanyiko hili ni kubwa la kwanza kwa uuzwaji na ununuzi mkubwa wa "mb.nye" ikifuatiwa na mikesha ya mbio za mwenge.
Wafanyakazi wa lodges na hotels huwa wanapata shida sana kipindi cha hii mikutano kwenye suala la usafi wa vyumbani.
Hili lilipelekea wafanyakazi kuniomba kununua washing mashines na kwa kweli mwaka 2001 nilifanikiwa kuweka washing mashines kote, na sasa hawapati shida tena kushika uchafu wa hawa wachafu wa CCM.
Siku moja niliwahi kuitwa kushuhudia kinyesi kwenye mashuka ya chumba kimoja ambapo walilala wanaume wawili peke yao ambao hao wanaume walikuwa ni wajumbe wa huo mkutano(kutokana na uhaba wa vyumba kipindi hiki, huwa tunaruhusu jinai moja kulala zaidi ya mmoja kwenye room moja yenye kitanda kimoja).
Kipindi cha mkutano mkuu wa CCM, Dodoma huwa inageuka kuwa Sodoma na Gomorah.
Kuna mwaka mkutano wa wakuu wa shule uligongana na mkutano wa CCM ilikuwa hekaheka.Mama watoto ikifikia hiki kipindi cha mikutano ya CCM kama nipo Dodoma, huwa anaomba ruhusa kazini kwake na kuhakikisha anakuwa nami "mguu bandika, mguu bandua" mpaka watakapomaliza na kuondoka hapa mjini.
Yeye ndiye dereva kila niendapo.
Uzoefu wangu wa miaka 40 ya kushuhudia mikutano mikuu ya CCM pale Kizota, Chamwino,na sasa JKCC, kusanyiko hili ni kubwa la kwanza kwa uuzwaji na ununuzi mkubwa wa "mb.nye" ikifuatiwa na mikesha ya mbio za mwenge.
Wafanyakazi wa lodges na hotels huwa wanapata shida sana kipindi cha hii mikutano kwenye suala la usafi wa vyumbani.
Hili lilipelekea wafanyakazi kuniomba kununua washing mashines na kwa kweli mwaka 2001 nilifanikiwa kuweka washing mashines kote, na sasa hawapati shida tena kushika uchafu wa hawa wachafu wa CCM.
Siku moja niliwahi kuitwa kushuhudia kinyesi kwenye mashuka ya chumba kimoja ambapo walilala wanaume wawili peke yao ambao hao wanaume walikuwa ni wajumbe wa huo mkutano(kutokana na uhaba wa vyumba kipindi hiki, huwa tunaruhusu jinai moja kulala zaidi ya mmoja kwenye room moja yenye kitanda kimoja).
Kipindi cha mkutano mkuu wa CCM, Dodoma huwa inageuka kuwa Sodoma na Gomorah.
Yaani ndugu huwa inakuwa balaa.Mkuu,
Mbona Kama yanaogopesha/ kuhuzunisha/ sikitisha/ kustaajabisha hayo mambo dunia simama nishuke😭
Multiplayer effects ndio hiyo Sasa pesa inaingia kwenye mzunguko hata kwa muuza maji kwa mkokoteniYaani ndugu huwa inakuwa balaa.
Cha kushukuru Mungu, kipindi hiki pesa huwa inakuwepo hapa mjini mpaka hata kwa muuza vitumbua mtaani.
Huyu siyo binti ni mamaBinti huyu ni yupi? Nipeni hata codes.
YupiHuyu siyo binti ni mama