Relax.... ameenda tu kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM atarudi J'tatu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja.

Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa mkutano mkuu aliyemtambulisha kama binamu yake... ni yule binamu yake mwanaume mwenye V8 nyeusi. Natumaini unamfahamu.

Mkutano ni leo na kesho halafu weekend watu watafurahia hapahapa Dom. Mtarajie kurudi Dar jumatatu. Acha mawazo mabaya. WanaCCM ni watu wema kama ahadi namba 9 inavyowataka kuwa wema kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Manzi ako yuko sehemu salama kabisa. RELAX
 
Sikuhizi mikitano ya Ulaya na Marekani imeadimika?

haha nakumbuka alikuwa anasema “ hatuwezi kujifungia ndani sisi siyo kisiwa lazima tufungue nchi” tena kwa mbwembwe na kejeli nyiingi, sasa fungate limeisha nafikiri, hamna pa kwenda tena cha ajabu hata umangani tu siku hizi kimya …
 
Kwa hiyo zile 4R tumeachiwa tuzikariri wenyewe kwa Kiingereza chetu cha ugoko?
 
mimi naamini hakuma aliye panic, Hakikisha tu hadi Plan Z unayoooo,
Siasa ni mchezo mchafuuu,,

Waambie huo mchafu ndio nautaka sasa 😋😂
 
Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja.

Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa mkutano mkuu aliyemtambulisha kama binamu yake... ni yule binamu yake mwanaume mwenye V8 nyeusi. Natumaini unamfahamu.

Mkutano ni leo na kesho halafu weekend watu watafurahia hapahapa Dom. Mtarajie kurudi Dar jumatatu. Acha mawazo mabaya. WanaCCM ni watu wema kama ahadi namba 9 inavyowataka kuwa wema kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Manzi ako yuko sehemu salama kabisa. RELAX
Mama watoto ikifikia hiki kipindi cha mikutano ya CCM kama nipo Dodoma, huwa anaomba ruhusa kazini kwake na kuhakikisha anakuwa nami "mguu bandika, mguu bandua" mpaka watakapomaliza na kuondoka hapa mjini.
Yeye ndiye dereva kila niendapo.

Uzoefu wangu wa miaka 40 ya kushuhudia mikutano mikuu ya CCM pale Kizota, Chamwino,na sasa JKCC, kusanyiko hili ni kubwa la kwanza kwa uuzwaji na ununuzi mkubwa wa "mb.nye" ikifuatiwa na mikesha ya mbio za mwenge.

Wafanyakazi wa lodges na hotels huwa wanapata shida sana kipindi cha hii mikutano kwenye suala la usafi wa vyumbani.
Hili lilipelekea wafanyakazi kuniomba kununua washing mashines na kwa kweli mwaka 2001 nilifanikiwa kuweka washing mashines kote, na sasa hawapati shida tena kushika uchafu wa hawa wachafu wa CCM.

Siku moja niliwahi kuitwa kushuhudia kinyesi kwenye mashuka ya chumba kimoja ambapo walilala wanaume wawili peke yao ambao hao wanaume walikuwa ni wajumbe wa huo mkutano(kutokana na uhaba wa vyumba kipindi hiki, huwa tunaruhusu jinai moja kulala zaidi ya mmoja kwenye room moja yenye kitanda kimoja).

Kipindi cha mkutano mkuu wa CCM, Dodoma huwa inageuka kuwa Sodoma na Gomorah.
 
Mkuu,
Mbona Kama yanaogopesha/ kuhuzunisha/ sikitisha/ kustaajabisha hayo mambo dunia simama nishuke😭
 
Kuna mwaka mkutano wa wakuu wa shule uligongana na mkutano wa CCM ilikuwa hekaheka.
 
Back
Top Bottom