Reli ya Kenya yaanza kupumulia mashine

Reli ya Kenya yaanza kupumulia mashine

Ningekua Rais kazi zangu zote zingekua zinafanywa na Wajerumani
 
changamoto za kawaida...hata marekani hii inatendeka
 
yzihcn9hkngfwlwjidg5831f20f05d4a.jpg

Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.

fmzfazunq8evop592be3a4c1f81.jpg

Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.

Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
Mkuu ungekaa kimya tuwaachie wenyewe matatizo waliyoyatafuta iyo reli haina muda tuta litaondoka patabaki mavyuma na siku ya pili tutaona maroli yanaingia kwetu kuleta sklepa mchina kawafanya vibaya sana majirani zetu.
 
njooni muone hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

CC:
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
yzihcn9hkngfwlwjidg5831f20f05d4a.jpg

Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.

fmzfazunq8evop592be3a4c1f81.jpg

Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.

Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
Hiii ni mvua ya 2015 ata kabla ianze kazi.
 
nkt..nmedhani kuna jambo la maana kumbe ni haya yatokea sijui mwaka gani
 
Hii ndo inaitwa propaganda sasa. Umeshindwa Kule na kadaraja kako kamoja sasa umeona uanzishe propaganda.

Picha ya kwanza reli bado ilikua inajengwa kukawa na mvua na mafuriko, mkondo wa maji ukapitia hapo ...

Picha ya pili, jamaa pale mariakani walienda ma mashine zao wakajaribu kung'oa fence ili wauze screpu wakaacha ikiwa hivyo
tutumie picha za sasa ivi za sehemu izo ..

please tupe current photo ili tuamini
 
Tatizo sio mchina, tatizo ni Kenyata! Alitaka apate pesa ya kufanya campaign Na kuiba kura, mwisho wa siku ndo hii kitu wananchi wanaona et SGR train!!! Wakati ni old fashioned train with a steam engine!!!! KE'ss mmeingizwa chaka ya hataree!!!
 
Mkuu ungekaa kimya tuwaachie wenyewe matatizo waliyoyatafuta iyo reli haina muda tuta litaondoka patabaki mavyuma na siku ya pili tutaona maroli yanaingia kwetu kuleta sklepa mchina kawafanya vibaya sana majirani zetu.
Hii reli yao ni wizi mtupu
 
Back
Top Bottom