robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Wacha tupambane na yetu ni mengi mno kulko kenya
[emoji45]
[emoji45]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umenipunguza machungu ya kuona Mchina alivyowaingiza chakaMkenya mm nimechill hapa na totoz wa kishua lazma na mm nipumulie machine....waswahili mpo?[emoji3] [emoji125] View attachment 602524
Diverging the topic[emoji23] [emoji115]Mkenya mm nimechill hapa na totoz wa kishua lazma na mm nipumulie machine....waswahili mpo?[emoji3] [emoji125] View attachment 602524
Mkuu ungekaa kimya tuwaachie wenyewe matatizo waliyoyatafuta iyo reli haina muda tuta litaondoka patabaki mavyuma na siku ya pili tutaona maroli yanaingia kwetu kuleta sklepa mchina kawafanya vibaya sana majirani zetu.![]()
Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.
![]()
Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.
Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.

Hiii ni mvua ya 2015 ata kabla ianze kazi.![]()

Mnanivunja mbavu,eti watu ktk nchi ya middle income,daa u have made my dayLoh! Ngoja niagize popcorn before watu kutoka nchi ya middle income hawajamwaga povu!
tutumie picha za sasa ivi za sehemu izo ..Hii ndo inaitwa propaganda sasa. Umeshindwa Kule na kadaraja kako kamoja sasa umeona uanzishe propaganda.
Picha ya kwanza reli bado ilikua inajengwa kukawa na mvua na mafuriko, mkondo wa maji ukapitia hapo ...
Picha ya pili, jamaa pale mariakani walienda ma mashine zao wakajaribu kung'oa fence ili wauze screpu wakaacha ikiwa hivyo
Hii reli yao ni wizi mtupuMkuu ungekaa kimya tuwaachie wenyewe matatizo waliyoyatafuta iyo reli haina muda tuta litaondoka patabaki mavyuma na siku ya pili tutaona maroli yanaingia kwetu kuleta sklepa mchina kawafanya vibaya sana majirani zetu.
Haha I can almost feel your painchangamoto za kawaida...hata marekani hii inatendeka