Reli ya SGR ya Kenya kuwa ya umeme ndani ya miaka 4

Reli ya SGR ya Kenya kuwa ya umeme ndani ya miaka 4

Ndio tunawashinda insecurity na corruption. But not just that but also everything else. Innovation, Technology, sports, education...Every bloody thing. The only thing Majirani wetu watukufu TZ mwaeza tufunza ni Kukaa chini ya mnazi na kutizama jua likichomoza hadi kutua, na "Kupanga mikakati". Mara ya mwisho Tanzania mlienda vita ni lini ? Ati wajinga ? Wajinga wa kushinda Nobel Peace Prize ? Oscar ? Sports awards, innovation milestones ? Yaani, with all our negatives, we are still making things happen. FYI, with all our security issues, next year April tunaanza direct flight to Washington DC. You may not have a clear idea of what that implies but, you guys will always be several steps nyuma yetu. You have a big beautiful country full of valuable resources, but you can't manage sh*t. Mali mnayo, shida ni akili duni. It's hard being objective when arguing people with your thought structure. And, hizo majina umetumia kusema mambo ya Ukabila Kenya "NJOROGE/KAMAU IN YOU", mimi si mkikuyu. Sina issue na Wakikuyu, but it's important uelewe kile unaongelea. Kwani suala la Machotara hizbu dhidi ya wabantu si ukabila ?
View attachment 522168
ile siku katalipuka huko bongo sijui kama mtaweza, mungu awarehemu. Heri sisi tushaonja tukajua utamu / uchungu wa ukabila.

Hata kuandika hujui wewe MJUAJI. Arrogance itawamaliza
 
Halafu

Ukifuatilia

Rufiji

Afrika

Kajifunze kuandika kwanza.
Kaka hawa watu mimi nawajua. Nimefanya kazi Kenya miaka 6. Huwa wana arrogance sana na wanajiona wanajua kila kitu - ila ni wajinga fulani tu. Hawa sisi tunawafanyia Soviet style, let them brag ila sisi tunapiga tu kimya kimya.
 
Mimi pia nawajua vizuri, ni masikini halafu wajinga kupindukia. Wanajitapa mitandaoni kuwa wapo juu lakini nchi yao imetopea kwenye ufukara.
Sijui upuuzi huu wa kujigamba mitandaoni waliutoa wapi.
 
Mimi pia nawajua vizuri, ni masikini halafu wajinga kupindukia. Wanajitapa mitandaoni kuwa wapo juu lakini nchi yao imetopea kwenye ufukara.
Sijui upuuzi huu wa kujigamba mitandaoni waliutoa wapi.
Yani kaka hawa watu ni wa kuonea huruma tu. Yani wanapenda sana kujitutumua na kujiona wao ni bora, ila sisi huwa tunawapiga tu kimya kimya. Ukienda country side kwenye vijiji vyao hasa kule Central na Western yani wanakunywa pombe ile mbaya na wengi hata kufanya kazi hawawezi kutokana na ulevi, pombe za kienyeji zinawauwa sana. Ni one of the most unequal societies in the world maana iangalie Nairobi halafu nenda Narok au Muran'ga Vijijini unaweza kulia machozi..
 
Flow ya Uandishi Hapa JF??? Unaona Jinsi Mlivyo - Yani Nyie Kila Kitu Mnajiona Mnajua.. Sasa wewe hapo ndio umeandika uharo gani? Arrogance na Ukabila Utawamaliza nyie viumbe. Huwa mnajisifu eti sijui mnajua English mara sijui mna akili - upuuzi tu, English yenyewe mnayoongea ni HEAVILY ACCENTED halafu mnajifanya Mnajua. Hovyoooooooooo
duh, magu awarudishie viroba vyenu tuu, sio kwa povu hili hahaa, kwaheri[emoji3] [emoji90]
 
Unaona Mlivyo PETY people - sina haja ya ku adhere to writing standards hapa JF. Wewe Angalia Content Ndugu. Wewe Una KIJIBA CHA ROHO (Msemo wa TZ)

Hamna cha flow ya uandishi wa JF, kanuni za lugha zinafunzwa tangu chekechea na zilibuniwa kabla hujazaliwa na ndio hutumika katika kuwasiliana ili ueleweke. Sio kukurupuka na maandishi kama mtu aliyekunywa Mbege. Zingatia uandishi bora siku zote, kuna watu wengi wanasoma hizi mada na kama hutaki kuambiwa basi usijitose kwenye ligi ya wakubwa.
 
haha pia mm namshangaa huyu mswahili, jamaa kakomalia mambo mengii hata flow hana, kanuni za lugha ndio zero kabisa dah! Alafu hawa ndio unakuta ndio viongozi wao, elimu zero kabisa..alafu sijui kama umekuwa ukifatilia yale mambo yao ya kule rufij!! Nina email ya bbc correspondent wa africa mashariki,sijui nimubeep awamulike waswahili katika ubora wao[emoji2] [emoji2]

Duh, ila kwa kweli inafaa maombi, huko Kibiti Wabongo wanauawa vibaya. Hilo nalo halina ushabiki wala nini, wanayoyafanya hayo wachinjiwe baharini tu, gaidi asionewe huruma, ndio kama yale yalitukumba Kenya japo wao huficha ficha.
 
Kaka hawa watu mimi nawajua. Nimefanya kazi Kenya miaka 6. Huwa wana arrogance sana na wanajiona wanajua kila kitu - ila ni wajinga fulani tu. Hawa sisi tunawafanyia Soviet style, let them brag ila sisi tunapiga tu kimya kimya.
safi sana.....wakenya ni wapuuzi sana
 
Kaka hawa watu mimi nawajua. Nimefanya kazi Kenya miaka 6. Huwa wana arrogance sana na wanajiona wanajua kila kitu - ila ni wajinga fulani tu. Hawa sisi tunawafanyia Soviet style, let them brag ila sisi tunapiga tu kimya kimya.
Kimya gani ufala tu. Kubalini yaishe. Nyi mafala.
 
Hata kuandika hujui wewe MJUAJI. Arrogance itawamaliza
Huna facts sasa diction yangu ndo imekua issue ? Ntaandika ntakavyo, kama huna facts tokomea. Mi mjuaji nimekubali, we nawe ni Duanzi. Hilo liko kwenye kamusi ya Sheng yetu tukufu.
 
Hamna cha flow ya uandishi wa JF, kanuni za lugha zinafunzwa tangu chekechea na zilibuniwa kabla hujazaliwa na ndio hutumika katika kuwasiliana ili ueleweke. Sio kukurupuka na maandishi kama mtu aliyekunywa Mbege. Zingatia uandishi bora siku zote, kuna watu wengi wanasoma hizi mada na kama hutaki kuambiwa basi usijitose kwenye ligi ya wakubwa.
Katika post yake uandishi tu ndio umeliona la maana?
 
Kimya gani ufala tu. Kubalini yaishe. Nyi mafala.
Mafala ni Nyie mliekubali kutawaliwa na the same family since your Independence, A group of Gikuyu wakora spread their exploitative tentacles deep inside you.
Gikuyu Land grabbers, public funds thugs. Nchi yenu inafanya vyema sana kwenye corruption indices.
Kamwe Ufala kama huu hautatokea kwenye Ardhi pendwa ya Tanzania.
 
Yet somehowour civi servants get paid better na hatuko LDC
 
1497263822730168.gif
 
Back
Top Bottom