Reli ya SGR ya Kenya kuwa ya umeme ndani ya miaka 4

Jipe moyo tu, mtabana mtaachia sisi tunasonga mbele.
 
Hehehe!! Hivi unaamini maigizo ya Wabongo, hadi uishi Dar ndio utapata picha kamili ya hawa wenzetu. Umeme hukatika katika, mjini generator zinarindima kwa mingurumo na harufu ya petroli halafu ukizingatia na joto la Dar na jam/foleni unahisi ovyo.
Tatizo lao kubwa ni mafisadi kupitiliza hususan kwenye haya ya umeme, hebu soma huu uzi Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!
 
Kesho sgr inaugurated by magufuri at pugu station stay tunned
 
Lets wait and see,
 
Even we don't need to electrify the damn beasts, look at the speed!!! A car doing 120Km/h still cant catch up with the SGR trains!! They have established Nairobi to Mombasa 3 hrs express
 
Moto wa stima watoka kwenye Gesi,
Mbona nyie wakenya ni Mafala hivi?
 
We jamaa upo
 
Hizi Km 202 DSM Morogoro we r building by OUR OWN MONEY, say it after me 'OUR OWN MONEY'
Hiyo mkuu ni km ndogo mno,180km ni white elephant unless mko na pesa ya kujenga zaidi.na Moro kunakuzwa nini ndio ifaidike na huu mradi
 
Even we don't need to electrify the damn beasts, look at the speed!!! A car doing 120Km/h still cant catch up with the SGR trains!! They have established Nairobi to Mombasa 3 hrs express
This video did more to market the quality of the Df 11G passenger trains than what Kenya Railways has been doing in a long time.

Kwanza Mash imepitwa utadhani imesimama, and still that car (doing >120) was unable to catch up with the fast train.

Did anyone notice those are police officers???
 
jamani ujue kiuasilia tumewafungua sana macho hawa wakenya kwa vitu vingi vya kimaendeleo kuhusu Tanzania humu jamii forum kwani walikuwa hawajui vingi ila sisi vyao tulikuwa tunajua yaani bora tusingewapa info zozote kuhusu TZ hivi vitu ingepaswa washtukie tu vikiwa tiyari vimefanyika...maana wakenya wengi wamejazana ujinga nakuaminishana kama TZ imelala
 
Hiyo mkuu ni km ndogo mno,180km ni white elephant unless mko na pesa ya kujenga zaidi.na Moro kunakuzwa nini ndio ifaidike na huu mradi
First thing, It is not a Loan,
Hakuna charges za Riba tutadaiwa na mtu,
Second thing,
Assuming railway terminates at Morogoro..
Thousands of passengers travel btwn dar and Moro only everyday,
Again, most of the passengers coming to dar from upcountry(mbeya, Iringa, Sonhea, Mwanza, Dodoma, Bukoba, Tabora, Singida, Kigoma, Sumbawanga, Zambia, Malawi, Congo etc
pass through Morogoro.
We will terminate all these buses at Morogoro and passengers will commute rapid trains..
Vipi hapo, Hatupigi pesa??
 
Hiyo mkuu ni km ndogo mno,180km ni white elephant unless mko na pesa ya kujenga zaidi.na Moro kunakuzwa nini ndio ifaidike na huu mradi
Reli itafika hadi Mwanza na Kigoma, Rwanda na Burundi pia wataunga. Tulia dawa ikuingie.
 
ofcz tz imelala..najaribu kuimagine mngekua na three quaters ya nchi jangwa kama kenya mngekuwaje..isitoshe natural resources ata msiseme,mko nazo hadi za ziada,kwa tourism nako mmejaaliwa hadi basi..sasa tatizo lenu nnini kama hadi sasa kenya inawaburuza...mmetushinda nni kweli?tz mmelalia maskio thats the fact ndio paka sasa mnaimba tuta.....,tuki....
 
Moto wa stima watoka kwenye Gesi,
Mbona nyie wakenya ni Mafala hivi?
Na hiyo plant ya kutoa huo moto ipo wapi kwa Sasa kapumzishe magenerator dar es salaama! mbona watz vichwa maji hivi!!!
 
Na hiyo plant ya kutoa huo moto ipo wapi kwa Sasa kapumzishe magenerator dar es salaama! mbona watz vichwa maji hivi!!!
magenerator ya nini na tuko na gesi labda tuwape hizo jenereta mpelekee watu wa kariobangi
 
Hapo sawa mkuu, maanake hii reli hasa itakuwa kidogo inalenga wasafiri, ila si mzigo tuseme, sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…