Reli ya standard gauge ya Rwanda na Tanzania ni kaburi la uchumi wa Tanzania

Je kuna ulazima wa kufanya partnership ktk ujenzi?. Ni lazima?. Kwann tz wasijenge pekee yao ili yule asiwe kero baadaye. Nani kashinikiza hiyo partnership?.
Tuna partnership pia na Zambia kwenye Tazara
 
Wale watu ni zaidi ya marafiki ukiangalia nini kiliwaunganisha haraka kiasi kile huwezi kuona ila ikumbukwe ni majuzi tu jamaa alikua amemnunia JK ila alipotoka na kuja anko jamaa amekuwa na moyo mzuri sana na kawa rafiki yetu mkubwa na mshauri wa mambo mengi kiutawala na hata kiuchumi, kuanzia kununua midege hadi kujenga reli na kuendesha nchi pamoja na kucontrol wapinzani wake... yapo mengi mengi zaidi ya kutazama na kama n mtu wa kuunganisha dots utaelewa vizuri kitabu cha History of Wahima, By John Hanning Speke. na pia ukijua kwa nini bomba la mafuta lililetwa hapa na si kenya, Tafuta vitabu vya kutosha kuhusu hima empire then utapata funzo kubwa sana juu ya haya
 
Kichwa kipana sana. Tunahitaji kuelewa kwa upana namna hiyo.
 
Ninadhani kwenye makubaliano ya msingi kati ya serikali ya Rwanda na Tanzania, wizara husika ziliambiwa zikae na ziangalie SGR funding option kama rwanda itabidi wao watafute funding, SMT itafute funding au nchi zote mbili zitafute funding kwa pamoja.
Kamati hizo kazi hiyo hawajaimaliza na sasa tunaanza kubeza.
 
Mi naona kama kuna ukakasi kidogo, ivi inawezekana kweli kujenga reli hio kuelekea Kenya kua kipaumbele badala ya kujenga reli kuelekea kwenye nchi ambazo zinatumia bandari yetu ya dar es salaam, kwan kenya bandari wanayo, labda angesema uganda, burundi, malawi na congo lakini kwa kenya nadhani hayo ni mahaba yake.
 
Mkuu zile semitrela za familia yenu mjiandae tu kufugia kuku hiyo reli ikiisha, maana si kwa malalamiko hayo.
 
Hivi population ya Rwanda ni watu wangapi, hivi kibishiara hiyo reli italipa kweli, nazani route ya congo ingelipa zaidi
 
Ni sawa lakini nilipoitaja kenya nilitaka kuonesha uwiano wa investing kenya ingawaje wana bandari still earnings haiwezi kuwa sawa na huko kwa kagame.Huyu kagame ana bandari kavu kwetu ambayo hatuna earnings yoyote na kaipata sasa wakati wa jpm kutimiza matakwa yake.
 
Sisi hatujui vipaumbele ndiyo maana hata twiga wetu kutwa kukamatwa kila anakoenda.
Endeleeni kuniona mjinga mtaelewa tu.
 
Wengine huzaliwa wakinyimwa rasilimali lakini wakapewa akili na wengine kinyume chake lakini wengine wamebahatika kupata vyote viwili na wengine kubahatika kunyimwa vyote.

Tafakari tz iko wapi hapo.
 
Angalia hizo ndege zinavyokamatwa kamatwa .Tatizo siyo kununua reli ama ndege tatizo ni kwanini tununue leo kwanini na kwasabu gani?.
 

Dah! Bila shaka wewe ni mmoja wa wale wa vyeti feki. Akili halisia ni ndogo. Vicha upumbavu wako kwa kukaa kimya.
 
Dah! Bila shaka wewe ni mmoja wa wale wa vyeti feki. Akili halisia ni ndogo. Vicha upumbavu wako kwa kukaa kimya.
Anza kukaa kimya wewe.
Sasa hapo umetoa hoja gani unadhani nikiwa na vyeti og ndo viwanda vitajengwa na twiga kurudishwa nchini.Siku ukitumia akili yako utafika mbali.
 
Tena arudi shule mapema kabla madarasa hayajajaa; elimu inatolewa bure na serikali ya magufuli. Anadhani kwa vile sasa hivi maroli yamachukua biadhaa kwenda mikoani basi hakuna haja ya reli; punda kabisa huyu. Uwepo wa usafiri wa uhakika kati ya DAR, KGM, TBR, MWZ kutapunguza sana hizi ajali tunazopata kila siku, na vile vile kuongeza maisha ya barabara zetu. magari ya mizigo yanakuwa yanapiga safari za kutoka kwenye reli kwenda kwenye vitongoji badala ya kusafirisha mizigo toka bandari hadi vitongojini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…