LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Kama unajua kusoma saikolojia vizuri utagundua kuwa post ya huyu jamaa pamoja na mazungumzo yake mengine kwenye huu uzi imejaa vitu viwili ambavyo vyote amemvalisha KAGAME ili hali ana lake la moyoni:
1. Ametawaliwa na ukanda/ukabila (sijali yupo kanda gani/nchi gani). Inavyoonekana huyu jamaa anatamani sana SGR
ijengwe kwenye kanda yao. Ndiyo maana anaona extension ya central SGR kwenda Rwanda kwake ni shida japo anatoa
sabau ambazo hata hazijai kiganjai wala hazieleweki moja kwa moja kwa mtu makini.
2. Anachuki za kisiasa hasa kwa serikali iliopo madarakani na kuthibitisha hilo katika mazungumzo yake mengi amekuwa ni
mtu mtu wa kulaumu serikali badala ya kutoa alternative zinazoeleweka.
UKIAOMA VIZURI HII POST YAKE UTAIONA HAYO MAMBO MAWILI AMBAYO AMEYAFICHA YASIONEKANE WAZIWAZI KWA KUMVALISHA UBAYA KAGAME NA RWANDA!