Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Na siwezi kukulazimisha uelewe. Huenda ninaongea katika frequency ya juu sana kiasi kwamba huwezi kuelewa.
Ni kweli unaongea kwenye frequency ya juu sana kiasi kwamba ubongo wa mwenye akili kamwe hauwezi kupokea hizo frequency zako (figment of your own imagination).
Mfano Kwanini Bwana Yesu alisulubiwa?? Why was Jesus crucified?? after replying to the question, a coming Question could be; How was he crucified??. Sasa hapo unaona katika upande wa dini kuna "Why na How" katika jambo moja la kusulubiwa kwa Yesu, sasa utasemaje kwenye dini kuna Why pekee??
Katika Sayansi watu wameisha kupatia mifano ambapo "Why" na "How" are involved in a single event, eg Newton and gravitation.
Inaonekana Wewe unataka kutengeneza jambo lako maalumu (speciality of your own) na unataka watu wakatae the universal aacceptable speciality na washike hiyo yako,🤣.
Ndiyo maana nasema hiyo high frequency yako ni figment of your own imagination unayoipigia chapua (hyped) ili ikubalike kitu ambacho hakiwezekani.
Asante.