Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Bro!! Tunabishana vitu simple mno.
Why ni swali pana mno aisee!! Sidhani kama unaelewa upana wake. Ninatamani uelewe!!!
Swali la WHY linataka utoe reasons.
Baada ya kujibu HOW ndio kidogo unaanza kuigusa WHY.
Ngoja nikupatie mifano ya uhakika kutokana na hao uliowataja.
Newton baada ya kufanya findings zake kuhusu kuanguka kwa apple na akaeleza hata mwezi nao unaanguka kutokana na gravitation nk.
But Einstein amekuja akakataa jambo hilo. Yeye kutokana na findings zake akaona sababu ya vitu kuvutwa ni kutokana na SPACETIME ni kama net kubwa imetandikwa kitu kikubwa kikadondoshwq katikati kitu kidogo kikidondoshwa pembeni kitakuwa kinavutwa.
Hapa ninachotaka kukuambia Newton alitupatia experiment za how lakini kujibu why! Bado ilikuwa philosophical vivyo vivyo Einstein katuonesha nature inavyooperate na tukapata formula lakini bado ni ngumu kutuambia WHY!?
Ngoja nikukubalie why inauhusiana na dini. Na how inahusiana na sayansi. Dunia kuna dini nyingi kwa mfano hindu, Islam, Christinity, Kimasai, etc etc. Je zote zipo kwenye level moja ya kueleza why?