Religion and Science hazishindani

Religion and Science hazishindani

Bro!! Tunabishana vitu simple mno.
Why ni swali pana mno aisee!! Sidhani kama unaelewa upana wake. Ninatamani uelewe!!!
Swali la WHY linataka utoe reasons.
Baada ya kujibu HOW ndio kidogo unaanza kuigusa WHY.

Ngoja nikupatie mifano ya uhakika kutokana na hao uliowataja.

Newton baada ya kufanya findings zake kuhusu kuanguka kwa apple na akaeleza hata mwezi nao unaanguka kutokana na gravitation nk.

But Einstein amekuja akakataa jambo hilo. Yeye kutokana na findings zake akaona sababu ya vitu kuvutwa ni kutokana na SPACETIME ni kama net kubwa imetandikwa kitu kikubwa kikadondoshwq katikati kitu kidogo kikidondoshwa pembeni kitakuwa kinavutwa.

Hapa ninachotaka kukuambia Newton alitupatia experiment za how lakini kujibu why! Bado ilikuwa philosophical vivyo vivyo Einstein katuonesha nature inavyooperate na tukapata formula lakini bado ni ngumu kutuambia WHY!?

Ngoja nikukubalie why inauhusiana na dini. Na how inahusiana na sayansi. Dunia kuna dini nyingi kwa mfano hindu, Islam, Christinity, Kimasai, etc etc. Je zote zipo kwenye level moja ya kueleza why?
 
Ngoja nikukubalie why inauhusiana na dini. Na how inahusiana na sayansi. Dunia kuna dini nyingi kwa mfano hindu, Islam, Christinity, Kimasai, etc etc. Je zote zipo kwenye level moja ya kueleza why?
Hapana. Hii ni kutokana na kwamba WHY ni swali gumu mno.
Ndio maana kunawengine wapo na Mungu mmoja, Wengine Mungu wengi na wengine hawana hata Mungu.

Kila mmoja anatoa reasons zake.
Mwamposa atakuambia kukanyaga mafuta au kunywa maji ya upako utapata muujiza.
Reason ni kwamba Mungu amempa ufunuo.
Tayari ameshajibu reason bila hata kutuambia how uleupako una operates.
 
Mimi nilimwekea mfano ambao anaweza ku-relate nao. Wakulima wa mihogo wanaona mazao yao yanakufa kwa sababu zisizojulikana na serikali ikatuma mwanasayansi wa botania, je mwanasayansi huyu anatajibu WHY au HOW? naona karuka swali.
Lazima aruke swali.

Anakuja na nadharia zisizo kina wala vina.
 
Lazima aruke swali.

Anakuja na nadharia zisizo kina wala vina.
Bro nimeshajibu swali hilo check hapo juu.
Sijawahi kukimbia swali aisee.
Sitakaa nikimbie swali. Ukiona mada nimeweka hapa ujue naifahamu.

Wewe twende na mada usihamishe. Nime ku quote. Twende step by step.
Jibu lake hili
Twende taratibu sasa.
Kuna maswali mengi sana mwanasayansi huyo atajiulza.
WHEN, WHICH, WHAT, WHERE nk.
Maswali hayo yanalenga data collection.
Maswali hayo yata formulate maswali mengine.
Mwanasayansi atakachokifanya ni kuchukua sample mbalimbali na kupeleka maabara.
Hawezi akatoa reasons wakati ugonjwa au jambo halijulikani. Ndio maana hawezi akajibu WHY!!? Kama ugonjwa unajulikana utakuwa umefanyiwa experiment itakuwa simple tu Mzee. Atajibu WHY.

Hata hapa bado!?
 
Bro nimeshajibu swali hilo check hapo juu.
Sijawahi kukimbia swali aisee.
Sitakaa nikimbie swali. Ukiona mada nimeweka hapa ujue naifahamu.

Wewe twende na mada usihamishe. Nime ku quote. Twende step by step.
Jibu lake hili
Unasema maswali ya why ni ya kidini.

Nikiuliza maswali haya.

1. Why is copper an electrical conductor?

2. Why is rubber an electrical insulator?

Hayo maswali yanakuwa ya kidini?
 
Hapana. Hii ni kutokana na kwamba WHY ni swali gumu mno.
Ndio maana kunawengine wapo na Mungu mmoja, Wengine Mungu wengi na wengine hawana hata Mungu.

Kila mmoja anatoa reasons zake.
Mwamposa atakuambia kukanyaga mafuta au kunywa maji ya upako utapata muujiza.
Reason ni kwamba Mungu amempa ufunuo.
Tayari ameshajibu reason bila hata kutuambia how uleupako una operates.

Kwa mtaji huu, hata neno la kiswahili KWANINI linakuwa ni swali gumu?
 
Unasema maswali ya why ni ya kidini.

Nikiuliza maswali haya.

1. Why is copper an electrical conductor?

2. Why is rubber an electrical insulator?

Hayo maswali yanakuwa ya kidini?
Dah!! Mbona simple tu hapo.
Yaani unauliza swali la kujibia mtihani!!!
Tayari experiment zilishafanyika na kuona how copper operates.
Vivyo hivyo kwenye rubber. Ndio maana kwenye mtihani ukiulizwa unatoa sababu.

NB: Lengo la dini ni kujibu maswali ya WHY
Lengo la Sayansi ni kujibu HOW nature operates.
 
Umepata wapi habari kwamba sayansi haina lengo la kujibu maswali ya why?

Nikitaka kujua kwa nini half life ya Uranium-238 ni miaka 4.5 billion, hilo si swali la kisayansi?
 
Siwezi kujibu hilo swali la kwanini kwa sababu ni la kidini.
Yes. Nadhani sasa umeelewa tofauti ya sayansi na dini.
Katika context ya hii thread nadhani nimeeleweka.
Kunatakiwa kusiwepo ugomvi kati ya sayansi na dini maana kila mmoja anakuwa na direction yake.
Dini inahusika na moral wakati sayansi inahusika na kujua nature inavyofanya kazi.
 
Umepata wapi habari kwamba sayansi haina lengo la kujibu maswali ya why?

Nikitaka kujua kwa nini half life ya Uranium-238 ni miaka 4.5 billion, hilo si swali la kisayansi?
Kiranga asante sana kwa sasa tunaanza kwenda pamoja.
Kujua half life ya uranium ni next step baada ya kujua kuwa Uranium ni Radioactive Element.
Tumeanza kwenda pamoja sasa.
Baada ya kufanya experiments na kujua how radioactive material operates ndio next step ni kufanya calculation na kujua.
Then unaweza kujibu hiyo why.

Huwezi at the first time tu ukaanza kujiuliza why half life ya Uranium ni hiyo miaka wakati ndio uranium unaiona. You need to do experiment first ndio upate conclusion.

Thanks
 
Hujajibu maswali yangu.

Umepata wapi habari kwamba sayansi haina lengo la kujibu maswali ya why?

Nikitaka kujua kwa nini half life ya Uranium-238 ni miaka 4.5 billion, hilo si swali la kisayansi?
 
Kusema dini inauliza why na sayansi inauliza how ni uongo.

Dini inaulizaje Why?? na Sayansi inaulizaje How??.

Dini ni nini na sayansi nini hadi ifike mahali viulize why and how???.

Ni Watu ndio wanauliza why and how na sio vinginevyo.
 
Tatizo lako unakikbilia kwenye maswali ya darasani.
Mimi nimekueleza kuwa lengo la sayansi ni kujibu maswali How.
Twende taratibu tu utaelewa tu.
Tuanze na Newton. Tungeweka namna ya maswali yote yanavyo ulizwa
What, where, who, which, when, why, how yote hayo. Lakini ninachoongelea hapa sayansi yenyewe imejikita katika kujibu swali lipi.

Scientific research from observation, hypothesis, experiment, conclusion and Generate theory lengo lake ni kujibu swali la how. Ndiyo maana scientific research zina involve experiment.

Sijui umenielewa hapo!?

Pill: Tunakuja kwenye theory ya Big bang. Ndio maana nikakuambia ni hivyo hivyo tu sawa na dini. Wapo wanakashifu dini nyingine lakini upande mwingine unatoa maelezo kuthibitisha.

Ukiwafuatilia waumini wa Big Bang wanakupatia calculations na ndio maana kuna somo linaitwa cosmology msingi wake ni huo Big Bang.

Ninataka uniletee scientific research inayojibu swali la why.
[emoji3582][emoji3582][emoji3582][emoji3582][emoji3582]
 
Umepata wapi habari kwamba sayansi haina lengo la kujibu maswali ya why?
Sasa haya ni maswali ya ki Socrates
Tukianza maswali ya namna hii sina uhakika kama topic hii itafika mwisho.

Nadhani tujikite katika kutoa mifano tangible.
Maana sasa unaniuliza nimepata wapi habari hizi.
Nina uhakika kama wewe umesoma maswali ya Socrates utanielewa.

Nakuomba tujikite kwenye mada kuliko kujua habari hizi nimezitoa wapi.
Asante.
 
Sasa haya ni maswali ya ki Socrates
Tukianza maswali na namna hii sina uhakika kama topic hii itafika mwisho.

Nadhani tujikite katika kutoa mifano tangible.
Maana sasa unaniuliza nimepata wapi habari hizi.
Nina uhakika kama wewe umesoma maswali ya Socrates.

Nakuomba tujikite kwenye mada kuliko kujua habari hizi nimezitoa wapi.
Asante.
Stop cappin' already!

You are offfbeat like Blueface

Umerukia kwingine sasa. Lakini umeelewa kuwa sayansi haijibu maswali ya WHY au bado unabisha!?
Wewe jamaa ni mtupu dini haijibu maswali ya ya why?

Kwahiyo hakuna majibu ya kwanini ndege inaruka kwenye science?
 
Kama ilivyo kwenye comment yangu ya hapo juu.
Sayansi is the study.
Ku process why na how haina shida kwa wanyama hao. Lakini sayansi imeepuka burden ya why.
Why inakutaka ujibu reasons.
How inakutaka kutoa methods
Vilevile unatakiwa kujua How ikishakuwa kwenye conclusion nzuri tunapata theory, law au formula.
Tuje kwa nyani anataka kuiba mahindi.

1. Kama nyani tayari huwa anaiba mahindi na amekuta nyani wenzake wakiwa wanaiba mahindi huyo huyo atatumia formula au law aliyoikuta ikewekwa na nyani wa kwanza ya jinsi ya kuimba mahindi. Sasa hebu jaribu kufikiria huyo nyani sasa anajiuliza kwanini ninaiba mahindi!?

2. Kama nyani ni Mara ya kwanza yupo pekee yake hajawahi kuiba mahindi na anataka kuiba mahindi.
Yupo na njaa ameona mahindi na nyani anajua hayo mahindi ni chakula.
(Naweka kwanza assumptions ili tuweze kutengeneza scenario)
Sasa huyo nyani akianza kujiuliza why ninataka kuiba hayo mahindi!? Sidhani nyani huyo kama ataweza kuiba hayo mahindi.
But akijiuliza how ninaweza kuiba hayo mahindi. Tayari ataanza kutengeneza hypothesis na kuzijaribu.

Mwisho sayansi ni study of nature how works but not why. Nature tayari ipo inafanya processes zake. Hatuwezi tukawa na mzigo wa kujiuliza why. Hilo swali linaachwa kwenye dini.
Yani ulivyojibu na kuandika methods na reasons nikajua wewe bado mwanafunzi unajibu kinotes notes na vitini vya nyambari nyangwine
 
Stop cappin' already!

Hahahaha!!!
Tumeanza kutumiana music sasa.
Nadhani ingekuwa vyema kama tungejadili mada. Au uweke references ya vitu vinavyohusiana na mada.
Asante.
 
Back
Top Bottom