Religion and Science hazishindani

Na siwezi kukulazimisha uelewe. Huenda ninaongea katika frequency ya juu sana kiasi kwamba huwezi kuelewa.

Ni kweli unaongea kwenye frequency ya juu sana kiasi kwamba ubongo wa mwenye akili kamwe hauwezi kupokea hizo frequency zako (figment of your own imagination).

Mfano Kwanini Bwana Yesu alisulubiwa?? Why was Jesus crucified?? after replying to the question, a coming Question could be; How was he crucified??. Sasa hapo unaona katika upande wa dini kuna "Why na How" katika jambo moja la kusulubiwa kwa Yesu, sasa utasemaje kwenye dini kuna Why pekee??

Katika Sayansi watu wameisha kupatia mifano ambapo "Why" na "How" are involved in a single event, eg Newton and gravitation.

Inaonekana Wewe unataka kutengeneza jambo lako maalumu (speciality of your own) na unataka watu wakatae the universal aacceptable speciality na washike hiyo yako,🤣.

Ndiyo maana nasema hiyo high frequency yako ni figment of your own imagination unayoipigia chapua (hyped) ili ikubalike kitu ambacho hakiwezekani.

Asante.
 
Good.
Ndio maana nimesema sikulazimishi kuelewa.
Japo sasa ninakutaka utoe mifano halisi kulingana na thread yangu.
Ninakili kusema kwamba hujaelewa context ya thread hii ndiyo maana hata nikikutaka ulete mifano halisi unaishia kuleta vitu vya ajabu.

Siwezi nikakuita mbumbumbu lakini ninachojaribu kusema ni kwamba leta mifano ya kisayansi kwa masuala ya kisayansi na leta mifano ya kidini kwa masuala ya kidini.

Mfano wako wa kuuliza kwanini yesu alisulubiwa msalabani!? Mwanasayansi yupi unaweza kumuuliza swali kama hilo!?
Sayansi deals with nature how works.
Ninakutaka uniletee mifano ya kujibu swali la WHY kupitia scientific processes.

Asante.
 
Rejea kwenye mada. Hapa tunaongelea HOW for science and WHY for religion.
Wewe unamaelezo gani Mzee!?

Upo sawa kweli kuanza kuniuliza issue zako personal!?
Mimi nimeanza kukuuliza issue zangu personal au wewe ndiye uliyeanza kuniita mimi kijana hapa?

Ushashau wewe nwenyewe umeniita kijana hapa?

Bloody moron. Bloody mindless sea urchin moron.

Hujajibu maswali yangu.

Thibitisha mimi ni kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.
 
Nenda kwenye mada mzee.
Tunaongelea Religion vs Science.
Usilete confusion hapa. Huo ni utoto na ujinga.
Tunaongelea jambo la religion vs science wewe unataka nithibitishe kuwa wewe ni kijana wangu!!

Back to topic:
Wewe kama unamaelezo yanaoendana na definition weka hiyo definition na maelezo yake.

We are not in interrogation session mzee. Hii ni free social media. Kama unamawazo yako yaweke wengine tutayapima na wewe utayatetea.

Basi nakusihi rejea kwenye mada achana na primitive ideas.

Asante.
 
Thibitisha mimi ni kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.

Kama hujaweza hata ku define terms unazoongelea, hujui mjadala ni nini.

Kama huwezi kuthibitisha mimi ni kijana kwako, huna credibility. Unabwabwaja tu.
 
Kiranga acha kuropoka.
Rejea kwenye mada. Hatuwezi kuanza kujadili vitu vilivyo nje ya mada.

Tunaongelea HOW for science and WHY for religion.

Kama umeshindwa kutoa definition na kunitaka mimi nikuletee ni kukosa kujiamini.
Kama umeshindwa basi sepa.

Huna mamlaka ya kuniamulia chochote cha kufanya. Ni akili za kijima na kikoloni.
Hahahahahaha!!!
 
Sio kweli,science haiwezi kukubali mwezi ulipasuka vipande viwili halafu ukajirudia
 
Thibitisha mimi ni kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.

Kama hujaweza hata ku define terms unazoongelea, hujui mjadala ni nini.

Kama huwezi kuthibitisha mimi ni kijana kwako, huna credibility. Unabwabwaja tu.
 
Thibitisha mimi ni kijana kwako.

Define what is science.

Define what is religion.

Kama hujaweza hata ku define terms unazoongelea, hujui mjadala ni nini.

Kama huwezi kuthibitisha mimi ni kijana kwako, huna credibility. Unabwabwaja tu.
Kiranga acha kuropoka.
Rejea kwenye mada. Hatuwezi kuanza kujadili vitu vilivyo nje ya mada.

Tunaongelea HOW for science and WHY for religion.

Kama umeshindwa kutoa definition na kunitaka mimi nikuletee ni kukosa kujiamini.
Kama umeshindwa basi sepa.

Huna mamlaka ya kuniamulia chochote cha kufanya. Ni akili za kijima na kikoloni.
Hahahahahaha!!!
 
Hivi hakuna mjadala bila kejeli na dharau...😬😬
 
Mkuu hili neno lina maana gani
Ni maneno yanayotoka kwenye vyanzo ambavyo sio vya uhakika na hayathibitishiki kua ni ya kweli kama rumors au mtu fulani aliambiwa na fulani kua fulani alifanya jambo fulani
 
Yaani utuambie mtu anazaliwa na mwanamke mwenye bikra alafu isipingane na sayansi?
 
Sio kweli kwenye sayansi kuna mambo hayatakiwi kupingwa.... bali unatakiwa kupinga ukiwa na data. No data no right to speak... kaa kimya kama hauna cha kuongea. Sayansi imeweka misingi ya kuendea jambo "hypothesis".. actually unapata umaarufu kwenye sayansi kwa kumpinga tafiti ya mwengine with facts.
 
Kubali kwanza kwenye sayansi kila kitu kinahojiwa. Maana umeanza kujipinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…