Back to the topic sie tuliokua na dini ambao slogani yetu ilikua ni kazi na sala ndo tuliokua na akili kuliko hawa wacheza viduku wa shule za kata ambao mwaka mzima hawasali hata Mara moja
How do you know something does not exist?
Nioneshe 3 tu!
Umeomba uonyeshwe bible contradictions 3 tu!
Mi nakupa za ziada;-
The Order of Creation
Genesis 1:11-12 and 1:26-27-Trees came-before-Adam.
Genesis 2:4-9-Trees came-after-Adam
.Genesis 1:20-21 and 26-27-Birds were created-before-Adam.
Genesis
2:7 and 2:19-Birds were created-after-Adam.
Genesis 1:24-27-Animals were created-before-Adam.
Genesis 2:7 and 2:19-Animals were created-after-Adam.
Genesis 1:26-27-Adam and Eve were created at the-same time.
Genesis 2:7 and 2:21-22-Adam was created first, woman sometime-later.
Other Issues in the Garden
Genesis 1:31-God was pleased with his creation.
Genesis 6:5-6-God was not pleased with his creation.
Which raises the question, how can an omnipotent, omniscient God create something he's not pleased with?
Genesis 2:3-Then God blessed the seventh day and made it holy, because on it he rested from all the work of creating that he had done.An omnipotent being required…rest?
Eiyer this is only introduction!!
I have hundreds more if you want!!
Sasa zamu yako kujibu swali la bubbs
Sijui kiingereza!
Niwekee ya kiswahili!
Umeanza kurukaruka sio!?
Teh teh teh teh !
WAKIRISTO ni kazi kweli kweli!
Yaani leo lugha ya mungu wako huijui!!!?
Sijui kiingereza!
Niwekee ya kiswahili!
We umma wa jf unakushangaa leo kuleta visababu vya kitoto lkn mi ntakutafsiria tu!
Sasa sijui utakuja na sababu gani tena!
Haya pata raha hapa!
Tazama mparaganyiko wa andiko lako.
Amri ya Uumbaji
Mwanzo 1:11-12 na 1:26-27 Miti ilikuja kabla Adam.
Genesis 2:4-9 Miti ilikuja baada ya Adam
.Genesis 1:20-21 na 26-27 ndege waliumbwa kabla Adam.
Genesis 2:07 na 2 :19 ndege waliumbwa baada Adam.
Genesis 1:24-27 wanyama waliumbwa kabla Adam.
Genesis 02:07 na 02:19 wanyama waliumbwa baada Adam.
Genesis 1:26-27 Adamu na Hawa waliumbwa kwa wakati mmoja.
Mwanzo 02:07 na 2:21-22 Adamu aliumbwa kwanza , mwanamke aliumbwa baadaye .
Masuala mengine katika Bustani!
Mwanzo 1:31 Mungu alifurahishwa na uumbaji wake.
.Genesis 6:5-6 Mungu hakufurahishwa na uumbaji wake!
Kama alivyojibu member mmoja hapo juu, yai la mama lilikutana na sperm ya baba likaotesha mtoto.
Ukweli ni, KWA SASA, hakuna anayejua mwanzo wa life yote duniani ulikuwa ni nini/vipi.
Wewe unayetaka kusema mungu ni muumba, na nani kamuumba mungu? NA muumba wa muumba wa mungu?
Kuhusu maisha baada ya kifo , SIJUI. Najua miaka elfu na elfu viumbe vinatokea na kutoweka duniani. Vitokapo viendapo HATUJUI. Curiosity na woga wabinadamu ndo imezalisha
Mungu, mbingu, malaika, shetani......vyote vya kufikirika......
Kama hukumbuki kabla hujazaliwa ulikuwaje, kwanini unahangaika baada ya kufa utakuwaje....infact, inaweza kuwa tu kama ya kabla hujazaliwa, YAANI, hutojua.
oh Mjasiria, if you're a bible beleiver and unajua its contradictory then you're very lucky. For sure wengi hawajui. And so tunakubaliana the bible is NOT inerrant nor infallible as its claimed.Well suala la biblia kuwa contradictory ni suala linajulikana kitambo sana. Sasa wewe huyu Mungu wa waisraeli unamkubali au unamkataa na kama unamkataa ni kwa sababu zipi?
We Eiyer mbona unatoa majibu ya mkato!
Iko wapi habari ya uumbaji wa adam na hawa hapa?
Kabla sijachambua zile hoja zako dhaifu pale juu. Unatakiwa ujibu maswali yote na hizo contradictions zote hapo juu. Sio kuchagua kipi ujibu na kipi ukiepuke!
oh Mjasiria, if you're a bible beleiver and unajua its contradictory then you're very lucky. For sure wengi hawajui. And so tunakubaliana the bible is NOT inerrant nor infallible as its claimed.
Simkubali.
Kwanza kwasababu as nilivyotoa mfano, genealogy ya biblia is very clear. Ukihesabu hata miaka ya wale waliodaiwa kuishi miaka 900, haizidi miaka 6000 iliyopita. So kama mungu wa biblia anadai alianza adam mpaka Abraham mpaka daudi mpaka yesu wakati tunajua watu walikuwepo zamani saaana kuliko hao, nimwaminije? Biblia ikisomwa kama historia na story ya Wayahudi ndo italeta maana, lakini si wanadamu wote.
Pili, I hope Unajua jinsi vitabu vya biblia vilivyokusanywa na kwa malengo yapi (hence accounting for the numerous contradictions). Yani story zingine ziliandikwa waay before zile za biblia (kama gharika, Abraham kujaribiwa kuua mwanaye, Adam n Eve), kwanini nione biblia nzima matukio halisi badala ya one of man's great works a fiction?
Tatu, contradictions zenyewe. Niamini kipi? Yeye msimamo wake ni kwenye kuua tu wakati vingine anasuasua.
Nne,, sifa zake. Nilifikiri mungu Ana ukuu flani. Sasa kama mungu alifanya mambo ambayo ukifanya saa hivi, utashitakiwa na haki za binadamu na kufungwa, tukubali either mungu naye hujifunza na makosa! Au yale aliyodaiwa kufanya ni alisingiziwa, sio yeye, ni wanadamu kwa kisingizio wanaongozwa na mungu. Mfano nilimwambia eiyer, alikubali utumwa, alikubali ubakaji, alikubali uuaji wa watoto na wanyama wasio na hatia. Heck! Hata wanaume wasio na hatia. Eti nchi ya ahadi! Ambayo hadi leo ndo kisingizio cha migogoro isiyoisha kule mashariki ya kati.ona hata wanawake wasivyo na thamani kwa mungu huyo. Eti 'go conquer the nations and save the virgins for yourswlf". Mxiuu. That and many more.
Tano, mtu akiamua kujisomea history ya wanadamu, Wayahudi is such a small part, nothing special. Si wao pekeyao walipigana vita in the name of god na kushinda. Si wao pekeyao waliofikiri 'they are the chosen ones'.
they are lucky to have stood out above the rest.
So what's so special mpaka mungu wao akuzwe kuliko wengine?? If any thing natamani Hinduism ndo ingesimama.
Mwisho kwanini ananijaribu nimkubali kwa imani? Kwanini amekutokea wewe akakwambia niamini ndo niishi? Kwanini sio mimi? Na kama inanibidi niamini anayenifwata, nitakubali wangapi? Kila mtu ana kila namna ya uthibitisho wake. Mwishowe naadhibiwa kwa kuchagua the wrong god. Hivi huyu ananipenda kweli!!!!!
Kila siku unajichanganya tu
Unaposoma biblia usisome kama kile kitabu chenu mlichopewa na ..........
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Kitabu cha mwanzo 1 kinaelezea uumbaji kwa ujumla wake na mwanzo 2 kinafafanua namna uumbaji ulivyofanyika na kwanini
Hkuna cha kukinzana wala nini!
Hapa hakuna kipya wala cha kushangaza
Wewe ndio unajichanganya tu
Mwanzo 1:31 Mungu anazungumzia kitu tofauti na mwanzo 6:5-6
Mwanzo 1:31 Mungu anapendezwa na uumbaji wake baada ya kuumba
31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
Mwanzo 6:5-6 Mungu anazungumzia tabia za wanadamu zilivyokuwa za hovyo tofauti na malengo yake,hapa hii mistari miwili haina uhusiano wowote juu ya kile kinachozungumziwa
5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
6 Bwana akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo
Why do you bother talking about God or the Bible when you don't even believe in it?
We Eiyer mbona unatoa majibu ya mkato!
Iko wapi habari ya uumbaji wa adam na hawa hapa?
Kabla sijachambua zile hoja zako dhaifu pale juu. Unatakiwa ujibu maswali yote na hizo contradictions zote hapo juu. Sio kuchagua kipi ujibu na kipi ukiepuke!
Kwahiyo ukizaa mtoto ukasema "wow mwanangu is perfect" na baadae akija kuwa uuum "muuaji" hutasema unajuta duniani?
Inshort, unafikiri kuna tofauti ya mwanadamu na matendo yake?
Unagekua unaongea na ushahidi ingekua vyema sana!
Zungumza maneno toa mstari kutoka kwenye maandiko sio kusema tu!
Mistari mingapi upewe??
Kila unavyozidi kukimbia kimbia ndivyo unavovunja credibility yako hapa jf!
Jaribu kuwa mparokia imara! Jibu hoja kama zinavyokuja! Na kama kuna kitu unaona kabisa ni kweli, basi kukubali kwako hakutokufanya uonekane huna maana!
Bali utakuwa umekubali ukweli, kitu ambacho waungwana wote ndio wanakifanya!
Sasa je! Unakubali kuwa biblia ina contradiction au hukubali??