Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Back to the topic sie tuliokua na dini ambao slogani yetu ilikua ni kazi na sala ndo tuliokua na akili kuliko hawa wacheza viduku wa shule za kata ambao mwaka mzima hawasali hata Mara moja

Yaani uko off-topic(uko chaka) full mkuu,...nadhani haujaelewa mada inayojadiliwa kabisaaaa...i wonder hata unavyojisifia eti mlikuwa na akili wakati hata content ya thread haujailewa,...i.e wewe unajadili alama mlizopata darasani baada ya kukariri notes wakati hapa tunajadili uelewa wa mambo kwa mapana yake.
 
How do you know something does not exist?

Nioneshe 3 tu!

Umeomba uonyeshwe bible contradictions 3 tu!

Mi nakupa za ziada;-

The Order of Creation

Genesis 1:11-12 and 1:26-27-Trees came-before-Adam.
Genesis 2:4-9-Trees came-after-Adam

.Genesis 1:20-21 and 26-27-Birds were created-before-Adam.
Genesis
2:7 and 2:19-Birds were created-after-Adam.

Genesis 1:24-27-Animals were created-before-Adam.
Genesis 2:7 and 2:19-Animals were created-after-Adam.

Genesis 1:26-27-Adam and Eve were created at the-same time.
Genesis 2:7 and 2:21-22-Adam was created first, woman sometime-later.

Other Issues in the Garden

Genesis 1:31-God was pleased with his creation.
Genesis 6:5-6-God was not pleased with his creation.
Which raises the question, how can an omnipotent, omniscient God create something he’s not pleased with?

Genesis 2:3-Then God blessed the seventh day and made it holy, because on it he rested from all the work of creating that he had done.An omnipotent being required…rest?

Eiyer this is only introduction!!

I have hundreds more if you want!!

Sasa zamu yako kujibu swali la bubbs
 
Last edited by a moderator:
Umeomba uonyeshwe bible contradictions 3 tu!

Mi nakupa za ziada;-

The Order of Creation

Genesis 1:11-12 and 1:26-27-Trees came-before-Adam.
Genesis 2:4-9-Trees came-after-Adam

.Genesis 1:20-21 and 26-27-Birds were created-before-Adam.
Genesis
2:7 and 2:19-Birds were created-after-Adam.

Genesis 1:24-27-Animals were created-before-Adam.
Genesis 2:7 and 2:19-Animals were created-after-Adam.

Genesis 1:26-27-Adam and Eve were created at the-same time.
Genesis 2:7 and 2:21-22-Adam was created first, woman sometime-later.

Other Issues in the Garden

Genesis 1:31-God was pleased with his creation.
Genesis 6:5-6-God was not pleased with his creation.
Which raises the question, how can an omnipotent, omniscient God create something he's not pleased with?

Genesis 2:3-Then God blessed the seventh day and made it holy, because on it he rested from all the work of creating that he had done.An omnipotent being required…rest?

Eiyer this is only introduction!!

I have hundreds more if you want!!

Sasa zamu yako kujibu swali la bubbs

Sijui kiingereza!
Niwekee ya kiswahili!
 
Sijui kiingereza!
Niwekee ya kiswahili!

We umma wa jf unakushangaa leo kuleta visababu vya kitoto lkn mi ntakutafsiria tu!

Sasa sijui utakuja na sababu gani tena!
Haya pata raha hapa!

Tazama mparaganyiko wa andiko lako.

Amri ya Uumbaji

Mwanzo 1:11-12 na 1:26-27 Miti ilikuja kabla Adam.
Genesis 2:4-9 Miti ilikuja baada ya Adam

.Genesis 1:20-21 na 26-27 ndege waliumbwa kabla Adam.
Genesis 2:07 na 2 :19 ndege waliumbwa baada Adam.

Genesis 1:24-27 wanyama waliumbwa kabla Adam.
Genesis 02:07 na 02:19 wanyama waliumbwa baada Adam.

Genesis 1:26-27 Adamu na Hawa waliumbwa kwa wakati mmoja.

Mwanzo 02:07 na 2:21-22 Adamu aliumbwa kwanza , mwanamke aliumbwa baadaye .

Masuala mengine katika Bustani!

Mwanzo 1:31 Mungu alifurahishwa na uumbaji wake.
.Genesis 6:5-6 Mungu hakufurahishwa na uumbaji wake!

hapa linazuka swali ,
Ni vipi mungu mkuu, jalali , anayejua yote, mwenye uwezo wote! kuumba kitu ambacho yeye mwenyewe hakuwa radhi nacho??.

Mwanzo 02:03 Kisha Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alipumzika kutokana kazi ya kuumba!

Kweli inaingia akili kuwa mungu mkuu, mtukufu mwenye uwezo wa juu kabisa na yeye pia huwa anachoka na anahitaji kupumzika ...?

Na hii ni mifano michache tu! Ukitaka ziada ninayo kwa wingi sana!

Sasa unafuata vipi kitabu kilicho paraganyika namna hii?

Unajua mi huwa najiuliza nyie kwa nini mnapenda kusema uongo! Kumbe ni kitabu chenu ndio kinacho wapotosha!!
 
We umma wa jf unakushangaa leo kuleta visababu vya kitoto lkn mi ntakutafsiria tu!

Sasa sijui utakuja na sababu gani tena!
Haya pata raha hapa!

Tazama mparaganyiko wa andiko lako.

Amri ya Uumbaji

Mwanzo 1:11-12 na 1:26-27 Miti ilikuja kabla Adam.
Genesis 2:4-9 Miti ilikuja baada ya Adam

.Genesis 1:20-21 na 26-27 ndege waliumbwa kabla Adam.
Genesis 2:07 na 2 :19 ndege waliumbwa baada Adam.

Genesis 1:24-27 wanyama waliumbwa kabla Adam.
Genesis 02:07 na 02:19 wanyama waliumbwa baada Adam.

Genesis 1:26-27 Adamu na Hawa waliumbwa kwa wakati mmoja.

Mwanzo 02:07 na 2:21-22 Adamu aliumbwa kwanza , mwanamke aliumbwa baadaye .

Kila siku unajichanganya tu
Unaposoma biblia usisome kama kile kitabu chenu mlichopewa na ..........

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Kitabu cha mwanzo 1 kinaelezea uumbaji kwa ujumla wake na mwanzo 2 kinafafanua namna uumbaji ulivyofanyika na kwanini

Hkuna cha kukinzana wala nini!

Masuala mengine katika Bustani!

Mwanzo 1:31 Mungu alifurahishwa na uumbaji wake.
.Genesis 6:5-6 Mungu hakufurahishwa na uumbaji wake!

Hapa hakuna kipya wala cha kushangaza
Wewe ndio unajichanganya tu
Mwanzo 1:31 Mungu anazungumzia kitu tofauti na mwanzo 6:5-6

Mwanzo 1:31 Mungu anapendezwa na uumbaji wake baada ya kuumba
31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.

Mwanzo 6:5-6 Mungu anazungumzia tabia za wanadamu zilivyokuwa za hovyo tofauti na malengo yake,hapa hii mistari miwili haina uhusiano wowote juu ya kile kinachozungumziwa

5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
6 Bwana akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo
 
Kama alivyojibu member mmoja hapo juu, yai la mama lilikutana na sperm ya baba likaotesha mtoto.

Ukweli ni, KWA SASA, hakuna anayejua mwanzo wa life yote duniani ulikuwa ni nini/vipi.

Wewe unayetaka kusema mungu ni muumba, na nani kamuumba mungu? NA muumba wa muumba wa mungu?

Kuhusu maisha baada ya kifo , SIJUI. Najua miaka elfu na elfu viumbe vinatokea na kutoweka duniani. Vitokapo viendapo HATUJUI. Curiosity na woga wabinadamu ndo imezalisha
Mungu, mbingu, malaika, shetani......vyote vya kufikirika......

Kama hukumbuki kabla hujazaliwa ulikuwaje, kwanini unahangaika baada ya kufa utakuwaje....infact, inaweza kuwa tu kama ya kabla hujazaliwa, YAANI, hutojua.

i support this 100%
we jamaa umeongea very simple but very complex.
i credit u with A
 
The truth is that, religious people do not incline to worldly knowledge. I mean, it is hard to understand GOD. Once you embark in searching for GOD and that is religious you become occupied with moral and immortal ideas. How could you cry for worldly intelligence? while in principal, the intelligence and knowledge of this world is the stupidity before GOD. Most of the learned guys in this world keep on trying to understand GOD...the supernatural power. Count most genius; they later come to recognize this supernatural power. One thing I can say: most atheist are usually in stages of learning once they start understanding the power that is beyond human usually it is when they believe. When they believe, they choose to be mostly Christians or Muslim etc. You have chosen to compare damn idiot and lunatics from both atheist and religious, off course I can not deny yes they may be few genius atheist than the list of genius religious people.
 
karl marx once argue : religion some time is an opium of mass....

especially katika hizi karne za karibuni..

ila kiukweli , na kisaikolojia kuna baadhi ya dini waumini wao ni very very super intelligence....in capicity namaanisha brain storage capicity (alot of terebite ambazo ni RAM) , WAKO VIZURI KIKUFIKIRI BUSARA NA INVENTIONS...

NA ALMOST WANADINI HAO NI WATU WAKUTATUA MATATIZO NA KUANGALIA HOW CAN THEY KEEP THE ENVIROMENT NA DUNIA KWA UJUMLA SEHEMU YA AMANI NA UPENDO..

NI WANADINI AMBAO KNOWLEDGE YAO NA AKILI ZAO NI KWA AJILI YA FAMILIA , NDUGU NA JAMII YAO KWA UJUMLA ..NA SIO MAFISADII...

ASANTENI KWAKULIELEWA.
 
questioneverything.jpg

Why do you bother talking about God or the Bible when you don't even believe in it?
 
Well suala la biblia kuwa contradictory ni suala linajulikana kitambo sana. Sasa wewe huyu Mungu wa waisraeli unamkubali au unamkataa na kama unamkataa ni kwa sababu zipi?
oh Mjasiria, if you're a bible beleiver and unajua its contradictory then you're very lucky. For sure wengi hawajui. And so tunakubaliana the bible is NOT inerrant nor infallible as its claimed.

Simkubali.

Kwanza kwasababu as nilivyotoa mfano, genealogy ya biblia is very clear. Ukihesabu hata miaka ya wale waliodaiwa kuishi miaka 900, haizidi miaka 6000 iliyopita. So kama mungu wa biblia anadai alianza adam mpaka Abraham mpaka daudi mpaka yesu wakati tunajua watu walikuwepo zamani saaana kuliko hao, nimwaminije? Biblia ikisomwa kama historia na story ya Wayahudi ndo italeta maana, lakini si wanadamu wote.

Pili, I hope Unajua jinsi vitabu vya biblia vilivyokusanywa na kwa malengo yapi (hence accounting for the numerous contradictions). Yani story zingine ziliandikwa waay before zile za biblia (kama gharika, Abraham kujaribiwa kuua mwanaye, Adam n Eve), kwanini nione biblia nzima matukio halisi badala ya one of man's great works a fiction?

Tatu, contradictions zenyewe. Niamini kipi? Yeye msimamo wake ni kwenye kuua tu wakati vingine anasuasua.

Nne,, sifa zake. Nilifikiri mungu Ana ukuu flani. Sasa kama mungu alifanya mambo ambayo ukifanya saa hivi, utashitakiwa na haki za binadamu na kufungwa, tukubali either mungu naye hujifunza na makosa! Au yale aliyodaiwa kufanya ni alisingiziwa, sio yeye, ni wanadamu kwa kisingizio wanaongozwa na mungu. Mfano nilimwambia eiyer, alikubali utumwa, alikubali ubakaji, alikubali uuaji wa watoto na wanyama wasio na hatia. Heck! Hata wanaume wasio na hatia. Eti nchi ya ahadi! Ambayo hadi leo ndo kisingizio cha migogoro isiyoisha kule mashariki ya kati.ona hata wanawake wasivyo na thamani kwa mungu huyo. Eti 'go conquer the nations and save the virgins for yourswlf". Mxiuu. That and many more.

Tano, mtu akiamua kujisomea history ya wanadamu, Wayahudi is such a small part, nothing special. Si wao pekeyao walipigana vita in the name of god na kushinda. Si wao pekeyao waliofikiri 'they are the chosen ones'.
they are lucky to have stood out above the rest.

So what's so special mpaka mungu wao akuzwe kuliko wengine?? If any thing natamani Hinduism ndo ingesimama.

Mwisho kwanini ananijaribu nimkubali kwa imani? Kwanini amekutokea wewe akakwambia niamini ndo niishi? Kwanini sio mimi? Na kama inanibidi niamini anayenifwata, nitakubali wangapi? Kila mtu ana kila namna ya uthibitisho wake. Mwishowe naadhibiwa kwa kuchagua the wrong god. Hivi huyu ananipenda kweli!!!!!
 
We Eiyer mbona unatoa majibu ya mkato!
Iko wapi habari ya uumbaji wa adam na hawa hapa?

Kabla sijachambua zile hoja zako dhaifu pale juu. Unatakiwa ujibu maswali yote na hizo contradictions zote hapo juu. Sio kuchagua kipi ujibu na kipi ukiepuke!
 
Unagekua unaongea na ushahidi ingekua vyema sana!

Zungumza maneno toa mstari kutoka kwenye maandiko sio kusema tu!
 
Kila siku unajichanganya tu
Unaposoma biblia usisome kama kile kitabu chenu mlichopewa na ..........

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Kitabu cha mwanzo 1 kinaelezea uumbaji kwa ujumla wake na mwanzo 2 kinafafanua namna uumbaji ulivyofanyika na kwanini

Hkuna cha kukinzana wala nini!

Hapa hakuna kipya wala cha kushangaza
Wewe ndio unajichanganya tu
Mwanzo 1:31 Mungu anazungumzia kitu tofauti na mwanzo 6:5-6

Mwanzo 1:31 Mungu anapendezwa na uumbaji wake baada ya kuumba
31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.

Mwanzo 6:5-6 Mungu anazungumzia tabia za wanadamu zilivyokuwa za hovyo tofauti na malengo yake,hapa hii mistari miwili haina uhusiano wowote juu ya kile kinachozungumziwa

5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
6 Bwana akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo

Kwahiyo ukizaa mtoto ukasema "wow mwanangu is perfect" na baadae akija kuwa uuum "muuaji" hutasema unajuta duniani?
Inshort, unafikiri kuna tofauti ya mwanadamu na matendo yake?
 
questioneverything.jpg

Why do you bother talking about God or the Bible when you don't even believe in it?

You dont have to believe in God to talk about Him!
And to talk about God is one of very effective way of people to start believing in God.
Com on M Mkwawa ! I though you know better!
 
Last edited by a moderator:
We Eiyer mbona unatoa majibu ya mkato!
Iko wapi habari ya uumbaji wa adam na hawa hapa?

Kabla sijachambua zile hoja zako dhaifu pale juu. Unatakiwa ujibu maswali yote na hizo contradictions zote hapo juu. Sio kuchagua kipi ujibu na kipi ukiepuke!

31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
 
Kwahiyo ukizaa mtoto ukasema "wow mwanangu is perfect" na baadae akija kuwa uuum "muuaji" hutasema unajuta duniani?
Inshort, unafikiri kuna tofauti ya mwanadamu na matendo yake?

Tatizo unataka kusema mambo mengi kwa wakati mmoja jambo linalokufanya usieleweke

Kila wakati nalazimika kukuuliza Mungu ni nani/nini kwa ufahamu wako kwa kuwa unatoa mifano isiyoeleweka
Hebu niambie unafahamu Mungu ni nini/nani?maana inawezekana ikawa ufahamu wako kuhusu Mungu ndio tatizo!
 
Unagekua unaongea na ushahidi ingekua vyema sana!

Zungumza maneno toa mstari kutoka kwenye maandiko sio kusema tu!

Mistari mingapi upewe??
Kila unavyozidi kukimbia kimbia ndivyo unavovunja credibility yako hapa jf!
Jaribu kuwa mparokia imara! Jibu hoja kama zinavyokuja! Na kama kuna kitu unaona kabisa ni kweli, basi kukubali kwako hakutokufanya uonekane huna maana!
Bali utakuwa umekubali ukweli, kitu ambacho waungwana wote ndio wanakifanya!

Sasa je! Unakubali kuwa biblia ina contradiction au hukubali??
 
Wewe hebu tuliza ubongo wako

Umedandia treni kwa mbele
Hebu kuwa unaangalia kwanza kabla hujaandika chochote
Ulichoquote sijakujibu wewe,angalia nilichoquote halafu ndipo uandike commet zako
Sio unakurupuka tu
Hicho nilichoandika hapo hakikuhusu kinamhusu niliyem-quote!!
 
Back
Top Bottom