Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

samahan sheikh, mim naomba ujibu ile hoja ya contradictions kwenye qur'an kuhus 6 days za uumbaji, instead of 8, au hukuoiona?

Hakuna hio kitu ktk quraan ndugu!
Huo ni uzushi na kuchanganya lugha!
Hebu nenda mwenyewe kwenye hizo aya halafu usome tafsiri MWENYEWE!
Ndipo utaona anacho kiandika huyo muheshimiwa hapo juu!.
Mimi ninacho kuandikia unaweza kukitazama mwenyewe kwa ushahidi zaidi!
 
Ndugu, dini huwa haina msaada wowote ule, zaidi ya hapo, dini si mali kitu.

Kitu cha Muhimu ni kumpokea Yesu Kristo, halafu Mwachie Holy Spirit aanze kutoa darsah, hapo, upeo wako utakuwa wa juu zaidi ya hata Allah wa Islam.

Ndio maana Ukristo SI dini, bali ni UFUASI wa Kristo ambaye ni Mungu, wale wa kule, I mean Waislam, wao wanafuata dini/njia, ikimaanisha hata allah wao hawamfuati, wao wapo kwenye njia ya miasha, what a shame to islam and his prophet who couldn't read or write.

Si unaona!?!
Umekubali mwenyewe kuwa DINI YAKO HAINA MSAADA WOWOTE NA WEWE!

sasa umelazimishwa kuabudu hayo masanamu ambayo hata yesu alipiga marufuku??
 
siku ya mwisho kama kweli ipo, one of the two dominant religions will go to hell, waislam wakiwa sahihi bas wakristo chali, na ikitokea wakristo sahihi waislam wote nao moton. Mtihan sana hapa

Jaribu kupima ni ipi ktk hizi mbili imechakachuliwa!?
Uislamu una matabaka kadhaa lkn TOKA MWANZO WAKE NI KITABU NI KIMOJA TU!

Leo UKIRISTO UNA BIBLIA 52!! DUNIANI!
NA HAKUNA HATA MOJA KTK HIZO NI BIBLIA YA ASILI!!

Sasa hao waumini wa kikristo wakitaka kujua ukweli WATAKWENDA KUHAKIKISHA KWENYE BIBLIA IPI??

sasa hapo tumia akili yako mwenyewe!
 
Kwa nin unasema kati ya hizo 52 hakuna biblia asili?

Je wewe unajua biblia asili ni ipi mpaka useme hakuna biblia asili kat ya hizo 52?
 
Nilijaribu kufanyia uchunguzi hoja ya waislamu kuwa biblia imechakachuliwa ndo mana ziko nyingi.

nilitafuta versions 3 tofauti mojawapo ikiwa KJV (King James' Version) nikasoma chapters mbal mbal, nlichoona tofauti ni lugha tu, mf KJV inatumia zaid archaic words ukilinganisha na versions nyingine, ila content ni ileile,
 
Kwa nin unasema kati ya hizo 52 hakuna biblia asili?

Je wewe unajua biblia asili ni ipi mpaka useme hakuna biblia asili kat ya hizo 52?

tunasema kuwa ili kitabu kiitwe cha kiasili basi ile lugha ya muandishi au yale maneno ya yule muhusika wa kitabu kile LAZIMA IWE ILE ILE YAKE!

Sasa ukiangalia ktk vitabu hivi viwili yaani {quraan na biblia} utakuta kuwa LUGHA YA MUHUSIKA WA QURAAN ILIKUWA NI KIARABU! NA QURAAN IMEBAKI NA LUGHA HIO HIO TOKA MWANZO HADI LEO ! ZAIDI YA MIAKA 1400!

Kwa upande wa BIBLIA , Wote tunafahamu kuwa LUGHA YA YESU ILIKUWA NI KI ARAMAIC!! sasa hebu tafuta BIBLIA YA KI ARAMAIC! dunia kote kama utaipata!!
ZOOTE ZILIZOBAKI NI TAFASIRI TU AMBAZO ZIMECHAKACHULIWA NA ZINA CONTRADICTIONS ZISIZO NA IDADI
 
Nilijaribu kufanyia uchunguzi hoja ya waislamu kuwa biblia imechakachuliwa ndo mana ziko nyingi.

nilitafuta versions 3 tofauti mojawapo ikiwa KJV (King James' Version) nikasoma chapters mbal mbal, nlichoona tofauti ni lugha tu, mf KJV inatumia zaid archaic words ukilinganisha na versions nyingine, ila content ni ileile,

nimekupa mfano hapo juu kuhusu hatari ya kukosa kitabu cha asili,

nakupa mfano wa pili!
ikiwa quraan ya Kiswahili imetafsiri aya namba 1 ktk quraan kuwa ni " mtu huyo afungwe jela"
na quraan ya kifaransa imetafsiri aya hiohio namba 1 kuwa"mtu huyo anyongwe"

basi hapa tatizo linakuwa ni dogo tu! INACHUKULIWA QURAAN YENYE LUGHA NA TAMKO LA ASILI, WANACHUKIWA MABINGWA WA LUGHA ZA KIARABU NA KISWAHILI PAMOJA NA MABINGWA WA LUGHA YA KIARABU NA KIFARANSA BASI MAMBO YANAMALIZWA KWA DAKIKA TU!!

Sasa tatizo kama hilo likitokea kwenye BIBLIA YA KIINGEREZA NA KIRUSI?? WATAENDA WAPI KUTAFUTA UHAKIKA WA LILE NENO?? AU HIO AYA??

NDIO MAANA NI RAHISI KUCHAKACHUA BIBLIA NA NI IMPOSIBLE KUGEUZA HATA NENO MOJA LA QURAAN!!
 
tunasema kuwa ili kitabu kiitwe cha kiasili basi ile lugha ya muandishi au yale maneno ya yule muhusika wa kitabu kile LAZIMA IWE ILE ILE YAKE!

Sasa ukiangalia ktk vitabu hivi viwili yaani {quraan na biblia} utakuta kuwa LUGHA YA MUHUSIKA WA QURAAN ILIKUWA NI KIARABU! NA QURAAN IMEBAKI NA LUGHA HIO HIO TOKA MWANZO HADI LEO ! ZAIDI YA MIAKA 1400!

Kwa upande wa BIBLIA , Wote tunafahamu kuwa LUGHA YA YESU ILIKUWA NI KI ARAMAIC!! sasa hebu tafuta BIBLIA YA KI ARAMAIC! dunia kote kama utaipata!!
ZOOTE ZILIZOBAKI NI TAFASIRI TU AMBAZO ZIMECHAKACHULIWA NA ZINA CONTRADICTIONS ZISIZO NA IDADI

Kuhusu kuchakachuliwa bado hujaniconvice kwa sababu nimesome versions tofauti tofauti content ni ile ile tofaut ni lugha.

Kuhusu hizo contradictions hata kwenye quraan ziko kibao jamaa kaorodhesha
 
nimekupa mfano hapo juu kuhusu hatari ya kukosa kitabu cha asili,

nakupa mfano wa pili!
ikiwa quraan ya Kiswahili imetafsiri aya namba 1 ktk quraan kuwa ni " mtu huyo afungwe jela"
na quraan ya kifaransa imetafsiri aya hiohio namba 1 kuwa"mtu huyo anyongwe"

basi hapa tatizo linakuwa ni dogo tu! INACHUKULIWA QURAAN YENYE LUGHA NA TAMKO LA ASILI, WANACHUKIWA MABINGWA WA LUGHA ZA KIARABU NA KISWAHILI PAMOJA NA MABINGWA WA LUGHA YA KIARABU NA KIFARANSA BASI MAMBO YANAMALIZWA KWA DAKIKA TU!!

Sasa tatizo kama hilo likitokea kwenye BIBLIA YA KIINGEREZA NA KIRUSI?? WATAENDA WAPI KUTAFUTA UHAKIKA WA LILE NENO?? AU HIO AYA??

NDIO MAANA NI RAHISI KUCHAKACHUA BIBLIA NA NI IMPOSIBLE KUGEUZA HATA NENO MOJA LA QURAAN!!

Sasa hapa unajustify hoja ya mkwawa kwamba quraan ni kwa ajil ya waarabu ndo mana lugha yake ni kiarabu tu.
 
mbokaleo

Naomba uniambie kwa nin kuna vitu flan vinafanana katika quraan na bible.

Mf injili, torat na zaburi
 
UKITAKA KUJUA KASORO ZINAZO WASUMBUA WAGALATIA!! BASI ANGALIA CHANZO CHA Hizo KASORO! NAZO NI MTU ANAITWA NABII PAULO!!

SOMA HISTORIA YA HUYU BWANA NDIO UTAKAPO ONA KWANINI MPAKA LEO UKO MPARAGANYIKO MKUBWA BAINA YA MAKANISA!!
Jehova witness wanakwambia YESU SI MUNGU! WAKATOLIKI WANASEMA NI MUNGU! Na kila mmoja ana biblia yake ya kuonyesha hayo madai!!
 
Sasa hapa unajustify hoja ya mkwawa kwamba quraan ni kwa ajil ya waarabu ndo mana lugha yake ni kiarabu tu.

hapana!! NIMESEMA QURAAN LUGHA YAKE YA ASILI NI KIARABU! KAMA VILE INJILI LUGHA YAKE YA ASILI NI KI ARMAIC NA ZABURI NI EBRANIA!! NA TAURATI NI KIEBRANIA PIA.

HIZI NI LUGHA ZA ASILI! KITU AMBACHO BIBLIA YA LEO HAINA!!
 
mbokaleo

Naomba uniambie kwa nin kuna vitu flan vinafanana katika quraan na bible.

Mf injili, torat na zaburi

Mimi kama Muislamu imani yangu inanifundisha kuwa kabla ya mtume wangu Muhammad s.a.w kuja! kulikuwa na manabii wengine kama ABRAHAM, MOSES NOAH SOLOMON DAVID JOHN THE BABTIS NA JESUS.

NA MANABII WOOTE HAWA WALIAMRISHA AABUDIWE MUNGU MMOJA TU!!
NA WOTE WALIAMRISHA MAMBO AMBAYO YANA FANANA JAPOKUWA KUNA VITOFAUTI VIDOGO VIDOGO!!

SUALA LA MUNGU KUZAA NA KUITWA BABA NA MWANA NA MAMA NA ROHO! HAYA YOOTE YAMELETWA NA PAULO!!

NDIO MAANA VITABU VYA KWELI VYA MUNGU VINA FANANA LKN VYA UONGO VINAPINGANA HATA VYENYEWE KWA VYENYEWE!!
 
UKITAKA KUJUA KASORO ZINAZO WASUMBUA WAGALATIA!! BASI ANGALIA CHANZO CHA Hizo KASORO! NAZO NI MTU ANAITWA NABII PAULO!!

SOMA HISTORIA YA HUYU BWANA NDIO UTAKAPO ONA KWANINI MPAKA LEO UKO MPARAGANYIKO MKUBWA BAINA YA MAKANISA!!
Jehova witness wanakwambia YESU SI MUNGU! WAKATOLIKI WANASEMA NI MUNGU! Na kila mmoja ana biblia yake ya kuonyesha hayo madai!!

unazungumzia paulo au petro aliekwenda rome kuanzisha ukatoliki?

Sasa hapo kuhusu huyo petro aliyeanzisha ukatoliki kuna historia mbili tofauti, waislam wana ya kwao na wakristo pia,

Nimeshasikiliza pande zote
 
Mimi kama Muislamu imani yangu inanifundisha kuwa kabla ya mtume wangu Muhammad s.a.w kuja! kulikuwa na manabii wengine kama ABRAHAM, MOSES NOAH SOLOMON DAVID JOHN THE BABTIS NA JESUS.

NA MANABII WOOTE HAWA WALIAMRISHA AABUDIWE MUNGU MMOJA TU!!
NA WOTE WALIAMRISHA MAMBO AMBAYO YANA FANANA JAPOKUWA KUNA VITOFAUTI VIDOGO VIDOGO!!

SUALA LA MUNGU KUZAA NA KUITWA BABA NA MWANA NA MAMA NA ROHO! HAYA YOOTE YAMELETWA NA PAULO!!

NDIO MAANA VITABU VYA KWELI VYA MUNGU VINA FANANA LKN VYA UONGO VINAPINGANA HATA VYENYEWE KWA VYENYEWE!!

Tutaendelea kesho mkuu, ngoja nilale nisije chelewa job, I still hav a lot to ask.
 
Kuhusu kuchakachuliwa bado hujaniconvice kwa sababu nimesome versions tofauti tofauti content ni ile ile tofaut ni lugha.

Kuhusu hizo contradictions hata kwenye quraan ziko kibao jamaa kaorodhesha
Dreadnought haya ninayokwambia siyatoi kichwani kwangu!! nimekwambia USICHUKUE MANENO YA MTU UKAYAAMINI MOJA KWA MOJA! NENDA KASOME HIO QURAAN KWA KITUO NA SOMA TAFSIRI ZOTE ZA KISWAHILI NA KIINGEREZA NA KAMA UKIKUTA CONTRADICTION HATA MOJA!! MIMI NINYESHE KESHO NA MIMI NIBATIZWE!!

QURAAN INatoa challenge !!

inasema!

1. The Whole Quran

In the Quran, Allah commanded the Prophet (S) to challenge all of creation to create a book of the stature of the Quran:

islam on Allah's Challenge in the Quran to produce work similar to it

"Say: ‘If all mankind and the jinn would come together to produce the like of this Quran, they could not produce its like even though they exerted all and their strength in aiding one another.'" (Quran 17:88)
2. Ten Chapters

Next, Allah made the challenge ostensibly easier by asking those who denied its divine origin to imitate even ten chapters of the Quran:

islam on Allah's Challenge in the Quran to produce work similar to it

"Or do they say that he has invented it? Say (to them), ‘Bring ten invented chapters like it, and call (for help) on whomever you can besides God, if you are truthful." (Quran 11:13)

3. One Chapter

This final challenge was to produce even a single chapter to match what is in the Quran, whose shortest chapter, al-Kawthar, consists of only three verses:

islam on Allah's Challenge in the Quran to produce work similar to it

"And if you all are in doubt about what I have revealed to My servant, bring a single chapter like it, and call your witnesses besides God if you are truthful." (Quran 2:23)

These challenges were not just empty words with no one caring to prove them wrong. Prophet Muhammad's call to monotheism, to the abolition of idolatry in all its forms, and to the equality of slaves and their masters, threatened the whole socio-economic framework of Mecca society in general, and the position of the ruling Quraishee tribe from which the Prophet (S) came in particular. Mecca, the trading center of Arabia, as well as its spiritual center, desperately wanted to stop the spread of Islam. Yet all that the Prophet's opponents had to do to crush the movement was to make up a single chapter like any one of those which the Prophet (S) and his followers were reciting to the people. A number of Quraishee orators and poets tried to imitate the Quran, but they failed.

na hii challenge mpaka leo hakuna hata mtu mmoja aliyeweza kuifanya!!
sasa hapo ndio ujue quraan si kitabu cha mwanadamu. na hata wewe unakaribishwa kujaribu na yule M Mkwawa pia.
 
siku ya mwisho kama kweli ipo, one of the two dominant religions will go to hell, waislam wakiwa sahihi bas wakristo chali, na ikitokea wakristo sahihi waislam wote nao moton. Mtihan sana hapa

Here is the truth from Allah:

Also narrated by Abdel Razak, narrated by Ibn Ayena, narrated by Ismail Ibn Abu Khalid, narrated by Qais Ibn Abu Hazem who said that Abdallah Ibn Rawaha placed his head on his wife’s lap and BEGAN TO WEEP, so his wife began to weep also. So he asked her, "Why are you weeping?" She responded, "I saw you weeping and so I started to weep." He said, "I remembered the saying of Allah - who is glorified and exalted- (Surah 19:71) ‘Not one of you but will pass through it,’ AND I DON’T KNOW IF I WILL BE SAVED FROM IT OR NOT." In another narration it adds the phrase, ‘he said this while he was ill.’

Also narrated by Ibn Jarir, narrated by Abu Kurayb, narrated by Ibn Yaman, narrated by Malik Ibn Maghul, narrated by Ibn Ishaq who said, "Whenever Abu Maysarah would lie down on his bed he would say, ‘I WISH MY MOTHER HAD NEVER BORE ME.’ AND THEN HE WOULD BEGIN TO WEEP. When asked why he was weeping he would respond, ‘We were told that WE MUSLIMS WOULD ENTER HELL, BUT WE WEREN’T TOLD THAT WE WOULD EXIT FROM IT.’”

Also narrated by Abdallah Ibn Al-Mubarak, narrated by Al-Hassan Al-Basri who said, "A man said to his brother ‘Have you been told that you shall enter hell?’ The brother answered ‘YES.’ He then asked, ‘Have you also been told that you shall exit from it?’ The brother responded ‘NO.’ So he asked, ‘Then why the laughter?’The brother responded, ‘I have not seen a person laugh until he joined Allah
 
hiv unajua kwamba kuna similarities flan katika bible na qur'an?

Mf injili, zaburi na torati vpo kwenye qur'an pia,

unaweza niambia ni kwa nin kunakuwa na hizo similarities?

Acheni uongo jamani. Hakuna Zaburi kwenye Kuran, zaidi ya hapo, Hakuna Injil wala Taurat kwenye Koran. Kama unabisha niletee Zaburi niione kutoka Koran. Niletee Injili iliyo ndani ya Koran niione, et al.
 
Haya! Malizaneni! Mkichoka mi ntakuja kuwapiga mswaki!
Leo ni waparokia waongo na waabudu wake ( ethiest)
Teh teh teh teh!
Allah of Islam is as well ATHEIST. Unabisha. Allah kasema HAKUNA MUNGU. Sasa huyu si wale wale wapinga Mungu kama yule marehemu darwin.
 
Back
Top Bottom