Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Low Muhammadic self esteem. The only religion destiny to hell is islam

You got a new catchphrase muchungwaji "self esteem"
Teh teh teh teh!!

Injili inasema yesu ALITUMWA!!
SASA MUNGU HUWA ANATUMWA NA NANI??

USHAHIDI KUWA YESU ALITUMWA HUU HAPA!!

SASA UTAABUDU VIPI KIUMBE ANAETUMWA??

YOHANA 5:24-----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule-ALIYENITUMA, anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.

YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-ALIYENITUMA.

YOHANA 5:36- - -Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiye ALIYENITUMA.

YOHANA 5:37- - -Naye Baba-ALIYENITUMA hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

-------

YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye ALIYENITUMA.

YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.

YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-ALIYENITUMA"

YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yule ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-ALIYENITUMA-yuko pamoja nami.

YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-ALIYENITUMA ananishuhudia pia."

YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-ALIYENITUMA ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

YOHANA 8:29- - -Yule-ALIYENITUMA yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."

-------

YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-ALIYENITUMA.

YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-ALIYENITUMA ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.

-------

YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-aliyenituma.

YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila BABA ALIYENITUMA ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.

HAPA YESU ANADHIHIRISHA WAZI KABISA KUWA HATA MANENO ANAYOSEMA ANAAMRISHWA NA MUNGU AYASEME!!

eti mkuu Tayeb hawa watu mbona wagumu hivi kuelewa??

-------YESU ANAENDELEA HAPA KUSEMA YEYE NI MTUME TU! ALIYETUMWA NA MUNGU!!

MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-ALIYENITUMA.

-------

MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-ALIYENITUMA"

-------

LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yule ALIYENITUMA. Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."

-------

LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-ALIYENITUMA"

-------

YOHANA 4:34- - -Yesu akawaambia, "Chakula changu ni kufanya anachotaka yule-ALIYENITUMA-na kuitimiza kazi yake.

-------

YOHANA 9:4- - - -Kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule ALIYENITUMA; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.

-------

YOHANA 13:20- --Kweli nawaambieni anayempokea yule ninayemtuma anaponipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 14:24- --Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na neno mlilosikia si langu, bali ni-lakeBaba-ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 15:21- --Lakini hayo yote watawatendeeni ninyi kwa sababu ya jina langu, kwani hawamjui yeye-ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 16:5- - -Lakini sasa namwendea yule ALIYENITUMA; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: `Unakwenda wapi?`

SASA ANAETUMWA NA MUNGU NYIE MNAMUITA "MUNGU"!!

SASA HUYO ANAEMTUMA YESU MTAMPA CHEO GANI???

HEBU NIJIBUNI HAPO!
NI NANI YESU ANAESEMA KWA KAULI YAKE MWENYEWE KUWA "AMENITUMA"?? HUYU MTUMAJI NI NANI??

We Eiyer hebu for once jibu haya maswali hapo juu! Wacha kujifanya huoni!
 
Last edited by a moderator:
'Na Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Yesu (Isah) mwana wa Maryam, Je ! Wewe uliwaambia watu nifanyeni mimi na mama yangu kuwa waungu badala ya Mwenyezi Mungu ? Aseme (atajibu Yesu) Wewe (Mwenyezi Mungu) umetakasika kuwa na mshirika, Haini pasi mimi kusema ambayo si haki yangu. Na lau kama ningali sema (hakika Mwenyezi Mungu) ungejua. (kwani unajua yaliyomo nafsini mwangu, lakini mimi siyajui yaliyomo nafsini mwako. Hakika Wewe (Mwenyezi Mungu) ndiwe ujuaye mambo ya ghaibu.
Qur'an:5:116
Poleni Wagalatia !:whistle:

Not God. Hayo yalikuwa madai ya breathless Muhammad akizungunza na malaika jibril. Cha ajabu eti Allah Hana msaidizi! Hivi uongo ni sehemu ya uislamu? Kwanini Allah Aseme hana msaidizi wakati tunsjua Jibril ni msaidizi wa Allah? Wenye akili timamu hawawezi fuata Allah mwenye mdomo mchafu na muongo kama shaitwain
 
Nadhani nimekuelezeni mara nyingi kuwa matatizo yenu nyie wagalatia ni LUGHA!

Kiwe kiswahili au kiingereza! Vyooote ni tabu tu!

Kuna tofauti kubwa sana baina ya MSAIDIZI na MTUMISHI!

Jibril. Adam.Ibrahim. Isaka.ismael. daudi. Suleiman. Yakobo. Yohana . Yesu na muhamad s.a.w.

HAWA WOOTE NI WATUMISHI WALIOTUMWA NA MUNGU!!

Kama YESU MWENYEWE KWA KAULI YAKE ALIVYOSEMA!

-YOHANA 5:37- - -Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

-------

YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeyealiyenituma.

YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.

Yohana 6.38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya ALIYENITUMA.

SASA VIPI UTAMUITA ALIYETUMWA KUWA NI MSAIDIZI!!
WAPI YESU ANASEMA "ALIOMBWA MSAADA NA MUNGU??
YESU KTK MISTARI YOOTE ANASEMA KUWA "NIMETUMWA" AU "ALIYENITUMA"!

Sasa lzm uelewe kuwa hakuna ktk manabii au malaika yyt akaitwa kuwa ni msaidizi wa mungu!

Na ukitafsiri Mtumishi kuwa ni MSAIDIZI! unatakiwa ukajifunze lugha ya taifa!
 
You got a new catchphrase muchungwaji "self esteem"
Teh teh teh teh!!

Injili inasema yesu ALITUMWA!!
SASA MUNGU HUWA ANATUMWA NA NANI??

USHAHIDI KUWA YESU ALITUMWA HUU HAPA!!

SASA UTAABUDU VIPI KIUMBE ANAETUMWA??

YOHANA 5:24-----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule-ALIYENITUMA, anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.

YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-ALIYENITUMA.

YOHANA 5:36- - -Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiye ALIYENITUMA.

YOHANA 5:37- - -Naye Baba-ALIYENITUMA hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

-------

YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye ALIYENITUMA.

YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.

YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-ALIYENITUMA"

YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yule ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-ALIYENITUMA-yuko pamoja nami.

YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-ALIYENITUMA ananishuhudia pia."

YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-ALIYENITUMA ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

YOHANA 8:29- - -Yule-ALIYENITUMA yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."

-------

YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-ALIYENITUMA.

YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-ALIYENITUMA ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.

-------

YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-aliyenituma.

YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila BABA ALIYENITUMA ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.

HAPA YESU ANADHIHIRISHA WAZI KABISA KUWA HATA MANENO ANAYOSEMA ANAAMRISHWA NA MUNGU AYASEME!!

eti mkuu Tayeb hawa watu mbona wagumu hivi kuelewa??

-------YESU ANAENDELEA HAPA KUSEMA YEYE NI MTUME TU! ALIYETUMWA NA MUNGU!!

MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-ALIYENITUMA.

-------

MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-ALIYENITUMA"

-------

LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yule ALIYENITUMA. Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."

-------

LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-ALIYENITUMA"

-------

YOHANA 4:34- - -Yesu akawaambia, "Chakula changu ni kufanya anachotaka yule-ALIYENITUMA-na kuitimiza kazi yake.

-------

YOHANA 9:4- - - -Kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule ALIYENITUMA; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.

-------

YOHANA 13:20- --Kweli nawaambieni anayempokea yule ninayemtuma anaponipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 14:24- --Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na neno mlilosikia si langu, bali ni-lakeBaba-ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 15:21- --Lakini hayo yote watawatendeeni ninyi kwa sababu ya jina langu, kwani hawamjui yeye-ALIYENITUMA.

-------

YOHANA 16:5- - -Lakini sasa namwendea yule ALIYENITUMA; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: `Unakwenda wapi?`

SASA ANAETUMWA NA MUNGU NYIE MNAMUITA "MUNGU"!!

SASA HUYO ANAEMTUMA YESU MTAMPA CHEO GANI???

HEBU NIJIBUNI HAPO!
NI NANI YESU ANAESEMA KWA KAULI YAKE MWENYEWE KUWA "AMENITUMA"?? HUYU MTUMAJI NI NANI??

We Eiyer hebu for once jibu haya maswali hapo juu! Wacha kujifanya huoni!

Mkuu mbokaleo, hawa watu wanajifanya hamnazo kwa kuukwepa ukweli hadharani lakini ndani ya mioyo yao wanaujua ukweli.

Na hata huyo Kadinali wao anaujua huo ukweli wote ulioeleza hapo juu mkuu, kwani hayo ni maneno yao ndani ya vitabu vyao wanavyoviamini tehe tehe tehe!

Hilo tena ni goli moja point tatu mkuu mbokaleo

Hawana hoja hawa wazee wa kucopy na kupaste tehe tehe tehe!
 
Maneno yako mkuu wangu Tayeb ni kweli kabisa!
Wanajua ukweli lkn hawataki kukubali!

Sasa ukiskia hasara ktk maisha haya mafupi ndio hii!
Mtu anaona kabisa haki mbele yake lkn anaikataa!

Na huu ni ule mfano aliotoa yesu na akasema:-

“Jicho lako likikukosesha,” akasema Yesu, “ling’oe, ulitupe; ni afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum; ambamo humo funza wao hafi, wala moto hauzimiki.”—MARKO 9:47, 48,

Sasa hawa bado hayo macho yao ya upotovu hawataki kuyang'oa!

Tuwaombee mungu inshallah!
 
Naam, hakika watu hawa ni wakuwaombea mkuu mbokaleo.

Nasi bila kuchoka tutaendelea kuwatoa wasi wasi ndani ya mioyo yao mpaka watakapokili kwa sauti, japokua sasa wanakili ndani ya mioyo yao tehe tehe tehe!

Tuko Pamoja mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Inachokijua na kucopy na ku paste!
Na nilikuonya kuwa kubadilisha kwako maana hakutokusaidia kitu bali ni laana tu kutoka kwa Mungu!

Hivi hizo kauli zinaweza kutoka kwa mtu aliye na akili sawasawa kweli?
Mtu anawezaje kukopy na kupaste halafu wakati huohuo abadilishe maneno?
Unajua maana ya kukopy na kupesty wewe?

Unarudia kila mara kusema , eti quraan imesema dunia ni flat!

Yes kwakuwa ndivyo inavyosema!
N huyu hapa mwanasayansi wa kiislam anasema dunia ni flat eti kwa kuwa Quran imesema hivyo:
Muslim scientist says world is flat and the sun revolves around the earth because Quran says so. - YouTube

Sasa mimi na wewe na huyo mwanasayansi wa kiislam sijui ni nani anaesema uongo!
Kazi zenu ni kutafuta link za wale waongo kama nyinyi mkatuwekea hapa!

Uongo ambao mmeshindwa kuuthibitisha kuwa uongo?
Mi nadhani uongo ni rahisi sana kuuweka wazi,sasa wewe huo uongo umekuwa uongo kwa kusema tu kuwa ni uongo?
Uko wapi ushahidi wako wa kuuthibitishia umma wa JF kuwa huo ni uongo?

Mkionyeshwa haki! Mnajifanya mnajua zaidi na kuwaita watu wooote waongo!

Haki gani wewe?

Ali Sina ameweka challenge kwa miaka zaidi ya 10 sasa mumprove wrong hakuna zaidi ya wachache waliojribu wakaonekana hawajui chochote

Hebu jaribu wewe huenda ukawa unaujua uislam zaidi ya Hayatola motenzari au Dr Zakir Naik!
Huyu hapa We are Against Hate, Not Faith | Faithfreedom.org au alisina.com !!!

Lugha inakusuta! Unapoteza watu na kumsingizia Mungu uongo,

Mungu gani wewe?

Nafahamu kuwa nyie mnaojiita ministries mnalipwa kupotosha watu!

Ushahidi wa hili uko wapi?

Lkn laana ya mungu itawadondokea waongo na wapotoshi wote wanaofuta maslahi machache ya hii dunia!

Mungu yupi?
Au yule wa mwamedi ambae hata hajui mtume wake atakuwa wapi siku ya mwisho?
Unamzungumzia huyo?

Huyo mungu unaemchezea hivyo na kumkashifu iko siku atakuadhibu adhabu ya milele.

Huyu ni yupi?
Yule atakaeingia jehanam?
Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 371

Narrated Anas:

The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'
"

Unakataa kuwa andiko la biblia halijachakachuliwa?! Mbona ukiulizwa unajifanya huelewi! Na kukwepa maswali!

Sasa kitu ambacho kimechakachuliwa unakichukuaje kama ushahidi wa kusapoti madai yako?
Nataka unijibu kwanza hilo halafu maswali yako yote kuhusu biblia nitayajibu!
 
Mkuu Brooklyn hawa watu naona wameshavamia uzi wako wanakatana mapanga wao kwa wao, kila mtu anasema mungu wake ni wa kweli na dini ya mwenzake ni ya uwongo!! Atheist remain firm.

Naona pole pole wengine wanaanza kuelewa mkuu.
 
the more you think without restrictions of religions ( christian, islam, butha etc ) the more you get better view of issues....... hence you increase your interllectual ability...its no brainer these religion are just ordinary instituition na zina uongo wake na faida zake kiasi kama kulinda amani, kuwapa watu hope etc si ujinga wa vitu kama sijui ukifa utachomwa moto nk na sheria nyingi za kipuuz zilizojaa ktk ivyo vitabu vyao!!!
 
Hivi hizo kauli zinaweza kutoka kwa mtu aliye na akili sawasawa kweli?

Sasa kitu ambacho kimechakachuliwa unakichukuaje kama ushahidi wa kusapoti madai yako?
Nataka unijibu kwanza hilo halafu maswali yako yote kuhusu biblia nitayajibu!

Wewe una akili nyiingi na sisi wengine hatuna!
Nimeshakwambia huko nyuma kuwa Andiko lako only 10% imebaki kuwa kweli!
90% ni mchakachuo! Na sisi ambao unatuita hatuna akili tunatumia hio 10% tu! Iliyobaki kama ushahidi!
Na moja ya hio mistari ya kweli ni kama huu hapa

1 Tim 2:5 “ Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;”

Yesu MWANAADAMU!

Wewe nani aliyekupa ruhusa ya kumuita mungu?? Kama sio paulo mnafiki!?
 
Mkuu! Hizo details ulizozitoa hapo juu hazina ukweli ndani yake hata kidogo!

Wamarekani na mabara yote ya ulaya ndio waanzilishi wa biashara za watumwa na ni watu wa kwanza kutawala nchi za wenzao kwa mabavu! Na hayo wanayafanya mpaka leo!

Leo wazee wetu na mashujaa wetu waliuwawa wakati wa kupambana na mkoloni wakiskia wewe mjukuu wao unasema WAMAREKANI WAMETUSAIDIA! Nadhani wanaweza kukuachia radhi!

Nimeishi na hawa wakoloni karibu 3/4 ya umri wangu na nakwambia ndugu sheria wanazo zitengeneza ni KWA AJILI YA MANUFAA YAO TU!

Na kama wewe na mimi hatuna maslaha nao. Basi mbele yao sisi ni invisible! !

Tuliyaona rwanda! Wamechinjana over 100.000!! Umemuona mzungu kaingilia??

Tazama iraq ilipoingia kuwait!! Within 24 hrs majeshi ya wazungu yaliingia kila kona! Why!!? Maslahi tu! Hakuna ziada!
Tazama Wanavyo iminya Cuba!!
Na mengine meengi mno siwezibkutaja yoote!

Nakubali kuwa mila zetu za kale zimechangia baadhi yetu kuumia na hata kupoteza maisha! Lkn huwezi hata siku moja ukasema wazungu na mila zao ni bora kuliko za kwetu!
Sisi juu ya tofauti zetu bado TUNA UTU!

Tunaishi na jirani zaidi ya miaka 19 leo huku kwa wakoloni! Na Zaidi ya "Hi" asubuhi baaaaas! Hakuna zaidi!
We ugua, kufa yeye hana habari!

Upande wa pili naishi na bibi wa miaka 93!!! Anaishi peke yake! Hana mtu wa kumuangalia zaidi ya social workers! !
Na amezaa watoto watatu wakubwa tu!
Wanakuja Christmas mpaka Christmas!

Wakrito na waislamu juu ya tofauti zetu huko home bado kuna utu baina yetu na mara nyingi matatizo yanaletwa na hao viongozi wanaolazimisha system za imani zao ziingie kila mahali kwa nguvu! (Mifumo kristo) and thats the fact!

We angalia chokochoko nyingi hapo TZ chanzo ni nini!
But generally we are all cool with each others!
Believe me bro! When you live with these colonial masters! Then you will know how nice we african are!

Be proud of yourself. Na hatta siku moja usiwasifu hawa wazungu waliotuletea dini na kuzitumia kutunyanyasa kuwa ni bora kuliko sisi!
Look at the history
NA Hata huku kwao wanaubaguzi kwa sana tu!
These people they spend billions if dollars! Kutengeneza silaha za maangamizi ya binaadamu! Na kila siku wanatafuta na kubuni silaha kali kuliko ingine ya kuweza kuuwa kwa halaiki!!
Bado unasema hawa ni waungwana??

Hio misaada wanayokupa wewe na mimi ni sumu yenye asali!
Si unaona mugabe!!
Kuwaambia ukweli tu! Amekuwa adui wa dunia nzima! Mpaka waafrika wenzake wanamkana!!
I wish people could see the true colour if these colonial masters!
miaka ya nyuma, ukatili miongoni mwa binadamu ulikuwa hauepukiki, ilikuwajambo rahisikukutana na mbarubaigi ama mmasai akaamua kukuua tu bila sababu ya msingi.hawakuwa civilized kama tuonavyo sasa. hivyo hata ukiambiwa wazungu , waarabu walitufanya watumwa pengine hata sisi kama tungekuwa wajuvi kama wao tungewageuza watumwa tu.who knows na miungu yetu wangeiabudu tu. tatizo naloliona ni pale sisi waafrica tunaburuzwa na mifano mibovu na iliyowazi ya manabii wa zamani tukitaka kuitenda leo hii katika dunia ya wastaarabu. inawezekana wazungu walikuwa washenzi lakini wale jamaa wamefanya makubwa sana duniani katika swala la technolojia na maendeleo. ukisema kuunda silaha sio ustaarabu nadhani inaweza ikawa ustaarabu kutegemea na lengo kama lengo ni kudhibiti wavunja haki za binaadamu. kuhusu kuivamia iraq, i think we need to be geneous here!! ni ujinga kujiingiza kwenye vita kama havikuhakikishii economic return. hivi ukiwa raisi wa yuesei, utawezaje kuishawishi seneti kwamba unaenda kupigana somalia na kuua watu wako eti unawaokoa wasomali huku wanajeshi wako wanakufa, wakikuuliza unategemea nini utajibu nini?. hichi ndicho kilichomfanya bill clinton kuondoa majeshi haraka pale.kuwat ni mshirika wa marekani kama ilivyo saudia hivyo maslahi yake na ya wazungu yaliguswa wakaamua kwenda kumpa discipline sadam, hapo rwanda sijui kama bill clinton alikuwa anajua kuna nchi kama hiyo mpaka aliposika wanachinjana. pia nijuavyo pia ni kwamba viwanda vya silaha ni viwanda vya makampuni binafsi kama ya kutengeneza magari hivyo na wao wanahitaji soko la kuuzia bidhaa zao zinazotumika kwa kazi ya kuua watu, watahitaji soko, na soko linapatikana sana africa na uarabuni ambapo kuna vita, pengine dunia ina wataalam wengi wa kutatua migogoro lakini vita vitaendelea kuwepo ili kuboresha uchumi wa dunia kupitia mauzo ya silaha , madini n.k. pia wazungu wanaweza kuwa wabaya kwetu lakini hawafanyi hayo kwa watu wao kitu cha ajabu ni sisi na viongozi wetu kufanya mabo mabaya kwa wananchi wake. mifano mingi tu kama iddi amini, banda, mobutu. sasa huu si ushenzi tena katika kipindi cha dunia iliyostaarabiaka. carl max class struggle na conflict hapa inaonyesha kama nyumbani hampendani hata ukienda kwa wageni hawatakupenda kuna haja ya kukupendana nyinyi, upendo uanzia nyumbani hata wachina, waarabu wahindi ni wabaguzi vilevile kenya pale ukiwa sio mkikuyu kwa wakikuyu unabaguliwa vilevile. ndio maan siku hizi kuna jumuia nyingi zinaundwa kuanzia kijamii kibiashara kiukabila lengo ni kuhakikisha wanaweza ku-thrive best katika dunia ya wenye nacho. na darwin amezungumzia the fittest surrvive -wale wabibi kule ulaya wata-survive tu wakiweza wenyewe manake ulaya raha ukiwa kijana, mzuri, tajiri.ukiwa mzee, sio mzuri, huna pesa we ndo basi tena, nao huu ni utamaduni tu kama wa kwetu wa kuua vikongwe wenye macho mekundu kwa madai ni wachawi kule shinyanga..
 
Wewe una akili nyiingi na sisi wengine hatuna!
Nimeshakwambia huko nyuma kuwa Andiko lako only 10% imebaki kuwa kweli!
90% ni mchakachuo! Na sisi ambao unatuita hatuna akili tunatumia hio 10% tu! Iliyobaki kama ushahidi!
Na moja ya hio mistari ya kweli ni kama huu hapa

1 Tim 2:5 “ Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;”

Yesu MWANAADAMU!

Wewe nani aliyekupa ruhusa ya kumuita mungu?? Kama sio paulo mnafiki!?

Mnayo shida..hapa wote mmeambia hamna akili wewe kw aujinga unadhani dini yako itaambiwa ina akili kuliko nyingine.Headless....
 
Haha nadhani intelligence inapimwa kwa grey matters......kumbe siku hizi imekuwa relative.....pengine nitapenda sikia wenye dini km akina ponda na wengine ambao dini yao ni pekee duniani ya kweli...Lipumba na wengine jitokezeni.
 
Mnayo shida..hapa wote mmeambia hamna akili wewe kw aujinga unadhani dini yako itaambiwa ina akili kuliko nyingine.Headless....

Wacha longalonga mgalatia!
Mi nimekupa andiko! Wee unaniita mwehu!
Sasa kama wehu wanayajua maandiko kama mimi! Basi wehu woote ni wafuasi saafi wa yesu!
We mwenye akili timamu! Si ulete andiko linalopinga hilo nililo kupa?
YESU SIO MUNGU WALA SIO MWANA WA MUNGU! BALI NI MTUMISHI WA MUNGU ALIYETUMWA TENA BILA HIYARI YAKE!!.
NAKUONGEZA HAPA KIDOGO!

YOHANA 5:30- -
-"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu SI KUFANYA NIYAPENDAYO MWENYEWE BALI APENDAYO YULE ALIYENITUMA!!

HAPA YESU ANASEMA AMEAMRIWA MPAKA NINI ASEME NA NINI AONGEE!

YOHANA 12:49-
--Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba-aliyenituma-ndiye ALIYENIAMURU niseme nini na niongee nini.

SASA WEWE UNASEMA YESU NI MUNGU!
MUNGU ANAWEZA KUAMRISHWA??

Na Hapa YESU anakataa katakata kuwa MUNGU HAONEKANI (yaani yeye sio mungu) wala hakuna aliyeskia sauti yake!!

YOHANA 5:37- -
Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

Na nyongeza hii ya mwisho!!

YOHANA 8:26- -
-Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-aliyenituma-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

Hapa yesu anasema anayo mengi ya kusema lkn hana uwezo huo wala hakupewa amri hio ISPOKUWA ANASEMA KILE TU ALICHOKISKIA KUTOKA KWA ALIYEMTUMA!!

sasa nikuulize wewe mwenye akili nyingi!
MUNGU ANAWEZA KUAMRISHWA?
MUNGU ANAWEZA KUPANGIWA MANENO YA KUSEMA??
MUNGU ANAWEZA KUSEMA HANA HIYARI YA KUSEMA AYAPENDAYO BALI TU YALE ALIYOSIKIA!?

Na kama jibu ni NDIO! BASI KUNA TOFAUTI BAINA YAKO WEWE WA KIBORILONI NA HUYO mungu YESU!?

Haya tukana tena!!
 
Wewe una akili nyiingi na sisi wengine hatuna!
Nimeshakwambia huko nyuma kuwa Andiko lako only 10% imebaki kuwa kweli!
90% ni mchakachuo! Na sisi ambao unatuita hatuna akili tunatumia hio 10% tu! Iliyobaki kama ushahidi!
Na moja ya hio mistari ya kweli ni kama huu hapa

1 Tim 2:5 " Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;"

Yesu MWANAADAMU!

Wewe nani aliyekupa ruhusa ya kumuita mungu?? Kama sio paulo mnafiki!?

Sasa kitu ambacho kimechakachuliwa unakichukuaje kama ushahidi wa kusapoti madai yako?
 
Sasa kitu ambacho kimechakachuliwa unakichukuaje kama ushahidi wa kusapoti madai yako?

Ufahamu wako ni mdogo kiasi kwamba mtu inabidi akuelekeze mara 10 ndio kidooogo unaelewa!
Nimesema ya kuchakachua ni kuchanganya vitu vya uongo au visivyofaa na vinavyo faa ukaviweka pamoja
Mfano
Tukisema hii diesel Imechakachuliwa basi humo inakuwemo ile diesel na mafuta mengine yasio diesel!

Kwa hiyo tukisema biblia imechakachuliwa basi ujue ndani yake kuna ya ukweli na mengine mengi tu ya uongo!!
NYIE WAGALATIA MNATUMIA YALE YA UONGO KUDANGANYA WATU!
NA SISI TUNAEMPENDA YESU KIKWELI TUNATUMIA YALE MACHACHE YA KWELI YALIOYOBAKI NDANI YA HIO BIBLIA!!
Na hivi tunavyoonge huku ENGLAND wanakaa vikao kutaka kuichakachua tena ili zile ndoa za waliberali zikubaliwe!
Na kuna mstari wameshaupata wanataka kuupanua zaidi!
Mstari wenyewe ni huu!

"Who dares accuse us whom God has chosen for his own?"---

Rom. 8:33a-"You shall know the truth and the truth shall set you free."--- John 8:32

Sasa wape muda tu! Utaskia hii laana imesambaa kwenye hayo makanisa yenu!
 
Sasa naomba uniambie ni maandiko gani kwenye biblia ni sahihi na kwa ushahidi upi?
 
Sasa naomba uniambie ni maandiko gani kwenye biblia ni sahihi na kwa ushahidi upi?

Kwenda mbele na mswali ya kitoto wewe!
We unaushahidi gani kama wewe ni eiyer!?

We andiko likwambie" mungu alipigwa mijeledi na viumbe alioumba mwenyewe mpaka akafa!

Au mungu aliamua kulipa deni la dhambi kwa shetani kwa staili ya kumtoa kafara mwana pekee! Tena kumbe huyo mwana alikuwa anaekti tu! Huyo mwana alikuwa ndio yuleyule mungu????????

Halafu wewe unataka nikupe ushahidi kuwa haya maandishi sio sahihi?? Na ni ya uongo???

Hawa watu wengine sijui wametokea ktk sayari gani?

Maombi au swali lako ni sawa na wewe kuniomba ushahidi wa nani aliyetapika wakati nakuona kabisa ni wewe ndio ulitapika mbele yangu!
Tena matapishi ya pombe???

Nyie subirini tu wale walio kuleteeni hio dini wahalalishe uliberali! Tena kwa kutumia hilohilo andiko.
Ndio mtakapo oana kama hakuna serikali!
 
Huu ndio ushahidi wa biblia kuchakachuliwa?
 
Back
Top Bottom