Hata enzi za Yesu yote haya yalikuwepo..so sishangai fuateni mkumbo ila siku ikifika nayo i karibu kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe!
Halafu kuna kitu huwa kinanikanganya mkuu, shetani aliumbwa na nani?
nimekuuliza comment zako hapa kwenye huu uzi wangu ambao umefungwa kwa dakika 10 tu!! nataka jibu!!
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]https://www.jamiiforums.com/member.php?u=42137
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa nyie mbona mnatichanganya!!?
Mara mseme YESU KAFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU WOTE!
Halafu leo unasema "KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!
SASA TUSHIKE LIPI??
Hebu mparokia wa kkkkt Eiyer uje utusaidie hapa!
Je! Yesu alikufa ili wewe upone? Au alikufa na nyie kivyenuvyenu!!
Huyo mungu ana akili timamu kweli? wewe unaweza kumwacha simba ajaribu kuwala wanao?:Cry:
Kwa hiyo msalaba alioubeba yesu ni kwa ajili yake mwenyewe?
Na hiyo siku tangu muanze kusema iko karibu naona haifiki tu, bwana wenu aliwaongopea watu wa kale kwa kuwaambia kuwa wengine wao hawatauonja umauti kabla doomsday haijashuka, mpaka leo kimya! ACHENI KUFANYA KAZI, KESHENI MKIOMBA MSIJE MKAACHWA!:smile-big:
Evolution!!!!!!!
Muungwana kama hajui anauliza
Kama hujui Mungu ni nini huwezi kujua lolote linalomhusu!
Ingawa thread haihusu , but kweli inashangaza.
Eti mungu akijua wale wawili walikuwa hawajui mema wala mabaya, ......
akawawekea mti kuwajaribu,
Haya maneno umeyatoa wapi?huku akiangalia
Ni kama baba kaweka bunduki kwenye kabati, anamwita na kumwambia mtoto wake wa 5yrs
"usishike hii, wala usibonyezr hapa, itakuua" halafu anamwacha mtoto chumbani na kuchungulia kwenye kitasa jinsi anavyojilipua!!!! Hizi story zinahitaji akili za ziada kama si pungufu ili kuzikubali.
Oh!..you asked me a whole lot of questions and you kept quoting until I responded positively? On the contrary wewe naona haupendi maswali; that is the exact problem ya theists, hamtakiwi kuhoji kitu chochote, no wonder kanisani hakuna kipindi cha maswali na majibu, padri akisoma mistari anawanywesha wanzuki na biskuti kisha mnasema amen!:love:
View attachment 109940
HEBU SHUSHA SOMO KIDOGO MKUU, huenda ukaokoa kondoo mmoja!
Hahahaaha, Eti Mungu alimruhusu shetani aje kuwarubuni wanadamu, kisha baadaye akaona kweli shetani anafanikiwa kumrubuni kiumbe aliyemuumba kwa mfano wake, ikabidi amtume mwanaye yesu aje awafie wanadamu!..hizi stori hata unywe viroba vya kutosha hauwezi kusadiki, sijui hawa watu wanaoamini wana akili zao timamu ama la!
Muungwana kama hajui anauliza
Kama hujui Mungu ni nini huwezi kujua lolote linalomhusu!
HEBU SHUSHA SOMO KIDOGO MKUU, huenda ukaokoa kondoo mmoja!
Kama hujui chochote ulikuwa unazbwabwaja nini?
Hapa umethibitisha kuwa ulikuwa unakurupuka tu?
Unajua mtu anaekataa asichokijua anaitwa nani?
Sasa hapa sijui ni nani hana akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kati yangu mimi na wewe ni nani hajajibu maswali aliyoulizwa?
Hapa ndipo ninapouona ukweli mkubwa,nyie watu mbona hamfikirii?
Yaani wewe unajiona umejibu maswali?
Hii nayo ni kali!!!!!!!!!!!!
Sawa Mkuu, wewe ndiyo mwenye akili, naomba unifundishe MUNGU ni nani,nina hamu ya kumfahamu!
Kama huyo Mungu wako alishindwa kuwatengenezea hata nguo adam na eva bado unamwamini kuwa ni mwanasayansi? Mwanasayansi huwa anafanya kazi kwa evidential proof, Mungu anafanya kazi Mythical! Kama Mungu alishindwa hat kutambua kama dunia aliyoiumba ni duara hauoni kuwa ni mburula wa kutupwa?
Mbona hata wewe hujishangai kujibu ambayo umedai hayapo kwenye mada?
Mungu ni nani/nini?
Ni nini maana ya kutokujua mema na mabaya?
Umeitoa wapi hii?
Ni wapi alisema aliwajaribu?
Haya maneno umeyatoa wapi?
Nijibu kwanza Mungu ni nani/nini maana naona unaongea vitu vya ajabu ajabu!
This all is nonesense
Wewe inaonekana humjui Mungu kabisa!
Kwa maelezo yako haya inaonekana watu wasiokuwa na dini hawana kabisa uwezo wa kufikiri na thread hii inawahusu nyie
Hivi mtu unakurupukaje na kuongea mambo ya ajabu kama haya halafu nawe unajiona una akili na uwezo mkubwa wa kufikiri?
Tafuta uzi mwingine
Tayari hapa umethibitisha wewe na wenzako mnawashambulia watu wa dini wakati hajui kwanini wana dini na hata kile wanachokiabudu hamkijui
Kumshambulia mtu kwa kufanya jambo ambalo hulijui ni ujinga mkubwa
Rudia kusoma kichwa cha uzi huu utajua ulikuwa unazungumzia nini
Huu uzi sio wa kumjadili Mungu ni nani/nini
Ume fail kabisa mtihani mlioutunga wenyewe na kuthibitisha kuwa nyie mnakurupuka tu
Naona mtoto wa Shetani umeamua kutokea hadharani
Eiyer huwa naona maswali unayoulizaga. They only make sense to you
. Everybody knows what god means, if u think its clever kuanza tena kuuliza what god is then you"re on your own.
We could talk about the story.
Kama mungu alijua madhara ya ule mti aliuweka wa nini? Kama si kuwajaribu.
And umeemaanisha nini nimetoa hayo maneno wapi?
Another one of your silly Qs
. What do u mean kujua mema na mabaya ni nini?
BTW, that's a good Q kuprove god had invented evil
, just as the Muslims teach.
Or maybe you tell me, did A%E know what "wrong" is? Did they know that "disobeying" is "wrong".
If they were perfect , how could they "do wrong"?
And umemaanisha simjui mungu wa kwenye biblia?
The one who condoned slavery, beating of slaves, rape, mass killing of children and animals, stonning kids who eat too much etc? Oh comon i know him....