Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Hata enzi za Yesu yote haya yalikuwepo..so sishangai fuateni mkumbo ila siku ikifika nayo i karibu kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe!

Kwa hiyo msalaba alioubeba yesu ni kwa ajili yake mwenyewe?
Na hiyo siku tangu muanze kusema iko karibu naona haifiki tu, bwana wenu aliwaongopea watu wa kale kwa kuwaambia kuwa wengine wao hawatauonja umauti kabla doomsday haijashuka, mpaka leo kimya! ACHENI KUFANYA KAZI, KESHENI MKIOMBA MSIJE MKAACHWA!:smile-big:
 
Sasa nyie mbona mnatichanganya!!?
Mara mseme YESU KAFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU WOTE!

Halafu leo unasema "KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!

SASA TUSHIKE LIPI??
Hebu mparokia wa kkkkt Eiyer uje utusaidie hapa!
Je! Yesu alikufa ili wewe upone? Au alikufa na nyie kivyenuvyenu!!

Unamjua huyu unaemzungumzia?

Haya maneo umeyatoa wapi?
 
Huyo mungu ana akili timamu kweli? wewe unaweza kumwacha simba ajaribu kuwala wanao?:Cry:

Ingawa thread haihusu , but kweli inashangaza.

Eti mungu akijua wale wawili walikuwa hawajui mema wala mabaya, akawawekea mti kuwajaribu, huku akiangalia......

Ni kama baba kaweka bunduki kwenye kabati, anamwita na kumwambia mtoto wake wa 5yrs "usishike hii, wala usibonyezr hapa, itakuua" halafu anamwacha mtoto chumbani na kuchungulia kwenye kitasa jinsi anavyojilipua!!!! Hizi story zinahitaji akili za ziada kama si pungufu ili kuzikubali.
 
Kwa hiyo msalaba alioubeba yesu ni kwa ajili yake mwenyewe?
Na hiyo siku tangu muanze kusema iko karibu naona haifiki tu, bwana wenu aliwaongopea watu wa kale kwa kuwaambia kuwa wengine wao hawatauonja umauti kabla doomsday haijashuka, mpaka leo kimya! ACHENI KUFANYA KAZI, KESHENI MKIOMBA MSIJE MKAACHWA!:smile-big:

Muungwana kama hajui anauliza
Kama hujui Mungu ni nini huwezi kujua lolote linalomhusu!
 
Evolution!!!!!!!

Oh!..you asked me a whole lot of questions and you kept quoting until I responded positively? On the contrary wewe naona haupendi maswali; that is the exact problem ya theists, hamtakiwi kuhoji kitu chochote, no wonder kanisani hakuna kipindi cha maswali na majibu, padri akisoma mistari anawanywesha wanzuki na biskuti kisha mnasema amen!:love:

HOW 2.jpg
 
Ingawa thread haihusu , but kweli inashangaza.

Mbona hata wewe hujishangai kujibu ambayo umedai hayapo kwenye mada?

Eti mungu akijua wale wawili walikuwa hawajui mema wala mabaya, ......

Mungu ni nani/nini?
Ni nini maana ya kutokujua mema na mabaya?
akawawekea mti kuwajaribu,

Umeitoa wapi hii?
Ni wapi alisema aliwajaribu?
huku akiangalia
Haya maneno umeyatoa wapi?
Nijibu kwanza Mungu ni nani/nini maana naona unaongea vitu vya ajabu ajabu!
Ni kama baba kaweka bunduki kwenye kabati, anamwita na kumwambia mtoto wake wa 5yrs
"usishike hii, wala usibonyezr hapa, itakuua" halafu anamwacha mtoto chumbani na kuchungulia kwenye kitasa jinsi anavyojilipua!!!! Hizi story zinahitaji akili za ziada kama si pungufu ili kuzikubali.

This all is nonesense
Wewe inaonekana humjui Mungu kabisa!
Kwa maelezo yako haya inaonekana watu wasiokuwa na dini hawana kabisa uwezo wa kufikiri na thread hii inawahusu nyie

Hivi mtu unakurupukaje na kuongea mambo ya ajabu kama haya halafu nawe unajiona una akili na uwezo mkubwa wa kufikiri?
 
Oh!..you asked me a whole lot of questions and you kept quoting until I responded positively? On the contrary wewe naona haupendi maswali; that is the exact problem ya theists, hamtakiwi kuhoji kitu chochote, no wonder kanisani hakuna kipindi cha maswali na majibu, padri akisoma mistari anawanywesha wanzuki na biskuti kisha mnasema amen!:love:

View attachment 109940

Kati yangu mimi na wewe ni nani hajajibu maswali aliyoulizwa?

Hapa ndipo ninapouona ukweli mkubwa,nyie watu mbona hamfikirii?
Yaani wewe unajiona umejibu maswali?

Hii nayo ni kali!!!!!!!!!!!!
 
HEBU SHUSHA SOMO KIDOGO MKUU, huenda ukaokoa kondoo mmoja!

Kama hujui chochote ulikuwa unazbwabwaja nini?
Hapa umethibitisha kuwa ulikuwa unakurupuka tu?

Unajua mtu anaekataa asichokijua anaitwa nani?
 
Hahahaaha, Eti Mungu alimruhusu shetani aje kuwarubuni wanadamu, kisha baadaye akaona kweli shetani anafanikiwa kumrubuni kiumbe aliyemuumba kwa mfano wake, ikabidi amtume mwanaye yesu aje awafie wanadamu!..hizi stori hata unywe viroba vya kutosha hauwezi kusadiki, sijui hawa watu wanaoamini wana akili zao timamu ama la!

Muungwana kama hajui anauliza
Kama hujui Mungu ni nini huwezi kujua lolote linalomhusu!

HEBU SHUSHA SOMO KIDOGO MKUU, huenda ukaokoa kondoo mmoja!

Kama hujui chochote ulikuwa unazbwabwaja nini?
Hapa umethibitisha kuwa ulikuwa unakurupuka tu?

Unajua mtu anaekataa asichokijua anaitwa nani?

Sasa hapa sijui ni nani hana akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa hapa sijui ni nani hana akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sawa Mkuu, wewe ndiyo mwenye akili, naomba unifundishe MUNGU ni nani,nina hamu ya kumfahamu!
 
Kati yangu mimi na wewe ni nani hajajibu maswali aliyoulizwa?

Hapa ndipo ninapouona ukweli mkubwa,nyie watu mbona hamfikirii?
Yaani wewe unajiona umejibu maswali?

Hii nayo ni kali!!!!!!!!!!!!

Swali gani ambalo halijajibiwa?
 
Sawa Mkuu, wewe ndiyo mwenye akili, naomba unifundishe MUNGU ni nani,nina hamu ya kumfahamu!

Tafuta uzi mwingine

Tayari hapa umethibitisha wewe na wenzako mnawashambulia watu wa dini wakati hajui kwanini wana dini na hata kile wanachokiabudu hamkijui

Kumshambulia mtu kwa kufanya jambo ambalo hulijui ni ujinga mkubwa

Rudia kusoma kichwa cha uzi huu utajua ulikuwa unazungumzia nini
Huu uzi sio wa kumjadili Mungu ni nani/nini

Ume fail kabisa mtihani mlioutunga wenyewe na kuthibitisha kuwa nyie mnakurupuka tu
 
Kama huyo Mungu wako alishindwa kuwatengenezea hata nguo adam na eva bado unamwamini kuwa ni mwanasayansi? Mwanasayansi huwa anafanya kazi kwa evidential proof, Mungu anafanya kazi Mythical! Kama Mungu alishindwa hat kutambua kama dunia aliyoiumba ni duara hauoni kuwa ni mburula wa kutupwa?

Naona mtoto wa Shetani umeamua kutokea hadharani
 
Mbona hata wewe hujishangai kujibu ambayo umedai hayapo kwenye mada?

Mungu ni nani/nini?
Ni nini maana ya kutokujua mema na mabaya?

Umeitoa wapi hii?
Ni wapi alisema aliwajaribu?

Haya maneno umeyatoa wapi?
Nijibu kwanza Mungu ni nani/nini maana naona unaongea vitu vya ajabu ajabu!

This all is nonesense
Wewe inaonekana humjui Mungu kabisa!
Kwa maelezo yako haya inaonekana watu wasiokuwa na dini hawana kabisa uwezo wa kufikiri na thread hii inawahusu nyie

Hivi mtu unakurupukaje na kuongea mambo ya ajabu kama haya halafu nawe unajiona una akili na uwezo mkubwa wa kufikiri?

Nilikuwa nashangaa the story of A&E and not kutoka nje ya mada.

Eiyer huwa naona maswali unayoulizaga. They only make sense to you. Everybody knows what god means, if u think its clever kuanza tena kuuliza what god is then you"re on your own.

We could talk about the story.
Kama mungu alijua madhara ya ule mti aliuweka wa nini? Kama si kuwajaribu.

And umeemaanisha nini nimetoa hayo maneno wapi? So mungu alikuwa haoni wakati wanakula lile tunda?

Another one of your silly Qs. What do u mean kujua mema na mabaya ni nini? BTW, that's a good Q kuprove god had invented evil, just as the Muslims teach.
Or maybe you tell me, did A%E know what "wrong" is? Did they know that "disobeying" is "wrong".
If they were perfect , how could they "do wrong"?

And umemaanisha simjui mungu wa kwenye biblia? The one who condoned slavery, beating of slaves, rape, mass killing of children and animals, stonning kids who eat too much etc? Oh comon i know him....
 
Tafuta uzi mwingine

Tayari hapa umethibitisha wewe na wenzako mnawashambulia watu wa dini wakati hajui kwanini wana dini na hata kile wanachokiabudu hamkijui

Kumshambulia mtu kwa kufanya jambo ambalo hulijui ni ujinga mkubwa

Rudia kusoma kichwa cha uzi huu utajua ulikuwa unazungumzia nini
Huu uzi sio wa kumjadili Mungu ni nani/nini

Ume fail kabisa mtihani mlioutunga wenyewe na kuthibitisha kuwa nyie mnakurupuka tu

Sawa mkuu, nitafungua uzi mwingine muda si mrefu.
 
Eiyer huwa naona maswali unayoulizaga. They only make sense to you

Yes,lazima yalete maana kwangu
Unadhani naweza kuwasemea watu wengine?

. Everybody knows what god means, if u think its clever kuanza tena kuuliza what god is then you"re on your own.

What?
Kila mtu?You must be kidding!
Umejuaje ya watu wengine?
hivi unajua kuna watu wanaabudu jiwe?
Hivi unajua kuna watu wanaabudu jua
Unajua kuna watu wanaabudu mwezi?
Unajua kuna watu wanaabudu ng'ombe?
And the list goes on and on.........
Na hao wote wanavyoviabudu wanaviita mungu
Sasa utaniambiaje kuwa "kila mtu anajua Mungu ni nani"?

We could talk about the story.

Tutazungumziaje story ya jambo ambalo hatujakubaliana ni lipi tunalolizungumzia na kwa mtazamo upi na kwanini?

Kama mungu alijua madhara ya ule mti aliuweka wa nini? Kama si kuwajaribu.

Again Mungu yupi/nani?

And umeemaanisha nini nimetoa hayo maneno wapi?

Nilitaka source ya ulipotoa hayo uliyoandika!

Another one of your silly Qs

If is that,where is your answers?
I wonder you can't answer silly question!!!!!
. What do u mean kujua mema na mabaya ni nini?

Kabla ya kujadili jambo na mtu ni lazima uhakikishe kuwa anajua anachokizungumza au kuandika,kuna wengine wanaandika au kusema kimazoea tu
Sasa nataka nihakikishe kama unajua maana ya kujua mema na mabaya!
BTW, that's a good Q kuprove god had invented evil

Ndio maana nilitaka uniambie Mungu ni nani ili nijue kama hata Mungu unamjua
Kwa kauli yako hii inaonekana hujui hata Mungu ni nani
Hivi panapowaka moto unaweza ukateka maji?
, just as the Muslims teach.

Hili nawaachia wao wakujibu!

Or maybe you tell me, did A%E know what "wrong" is? Did they know that "disobeying" is "wrong".
If they were perfect , how could they "do wrong"?

I didn't say any of this,you better keep this by yourself!

And umemaanisha simjui mungu wa kwenye biblia?

I don't know
Kama unamjua si uniambie?
What take you so long?
The one who condoned slavery, beating of slaves, rape, mass killing of children and animals, stonning kids who eat too much etc? Oh comon i know him....

Is this kind of god you tolking about?
Hakika simjui huyu mungu
Tafuta anaemjua mjadiliane!
 
Back
Top Bottom