Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

KWA HIYO YESU AKISEMA " EEH BABA ULIYE MBINGUNI" INA MAANA ANAJIITA YEYE MWENYEWE SIO??

AU AKISEMA Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu. Luka 22.42-43

HAPA PIA ANAJIITA MWENYEWE??

AU LIPOSEMA Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mathayo 27.46

HAPA ALIKUWA ANAJILILIA MWENYEWE NA KUJIOMBA MSAADA MWENYEWE?? YAANI UNAMFANYA YESU KUWA KAMA HANA AKILI TIMAMU?? AU MWENDA WAZIMU?? KUONGEA NA KUJIOMBA NA KUJIITA YEYE MWENYEWE??

MBONA NYIE WATU MNAUTAFUTA MOTO WA MUNGU KWA NGUVU NAMNA HII!! YAANI ANDIKO LIKO WAZI NAMNA HII HALAFU MNALAZIMISHA TU!!

Insanity illusion at work. Yesu Kristo ni nafsi ya Mungu aliye hai.Mungu mmoja mwenye nafsi tatu,Mungu Baba,Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Usipoelewa Trinity lazima uone maajabu katika kila alilolinena Bwana Yesu Kristo.
 
SO IT MAKE SENSE TO YOU AND TO ALL CHRISTIAN THAT, YOUR god COULD NOT CHOOSE ANY BETTER WAY OF FORGIVING YOUR SINS, THAT KILLING HIS OWN BELOVED SON!!

IF ALL THE FATHERS LOVES THE WAY YOUR SO CALLED god, TODAY WE DID NOT HAVE ANY SONS LEFT ON EARTH!!
AND ITS COMMON SENSE THAT FATHERS WILL DO ANYTHING TO PROTECT THEIR SONS!! BUT THIS ONE WAS TOTALLY DIFFERENT FROM OTHER PARENTS!! HE CHOOSE TO KILL HIS ONLY SON!!!

I AM GLAD HE IS NOT MY FATHER!! OR I WONT BE IN JF TODAY!!

Our God is Omni...Omni...Omni, the wish of Our God is final, you with your insanity Illusion you can question anything dude
 
KWA HIYO YESU AKISEMA " EEH BABA ULIYE MBINGUNI" INA MAANA ANAJIITA YEYE MWENYEWE SIO??

AU AKISEMA Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu. Luka 22.42-43

HAPA PIA ANAJIITA MWENYEWE??

AU LIPOSEMA Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mathayo 27.46

HAPA ALIKUWA ANAJILILIA MWENYEWE NA KUJIOMBA MSAADA MWENYEWE?? YAANI UNAMFANYA YESU KUWA KAMA HANA AKILI TIMAMU?? AU MWENDA WAZIMU?? KUONGEA NA KUJIOMBA NA KUJIITA YEYE MWENYEWE??

MBONA NYIE WATU MNAUTAFUTA MOTO WA MUNGU KWA NGUVU NAMNA HII!! YAANI ANDIKO LIKO WAZI NAMNA HII HALAFU MNALAZIMISHA TU!!
labda uniambie unaelewaje wanafunzi wake wanapotakiwa kubatizwa kwa baba, mwana na roho mtakatifu? kwanini isiwe ubatizo kwajina la mungu?. yesu ananafasi gani kwa mwanadamu? na uhusiano wao unauelewaje?, ningependa maelezo yako then uweke andiko. kwasababu hata wanafunzi wake walichoshwa na maelezo ya yesu wakamwambia awaonyeshe baba, pale waliposema ''utuonyeshe baba yatosha..,'' akawauliza amekaa nao siku zote hawakumjua?. yesu ni nani mpaka aje kutoa hukumu, ninani mpaka aweze kufufua wafu, ni nani mpaka asiwe na dhambi, ni nani mpaka aje na amri mpya za upendo, na baba yake mzazi hasa ni nani ukiyajibu haya maswali kwa kuyaelewa then utakuwa unamwelewa yesu vizuri. zaidi ya hapo utakuwa mshabiki tu. na pengine kujaribu kumshusha yesu kama mitume na manabii wengine kitu ambacho hakitakusaidia kuijua kweli yake.fahamu tena ya kwamba huwezi kumwomba mungu bila kupitia jina la yesu. kwakuwa yeye ndiye njia. just imagine manabii wote, kuanzia musa, nathan, isaya, daniel, yohane, hajatokea nabii aliyewahi kusema yeye ndiye, isipokuwa ni yesu kristo pekee yake. kama ambavyo haijatokea nabii/mwamuzi ama mtume yoyote awaye yule aliyezaliwa na mwanamke pasipo baba yake kujulikana. je baba yake yesu atakuwa nani?tafakari.
elimu ya kujua utatu mtakatifu sio rahisi kama tunavyoijadili hapa, nachofanya hapa ni kukueleza just in a nut shell ili uelewe kwanini yesu ndiye ufunguo wa kuingilia mbinguni. pia tusijaribu kuwatenganisha kwani hata ubatizo unawahusisha wote watatu kwa umoja wao, swala la kusema kuna mdogo na mkubwa alitasaidia kwani tangu mwanzo mungu alijidhihirisha peke yake, lakini hapo baadae akamtoa mwanawe wa pekee ili amwaminie asipotee bali awe na uzima.na ndiye mwenye mamlaka duniani na mbinguni, trust me ndiye atakuja kuhukumu wazima na wafu.aliye na mamlaka duniani na mbinguni ndiye mungu wako wa kumtumaini ili uifikie mbingu ambayo utaishi milele na mungu. Emmanuel alikuja kutuonyesha mungu yukoje, na ndio maana maagizo yake yako 100% balanced, gender balanced, wealth balanced, race balanced, na upendo ndio nguzo kuu. so if you expect something else you are going astray. for god sake, wengine ni wevi na wanyang'anyi bali yesu ndiye wa kwanza na ndiye wa mwisho, atampa yule ashindaye maji ya uzima.
 
Atheist point of view, For us who believes in creation,Thanks that you said it si Just a theory that can be simply dumped in a dust bin. I do not agree/Accept the theory man...! Believing in macro evolution requires man with an empty head or some problems up stairs, micro evolution is explainable

i too believe in creation (of some sort), but was man created with the same image he has now millions of years back then? With constantly changing global environment hasn't any one of the many creatures on earth 'change' or develop features to cope with the on going changes that its previous ancestors lacked? Just curious to see where your mind is on these qns.
 
Our God is Omni...Omni...Omni, the wish of Our God is final, you with your insanity Illusion you can question anything dude

Your answers does not reflect your name at all!

Who the hek is that! R u refer it to a hindu goddess! Or same one who killed his beloved son !so we can all chill out!!?
 
We MaxShimba acha kudanganya watu ili ulipwe!!
Huna haya kutoa misamiati halafu kutoa conclusions kuwa yesu ni mwana wa mungu??
Mbona ADAM hana baba wala mama usimuite mwana wa mungu??
Nyie mtaingia moto wa jahannamu kama rocket!
Halafu aitoshi kusema kuwa yesu ni mwana wa mungu!
Mnaongezea na kusema kuwa huyo mwana alijizaa mwenyewe kwa kuwa yeye ni mungu! Na akaamua kujiua ili mtu kama wewe upone!!?!?!

Yaani nyie watu sijui tuwaweke ktk category gani!! Manake hata wale waliokuwa na imani za vita vya majimaji kuwa ukisema "maji" risasi inageuka maji basi wale wana afadhali!!

Huu mstari nadhani utakufanya ujicheki kwanza! Uko sawasawa!?

. Deuteronomy 23:1 ESV

No one whose testicles are crushed or whose male organ is cut off shall enter the assembly of the Lord.
sijaelewa lengo la hii quotation, unataka kutupa maana gani sasa kama ni ku-compare na koran , ningependa ujue wanajf hawajaifungia hii thread mpaka sasa kwasababu tu watu hawajatupia comparison zozote. na ukianza kukompare ujue hakuna siri ya koran isiyojulikana kwa mapana na marefu yake na kwa lugha yake? ningeomba ui-link na unachotaka kusema. thats thats.
lets stop being pproffessional criticizer. ningeomba tujuze bila jazba zozote za kiimani, utupe yesu alizaliwaje na baba yake ni nani? na adam ilikuwaje na wanatofautianaje
 
labda uniambie unaelewaje wanafunzi wake wanapotakiwa kubatizwa kwa baba, mwana na roho mtakatifu? kwanini isiwe ubatizo kwajina la mungu?. yesu ananafasi gani kwa mwanadamu? na uhusiano wao unauelewaje?, ningependa maelezo yako then uweke andiko. kwasababu hata wanafunzi wake walichoshwa na maelezo ya yesu wakamwambia awaonyeshe baba, pale waliposema ''utuonyeshe baba yatosha..,'' akawauliza amekaa nao siku zote hawakumjua?. yesu ni nani mpaka aje kutoa hukumu, ninani mpaka aweze kufufua wafu, ni nani mpaka asiwe na dhambi, ni nani mpaka aje na amri mpya za upendo, na baba yake mzazi hasa ni nani ukiyajibu haya maswali kwa kuyaelewa then utakuwa unamwelewa yesu vizuri. zaidi ya hapo utakuwa mshabiki tu. na pengine kujaribu kumshusha yesu kama mitume na manabii wengine kitu ambacho hakitakusaidia kuijua kweli yake.fahamu tena ya kwamba huwezi kumwomba mungu bila kupitia jina la yesu. kwakuwa yeye ndiye njia. just imagine manabii wote, kuanzia musa, nathan, isaya, daniel, yohane, hajatokea nabii aliyewahi kusema yeye ndiye, isipokuwa ni yesu kristo pekee yake. kama ambavyo haijatokea nabii/mwamuzi ama mtume yoyote awaye yule aliyezaliwa na mwanamke pasipo baba yake kujulikana. je baba yake yesu atakuwa nani?tafakari.
elimu ya kujua utatu mtakatifu sio rahisi kama tunavyoijadili hapa, nachofanya hapa ni kukueleza just in a nut shell ili uelewe kwanini yesu ndiye ufunguo wa kuingilia mbinguni. pia tusijaribu kuwatenganisha kwani hata ubatizo unawahusisha wote watatu kwa umoja wao, swala la kusema kuna mdogo na mkubwa alitasaidia kwani tangu mwanzo mungu alijidhihirisha peke yake, lakini hapo baadae akamtoa mwanawe wa pekee ili amwaminie asipotee bali awe na uzima.na ndiye mwenye mamlaka duniani na mbinguni, trust me ndiye atakuja kuhukumu wazima na wafu.aliye na mamlaka duniani na mbinguni ndiye mungu wako wa kumtumaini ili uifikie mbingu ambayo utaishi milele na mungu. Emmanuel alikuja kutuonyesha mungu yukoje, na ndio maana maagizo yake yako 100% balanced, gender balanced, wealth balanced, race balanced, na upendo ndio nguzo kuu. so if you expect something else you are going astray. for god sake, wengine ni wevi na wanyang'anyi bali yesu ndiye wa kwanza na ndiye wa mwisho, atampa yule ashindaye maji ya uzima.
UTATU MTAKATIFU!
ndugu 2013 ! we unakubali kabisa kuwa " utatu mtakatifu" ni suala la msingi kabisa la imani yako! na suala la msingi katika imani yoyote akili inakwambia kuwa, linatakiwa kuwa NI RAHISI KUELEWEKA KWA WAUMINI WOOTE! BILA KUJALI ELIMU ZAO NA INTELIJENSIA YAO!!

SWALI- JE HUJIULIZI KWA NINI LEO KARIBU ULIMWENGU MZIMA WA WAKIRISTO SUALA HILI HALIJAPATA UFAFANUZI WA WAZI?? we kweli unakubali MUNGU MKUU ALIYE TUUMBA WOTE ATAFANYA KUSUDI KUTUWEKEA MSINGI WA IMANI YENU KUWA MGUMU NAMNA HII KUELEWEKA??

NA KAMA HIVYO NDIVYO UNAVYOTAKA KUAMINI HUONI KAMA MISTARI HAPA CHINI INAPINGANA NA IMANU HIO??
HEBU ANGALIA HAPA YESU ANASEMA NINI!!

Yohana 17:8. Hapa Yesu anasema:

"Mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa; nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako; na wanaamini kwamba wewe ulinituma".

"Sikieni, enyi Israel: Bwana Mungu wetu ni Mungu Mmoja tu" (Marko 12:29)

Yohana 5:37, Yesu anasema:

"Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nanyi hamjapata kamwe kusikia sauti Yake, wala kuuona uso wake".

TAZAMA HAPA KUYATHIBITISHA HAYO MANENO YA YESU KUUHUSU UONEKANO WA MUNGU!!

kitabu cha kutoka 33:20, Mungu anamwambia Musa:

"Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi".
SWALI LA NYONGEZA!! KAMA YESU NI MUNGU! IWEJE ASEME MUNGU HAONEKANI WAKATI YEYE ANAONEKANA NA WANAFUNZI WAKE KILA SIKU??

UBATIZO

tunajifunza ktk andiko kuwa YESU alibatizwa mwaka wa 29 W.K., alipozamishwa katika Mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Yehova alikuwa akitazama na akamkubali. (Mathayo 3:16, 17)

hapa tunaona kuwa wakati YESU ANABATIZWA! YEHOVA PIA ALIKUWEPO ANATIZAMA! kwa maana nyingine HAPA KUNA YESU NA YEHOVA AU SIO?

SWALI- KAMA YESU NI MUNGU MMOJA! HUYU YEHOVA ALIYEKUWA ANATAZAMA NA AKAMKUBALI NI NANI??

MUNGU KUMTOA MWANA WA PEKEE ILI WANAADAMU WAOKOKE!!
SOTE TUNAJUA KUWA KUMUUA MWANAO AU MTU YYT ILI UFANIKISHE JAMBO FULANI NI KUMTOA KAFARA HUYO MWANA AU MTU

BIBLIA INATUFUNDISHA KUWA MUNGU HAKUPENDA IBADA YA KUTOA KAFARA YA DAMU!

Wakati baadhi ya kafara hizi zilizotolewa na Wayahudi zilifanywa kwa ajili ya maondoleo ya dhambi, Mitume waliokuja baadaye walikataza jambo hili.

Katika Hosea 6:6, kwa mfano, tunasoma:

"Kwa kuwa Ninataka upendo thabiti na sio kafara".

Mungu alitaka upendo - ambao husababisha kumwamini Yeye na utii wa sheria yake - kwani hii ni bora kuliko damu ya kafara. Hata Yesu mwenyewe aliusisitiza ujumbe huu tena,

katika Mathayo 9:13, ambapo anasema:

"Nendeni na mkajifunze maana ya maneno haya: Ninataka rehema sio kafara."

Paulo aliyaweka yote haya pembeni akasema kwamba Yesu, kiumbe mkamilifu, alikuwa "Kafara (muhanga) wa mwisho" alipoyatoa maisha yake msalabani.

katika Ezekiel 18:20 -22:

"- - Mtoto hatabeba dhambi za baba, wala baba hatabeba dhambi za mtoto."

SASA WEWE NDUGU YANGU UNAKUBALI KABISA KUWA!

Kutokana na suala zima kwamba Mwenyezi Mungu alimtaka Yesu ayatoe maisha yake kwa ajili ya dhambi za wanadamu, Paulo alimchukua Mwenyezi Mungu anayewapenda na kuwajali viumbe wake akamfanya kuwa ni katili na aliye mbali sana ambapo kitu kingine chochote kisichokuwa damu ya Yesu hakiwezi kumfikia wala kumridhisha.NA WEWE KWELI UKAKUBALI HILI??

NA HAPO NYUMA UTAONA MTU ANAEIFANYA BIBLIA IGONGANE NI PAULO NA ALIYEKUWA KARANI WAKE LUKA!! BAASI

KWA SABABU BIBLIA INASEMA!!

Wakorinto wa kwanza 14:33 kwamba:

"Mungu sio mwanzilishi wa utatanishi na migongano". (Mysteries).

SASA JE UTAENDELEA KUAMINI IMANI AMBAYO INA MPARAGANYIKO KIASI HIKI?? NA UACHE KUAMINI ALICHO KIAMNI YESU AMBAYE ALIABUDU MUNGU MMOJA??

UAMUZI NI WAKO!!
 
Last edited by a moderator:
Wanazuoni:

Kuna sababu kuu ambayo ilimfanya Mwenyezi Mungu kusema kuwa, "Mpumbavuh" kasema kuwa hakuna Mungu moyoni mwake (Ushaidi upo ndani ya Zaburi ya Daudi). Sasa basi leo tujiratibu na maneno haya mawili: Tofauti baina ya Mpumbavuh na Mjinga.

Wanazuoni, elewa kuwa kusoma kwingi sio kuufuta ujinga kama wanavyo dai wapinga Mungu, bali ni kuupunguza ujinga ulio kuwa auhufahamu. Wanadunia wote wana ujinga wa jambo moja au kadhaa, haijalishi elimu yako ni ya wapi au imani yako ni ipi. Wapenzi wa dini kuwa na ujinga wa jambo si kosa, hata Profesa wa Fizikia wa Marekani anaweza asijue namna ya kupika Ugali lakini Binti wa kutoka Kijiji cha Nangurukuru anaweza kuwa hodari wa jambo hilo kumshinda Profesa. Hilo si kosa wala dhanbi.

Lakini "mpumbavuh" upumbavuh ni ile hali ya binadamu kufanya jambo isivyotakiwa huku akiwa na uelewa na au ufahamu wa namna ya kufanya inavyotakiwa na au huna ueleo kuwa ufahamu wako si ukweli/kweli, na kung'ang'ania kuwa unacho elewa ndio sahihi, kisa, eti, mimi nimefuta unjinga zaidi ya yule mpenzi wa dini. Huo ndio upumbavuh wa Non Theists. Kila mmoja wetu ana ujinga wake. Kuwa na ujinga wa jambo fulani ni kutoelewa jambo hilo. Ni nani anayeelewa kila jambo hapa duniani zaidi ya Yesu Kristo? Lakini Non-theists wao wanafikiri kuwa wanaelewa kila kitu huku wakifahamu kuwa wao bado hawana majibu ya kivipi jiwe litengeneze "maisha" au life.

Allahamdullilah, wanadunia tumejaliwa akili ili tuweze kufikiri na kuongeza ufahamu kwa kukubali kujifunza. Inakuwaje basi mwanadamu anapoacha kufikiri na kudai kuwa eti Fulani hayupo au hajawai kuwepo kwasababu sijawai kumuona?

Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala anasema kuwa, Mpumbavuh kasema moyoni mwake kuwa Mungu hayupo. Hili ni jambo lakujiuliza, kwanini Mungu awaite wale Wapumbavuh.

Watakabahu

Max Shimba Ministries
 
BIBLIA INAPENDEKEZA MARA ZOTE KUWA, UNAPOANDIKA MANENO! BASI UNAFUATISHA NA ANDIKO!!

NA USIPOFANYA HIVYO NA UKATOA MANENO KICHWANI KWAKO, UNAINGIA KWENYE KUNDI HILI AMBALO ANDIKO LINASEMA:-
Proverbs 29:20
Seest thou a man that is hasty in his words? there is more hope of a fool than of him.

HAYA M.M.MWANAKONDOO!! LETA ANDIKO SASA!!
 
Wakristu:
Zaburi 53

1 Mpumbavuh amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

Waislamu:
Koran:
Allah anasema: Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni Mjumbe wa Allah

Sasa ni dini gani inapinga Mungu na ni ya Makafiri? Maana Kafiri ni mtu yeyote yule, au kiumbe chechote kile kinacho pinga uwepo wa Mungu.

Max Shimba Ministries.
 
umekuja na staili mpya!! i like that!!

Hayo ni mawazo yako na hao maadui wa uislamu!! na juu ya makundi yao! WOTE WANAABUDU MUNGU MMOJA!!

SASA TAZAMA SARAKASI HAPA!!

Major Divisions and Interpretations
Islam_branches_and_schools.svg
 
Wakristu:
Zaburi 53

1 Mpumbavuh amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

Waislamu:
Koran:
Allah anasema: Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni Mjumbe wa Allah

Sasa ni dini gani inapinga Mungu na ni ya Makafiri? Maana Kafiri ni mtu yeyote yule, au kiumbe chechote kile kinacho pinga uwepo wa Mungu.

Max Shimba Ministries.

NYIE WAKIRISTO HAMUABUDU MUNGU!! NYIE MNAABUDU YESUAMBAE NI MTU!!NA MAMA YAKE NA SIJUI ROHO MTAKATIFU !
NA JUU YA HIVYO MNAABUDU! MASANAMU NA MNAYAPIGIA GOTI KILA SIKU!!

MUNGU WA WAISLAMU NI MMOJA TU!! NA USHAHIDI NI HUU HAPA!
!

112:1to top

112_1.png
Sahih International
Say, "He is Allah , [who is] One,

112:2to top

112_2.png
Sahih International
Allah , the Eternal Refuge.

112:3to top

112_3.png
Sahih International
He neither begets nor is born,

112:4to top

112_4.png
Sahih International
Nor is there to Him any equivalent."

Unazungumza kuhusu Yesu Kristo halafu unaleta ushaidi wa Korani? Hivi Allah wako anaweza tupa tarehe ya Kuzliwa Yesu Kristo?

Pata elimu ya bure hapa:

Max Shimba: YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) - YouTube

Max Shimba: YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) 2 - YouTube

Halafu muuliza Allah, kwanini alisema kuwa HAKUNA Mungu?

JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?Makanisa ya Kikristo yanafunza ya kuwa Yesu Kristo si kama kuwa ni Mwana wa Mungu tu, bali hakika ni Mungu khasa. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni mmoja. Watatu katika mmoja, na mmoja katika watatu. Wote ni wa milele, wote ni sawa. Yesu ni Mungu, na Mungu ni Yesu. Hiyo ni imani ya Kikristo, ambayo inaaminiwa na karibu Wakristo wote. Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?
Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15
Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema: "Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo." Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa. Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56
Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
Luka 22.42-43
Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

  1. Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
  2. Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
  3. Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."
Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa? Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:
Baba ni mkuu kuliko mimi.
Yohana 14.28
Na mwishoni naye yupo mslabani:
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?
Mathayo 27.46
Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu? Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"? Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake. La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo. Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.
Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu
 
UWEZO NI WA NANI?Katika hoja zinazotolewa na baadhi ya watu kutaka kuthibitisha ungu wa Yesu ni miujiza inayosimuliwa kuwa aliitenda. Mifano ya miujiza hiyo ni kugeuza maji yakawa mvinyo, kuponyesha wakoma na waliopooza, kuwachomoa waliopandwa na pepo, kufufua waliokwisha kufa, na kutembea kwa miguu juu ya maji. Lakini hizo hizo Injili zinazosimulia miujiza hiyo zinatwambia vile vile ya kwamba Yesu mwenyewe alisema kuwa akifanya yote hayo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemtuma. Wala si kama Yesu alikiri kuwa miujiza tu ni ya Mwenyezi Mungu, bali lo lote alilosema au alilolitenda alisema kuwa ni kwa amri, na upendo wa Mwenyezi Mungu. Yeye hakuweza kuvunja udole bila ya uwezo wa Mola wake. Katika Injili ya Yohana Yesu anasimuliwa kusema:
Kwa sababu mimi sikunena kwa nafsi yangu tu; bali Baba aliyenipeleka, yeye mwenyewe ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.
Yohana 12.49-50
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
Yohana 5.30
Fakhari kubwa ya Yesu ilikuwa kwamba kila alisemalo na alitendalo ni kufuata mapenzi ya Mungu na kutii maamrisho yake.
Katika hadithi ya muujiza wa kufufuliwa Lazaro tunasoma kama ilivyo katika Injili ya Yohana:

Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake. Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba nakushukuru kwa kuwa umenisikia. Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia siku zote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana 11.38-42
Kutokana na kisa hichi tunajifunza nini? Mambo matatu hapa yanatudhihirikia wazi:

  1. Yesu anamwambia Martha, dada wa maiti, kuwa "ataona utukufu wa Mungu" si utukufu wa Yesu, kwani muujiza ni wa Mwenyezi Mungu, si wa Yesu, Mwana wa Adamu. Mfufuaji ni Mwenyezi Mungu, mwenye uwezo wa kila kitu. Yesu "hawezi kufanya neno mwenyewe".
  2. Yesu anamwomba Mungu na anamshukuru Mungu kwa kumwitikia na kuyasikia maombi yake.
  3. Yeye Yesu anajua kuwa Mungu siku zote anamwitikia maombi yake, lakini alifanya yale hadharani ili athibitishe kwa wale waliohudhuria kuwa kweli yeye Yesu ametumwa na Mungu, yaani yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Kama alivyosema mwenyewe:"ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma." Yesu pia anathibitisha kuwa ayatendayo ni mapenzi na amri ya Mungu.
Hayo ndiyo, lakini yeye mwenyewe Yesu kafufuka kutoka wafu. Huo si muujiza wa kuonyesha kuwa yeye ni Mungu? Hebu tuitazame Biblia inasema nini juu ya tukio hili. Kila tusomapo kitabu hichi kitakatifu tunaona kuwa ni Mungu ndiye aliyemfufua Yesu.
Hatuoni kuwa Yesu kajifufua mwenyewe. Vile vile tunasoma humo humo kuwa si yeye peke yake aliyesimuliwa na kuaminiwa kuwa kafufuliwa kutoka wafu. Twasoma katika 2 Wafalme:4.32-37 vipi Nabii Elisha (Al Yasaa) alivyomfufua mtoto aliyekwisha kufa. Kisa kingine kama hicho kinasimuliwa katika 1 Wafalme 17.22. Biblia pia inawataja watu wengine wasiokuwa Yesu waliopaa wakenda mbinguni. Katika 2 Wafalme tunasoma:

Ikawa, walipokuwa wakiendelea mbele na kuongea, tazama! kukatokea gari la moto, na farasi wa moto, likawatenga wale wawili (Elisha na Eliya, yaani Al Yasaa na Ilyas); naye Eliya (Ilyas) akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli.
2 Wafalme 2.11
"Kisulisuli" ni upepo wa chamchera au kimbunga. Hadithi kama hizo za watu watukufu kupaa mbinguni na kufufuka zilikuwa zimeenea sana katika zama za Yesu. Josefas akiandika katika kitabu Antiquities (Ya Kale) anasimulia khabari ya Musa: "Kwa ghafla kiwingu kilisimama mbele yake, naye akapotea katika bonde fulani, ijapokuwa ameandika katika vitabu vitakatifu ya kuwa alikufa. Hayo yalifanywa kwa kuogopa wasije kusema kuwa kwa sababu ya uchamngu wake uliopita kiasi, alikwenda kwa Mwenyezi Mungu." Josefas pia ametaja kuwa baadhi ya watu walifikiri kuwa "Musa ameingizwa katika ungu."
Na J. Jeremias katika Moyses amesema:
"Watatu wamepaa mbinguni nao wahai: Enoko, Musa na Eliya".
Almuradi tunaona kwa uthibitisho wa maandiko matakatifu ya Kikristo kwamba si Yesu peke yake aliyeitwa "Mwana wa Mungu, au Mungu", wala si yeye peke yake aliyefufua wafu, wala si yeye peke yake aliyefufuka na kupaa mbinguni.
 
Back
Top Bottom