Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies


Unazungumza kuhusu Yesu Kristo halafu unaleta ushaidi wa Korani? Hivi Allah wako anaweza tupa tarehe ya Kuzliwa Yesu Kristo?


Pata elimu ya bure hapa:

Max Shimba: YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) - YouTube


Max Shimba: YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) 2 - YouTube

Halafu muuliza Allah, kwanini alisema kuwa HAKUNA Mungu?


"....na Tukampa ISA, mwana wa Mariyamu ( Yesu mtoto wa Maria) hoja zilizo wazi wazi, na Tukamtia nguvu kwa Roho mtakatifu'' .
(Qur’an 2:87)

".....Ewe Mariyamu! Mwenyezi Mungu anakupa khabari njemaza neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi, ISA mwana wa Maryamu..."
Qur’an (3:45)

..Masihi ISA bin Maryamu ni Mtume wa MwenyeziMungu....
(Qur’an 4:171).

Na Tukawafuwatishia (Mitume hao) ISA bin Maryamu...”
(Qur’an 5:46).

“Na Zakaria na Yahya na ISA na Ilyas, Wote (walikuawa) ni miongoni mwa watu wema.
(Qur'an 6:85).
[h=2]YESU NA MAJINA YAKE[/h]Ingawaje Yesu anatajwa kwa jina mara ishirini ndani ya Qur’an Tukufu, piya kiheshima anaitwa “Ibni Maryam” (Mwana wa Maryam); Masihi (Messiah kwa Kiebrania) ambalo hutafsiriwa kama Kristo “Abd-ullah”- mja wa Allah; “Rasul-ullah”-Mtume wa Allah.Anaelezewa kama “neno la Mungu” , “kama Roho wa Mungu”“ishara ya Mungu”, na sifa nyingine kemkem za utukuzo zilizotolewa katika zaidi ya sura kumi na tano. Qur’an inampa heshima Mtume huyu mkubwa wa Mungu, na Waislamu hawajafanya kinyume na hivyo kwa miyaka elfu moja na miya nne.

Hakuna hata neno moja la dharau katika Qur’an yote ambalo wale Wakristo wenye hiyana zaidi wanaweza kulitafutiya dosari.


[h=2]Nabii Issa (A.S) katika Quran[/h]
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa (Yesu), mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa. 2:87


Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa (Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake. 2:136


 
UTATU MTAKATIFU!
ndugu 2013 ! we unakubali kabisa kuwa " utatu mtakatifu" ni suala la msingi kabisa la imani yako! na suala la msingi katika imani yoyote akili inakwambia kuwa, linatakiwa kuwa NI RAHISI KUELEWEKA KWA WAUMINI WOOTE! BILA KUJALI ELIMU ZAO NA INTELIJENSIA YAO!!

SWALI- JE HUJIULIZI KWA NINI LEO KARIBU ULIMWENGU MZIMA WA WAKIRISTO SUALA HILI HALIJAPATA UFAFANUZI WA WAZI?? we kweli unakubali MUNGU MKUU ALIYE TUUMBA WOTE ATAFANYA KUSUDI KUTUWEKEA MSINGI WA IMANI YENU KUWA MGUMU NAMNA HII KUELEWEKA??


NA KAMA HIVYO NDIVYO UNAVYOTAKA KUAMINI HUONI KAMA MISTARI HAPA CHINI INAPINGANA NA IMANU HIO??
HEBU ANGALIA HAPA YESU ANASEMA NINI!!



Yohana 17:8. Hapa Yesu anasema:

"Mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa; nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako; na wanaamini kwamba wewe ulinituma".


"Sikieni, enyi Israel: Bwana Mungu wetu ni Mungu Mmoja tu" (Marko 12:29)


Yohana 5:37, Yesu anasema:

"Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nanyi hamjapata kamwe kusikia sauti Yake, wala kuuona uso wake".


TAZAMA HAPA KUYATHIBITISHA HAYO MANENO YA YESU KUUHUSU UONEKANO WA MUNGU!!


kitabu cha kutoka 33:20, Mungu anamwambia Musa:

"Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi".
SWALI LA NYONGEZA!! KAMA YESU NI MUNGU! IWEJE ASEME MUNGU HAONEKANI WAKATI YEYE ANAONEKANA NA WANAFUNZI WAKE KILA SIKU??


UBATIZO

tunajifunza ktk andiko kuwa YESU alibatizwa mwaka wa 29 W.K., alipozamishwa katika Mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Yehova alikuwa akitazama na akamkubali. (Mathayo 3:16, 17)

hapa tunaona kuwa wakati YESU ANABATIZWA! YEHOVA PIA ALIKUWEPO ANATIZAMA! kwa maana nyingine HAPA KUNA YESU NA YEHOVA AU SIO?

SWALI- KAMA YESU NI MUNGU MMOJA! HUYU YEHOVA ALIYEKUWA ANATAZAMA NA AKAMKUBALI NI NANI??


MUNGU KUMTOA MWANA WA PEKEE ILI WANAADAMU WAOKOKE!!
SOTE TUNAJUA KUWA KUMUUA MWANAO AU MTU YYT ILI UFANIKISHE JAMBO FULANI NI KUMTOA KAFARA HUYO MWANA AU MTU

BIBLIA INATUFUNDISHA KUWA MUNGU HAKUPENDA IBADA YA KUTOA KAFARA YA DAMU!

Wakati baadhi ya kafara hizi zilizotolewa na Wayahudi zilifanywa kwa ajili ya maondoleo ya dhambi, Mitume waliokuja baadaye walikataza jambo hili.

Katika Hosea 6:6, kwa mfano, tunasoma:

"Kwa kuwa Ninataka upendo thabiti na sio kafara".

Mungu alitaka upendo - ambao husababisha kumwamini Yeye na utii wa sheria yake - kwani hii ni bora kuliko damu ya kafara. Hata Yesu mwenyewe aliusisitiza ujumbe huu tena,

katika Mathayo 9:13, ambapo anasema:

"Nendeni na mkajifunze maana ya maneno haya: Ninataka rehema sio kafara."

Paulo aliyaweka yote haya pembeni akasema kwamba Yesu, kiumbe mkamilifu, alikuwa "Kafara (muhanga) wa mwisho" alipoyatoa maisha yake msalabani.

katika Ezekiel 18:20 -22:

"- - Mtoto hatabeba dhambi za baba, wala baba hatabeba dhambi za mtoto."

SASA WEWE NDUGU YANGU UNAKUBALI KABISA KUWA!

Kutokana na suala zima kwamba Mwenyezi Mungu alimtaka Yesu ayatoe maisha yake kwa ajili ya dhambi za wanadamu, Paulo alimchukua Mwenyezi Mungu anayewapenda na kuwajali viumbe wake akamfanya kuwa ni katili na aliye mbali sana ambapo kitu kingine chochote kisichokuwa damu ya Yesu hakiwezi kumfikia wala kumridhisha.NA WEWE KWELI UKAKUBALI HILI??

NA HAPO NYUMA UTAONA MTU ANAEIFANYA BIBLIA IGONGANE NI PAULO NA ALIYEKUWA KARANI WAKE LUKA!! BAASI

KWA SABABU BIBLIA INASEMA!!

Wakorinto wa kwanza 14:33 kwamba:

"Mungu sio mwanzilishi wa utatanishi na migongano". (Mysteries).


SASA JE UTAENDELEA KUAMINI IMANI AMBAYO INA MPARAGANYIKO KIASI HIKI?? NA UACHE KUAMINI ALICHO KIAMNI YESU AMBAYE ALIABUDU MUNGU MMOJA??

UAMUZI NI WAKO!!

Mkuu Mbokaleo hapa umemaliza asiyetaka kuelewa basi ujue huyo anaifanya imani iwe km ushabiki wa mpira, umefafanua vizuri sana japo wezako wako wengi lakini bado wameshindwa kujibu hoja yako..
 
Last edited by a moderator:
KUZALIWA BILA YA BABALabda katika miujiza yote ya kumthibitishia Yesu ungu ni kule kuzaliwa kwake na bikra bila ya baba. Wengi wanaona hayo ndiyo yanayoonyesha kwa nguvu zaidi kuwa yeye ni Mungu au Mwana wa Mungu. Mtaalamu mkubwa wa Kikristo, Maurice Wiles, Professor of Divinity and Canon of Christ Church Oxford, na Mwenyekiti wa Tume ya Imani ya Kanisa la Kiingereza, ameeleza vipi ilivyokuwa ni muhimu kabisa kuamini kuzaliwa na bikra kwa mwenye kutaka kuamini kwamba Yesu ni Mungu. Professor Wiles akiandika katika kitabu The Myth of God Incarnate (Uwongo wa Mungu kuwa Mtu) amesema:
"Mwanzoni mwa karne hii (ya ishirini) zilipokuwa shaka shaka zinatamkwa kuwa ati ni kweli hakika Yesu alichukuliwa mimba na bikra, maneno hayo ya kuonyesha shaka yalionekana mara nyingi kuwa ni mashambulio khasa juu ya imani ya kuwa Mungu kawa mtu. Ilionekana kwamba imani ya kuzaliwa na bikra na kwamba Mungu amekuwa mtu ni kama pacha wasiobandukana, ama zitasimama pamoja au zianguke pamoja."
Biblia yasemaje juu ya jambo hili? Kwa hakika si kitu cha kawaida mtu kuzaliwa na mwanamke bikra asiyeingiliwa. Ni kweli huo ni muujiza. Lakini ndio ndivyo kuamini kuwa chenye kuzaliwa kwa muujiza ni Mungu? Au hata ndio ndivyo kuona tukio kama hilo ni dalili mojawapo ya kuzidisha ushahidi ya kuwa huyo mtoto ni Mungu au Mwana wa Mungu, kwa maana wanavyotaka wakuu wa makanisa wafwasi wao waamini?
Biblia inayotwambia kuwa Yesu kazaliwa bila ya mama yake kuingiliwa na mwanaadamu (Injili ya Mathayo 1.18) vile vile inatuambia ya kuwa Adamu hakuwa na baba wala mama. (Mwanzo 1.26- 27). Kama wa Yesu ni muujiza wa Adam ni muujiza mardufu. Hali kadhaalika Paulo amewaandikia Waebrania:

Kwa maana Melkizedeki huyo, mfalme wa Salemu, kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Ibrahimu alipokuwa akirudi katika kuwapiga hao wafalme, akambariki; ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki, tena mfalme wa Salemu, maana yake, mfalme wa amani; hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku zake, wala mwisho uhai wake, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele.
Waebrania 7.1-3
Tunaona basi Biblia inatuhakikishia kuwa Yesu hakuwa pekee mwenye kuzaliwa bila ya baba. Wapo waliomtangulia katika muujiza huu. Kama huo ndio ungu, basi wangelikuwa Adam na Melkizedeki wa mbele, ambaye anasimuliwa na Biblia kuwa alikuwa
"hana baba, hana mama, hana mwanzo wala mwisho".
Hoja nyingi zimetolewa kukanya fikra ya kuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu aligeuka binaadamu akaishi duniani kwa sura ya Yesu wa Nazareti. Hoja hizo ziko za misahafuni mpaka za kisayansi. Katika Qur'ani ameshabihishwa Yesu na Adam. Hali kadhaalika muujiza ulitokea kabla kidogo tu ya kuzaliwa Yesu, alipochukua mimba Elizabeti, mke wa Zakaria na ilhali huyo mama ni tasa tangu ujana wake na hapo kesha zeeka na kapindukia miaka ya kuzaa. Mumewe, naye, Zakaria alikuwa ni mkongwe. Mwenyezi Mungu amesema katika Qur'ani, Sura ya Al Imran:

Akasema Zakaria: Mola wangu! Vipi nitapata mtoto, na hali ukongwe umesha nifika, na mke wangu ni tasa? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu hufanya apendavyo.
(Qur'ani) Al Imran 3.40
Ilipofika zamu ya Maryam kuchukua mimba Qur'ani inasema:
(Maryam) akasema: Mola Mlezi wangu! Vipi nitampata mtoto na hali hajanigusa mwanaadamu ye yote? (Mwenyezi Mungu) akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho; anapohukumu jambo, huliambia: Kuwa! Basi likawa.
(Qur'ani) Al Imran 3.47
Hizi ni hoja za misahafu, ni hoja za watu wenye imani. Wapo wengineo ambao wamepuuzilia mbali hadithi yote hiyo ya kuwa Maryam kachukua mimba bila ya kuingiliwa na mtu. Hao ni kama Mayahudi ambao wanamtukana Yesu na mama yake kwa kusema kuwa hiyo ni mimba ya haramu. Miongoni ya wataalamu wa Kizungu wenye asli ya Ukristo wapo wanaoamini hayo. Wanasema kuwa imani ya kuzaliwa na mama bikra ilikuwako tangu zamani katika dini za kipagani (kishirikina) kabla ya kuja Yesu. Bikra Rea Silvia alimzaa Romulus wa Roma. Horus wa Misri alizaliwa na Isis, malkia bikra wa mbinguni. Hoja inayotolewa kama ilivyokuwa hizi na nyenginezo ni hadithi za kubuni tu zilioenea pande za Bahari ya Kati, basi ndio hivyo hivyo hadithi ya kuwa Maryam alikuwa bikra alipochukua mimba na kumzaa Yesu ni hadithi ya kubuni kuiga zile zilizotangulia.
Mtaalamu wa Biblia wa Kitaliana, Marcello Craveri anawashutumu wakuu wa Kanisa kwa kutafuta kila kipengee katika Biblia kutoa ushahidi kuwa kuzaliwa kwa Yesu na bikra kuliaguliwa mbele. Kipande kinachonukuliwa mno ni kile kiliomo katika Isaya ambacho kinasema:

Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Isaya 7.14
Mtaalamu huyu anasema maneno haya hayakukhusu kuzaliwa kwa Yesu hata chembe. Kwanza neno la asli halikutaja "bikira" lakini ni "mwanamke kijana". Tafsiri nyingine kama Revised Standard Version zimefuata hivyo ilivyo asli. Neno la Kiebrania liliotumiwa ni almah ambalo maana yake ni mwanamke kijana au msichana. Neno bikra kwa Kiebrania ni bethulah, kama ilivyo katika Kiarabu batuul. Na haya mambo ambayo yametokea zaidi ya miaka 700 kabla ya Yesu yalikhusiana na mke wake Isaya ambaye alikuwa umri wake ni miaka 20 wakati ule na kweli akaja kumzaa mtoto mwanamume. Ama hilo neno Imanueli, maana yake ni Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi, na wala sio maana yake kuwa huyo mtoto kuwa ndiye Mungu. Lugha ya Kiebrania imekaribiana na Kiarabu, na kwa Kiarabu ni Ma'anallah, nalo ni jina la kawaida, na kama kwamba kumwombea kheri huyo mwenye kuitwa. Mtaalamu Isaac Asimov ameeleza wazi juu ya utabiri huu wa Isaya katika kitabu chake, Asimov's Guide to the Bible.
Mtaalamu mwengine mwenye kupima mambo kiakili aitwaye G. Vermes amesema katika kitabu chake Jesus the Jew (Yesu Myahudi) akidai kuwa hili neno "bikira" hata lilivyotumiwa kwa Mariamu yawezekana sana kuwa maana yake ni kuwa mdogo mno kwa uzazi, kama walivyokuwa Sara, Hanna na Elizabeti kuwa ni wakongwe mno, au tasa.
Mwishoe kuna maoni ya mwana-sayansi na daktari juu ya hili suala la kushika mimba mwanamke hali naye ni bikra. Dr. T.H. Van de Velde M.D. akiandika katika kitabu chake cha kitaalamu, Ideal Marriage (Ndoa Bora) anasema:

"Mara nyingi imewahi kutokea, ijapokuwa ni nadra, kushika mimba kwa kupenya mbegu ya uzazi katika utupu wa mwanamke bila ya kuingiza kabisa dhakari, au utupu wa mwanamume. Mifano kama hiyo ni muhimu kabisa kimaisha. Ni dhaahiri kuwa inathibitisha vitu viwili. Kwanza, kuwa katika hali maalumu yawezekana mimba kutiwa ijapokuwa kizinda hakikupasuliwa. Na pili ya kwamba mbegu ya uzazi yaweza kufika ndani ya utupu wa mwanamke kwa njia isiyokuwa moja kwa moja, kwa mfano kwa mguso wa kidole..."
Hapana shaka pana utaalamu mkubwa katika mawazo na fikra hizi, za kidaktari, za kisayansi au za kiakili; lakini ni Qur'ani ndiyo inauweleza ukweli kwa maneno mepesi kabisa hata watoto wachanga wakaweza kuelewa na ikawa ya kuwatukuza Yesu na mama yake:

Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa mchanga kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa. Hii ni kweli inayotoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanaofanya shaka.
(Qur'ani) Al Imran 3.59-60
 
"....na Tukampa ISA, mwana wa Mariyamu ( Yesu mtoto wa Maria) hoja zilizo wazi wazi, na Tukamtia nguvu kwa Roho mtakatifu'' .
(Qur'an 2:87)
Blah blah blah blah, lete tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam? Ukishindwa basi elewa kuwa Allah IS NOT Great.
 
Mkuu Mbokaleo hapa umemaliza asiyetaka kuelewa basi ujue huyo anaifanya imani iwe km ushabiki wa mpira, umefafanua vizuri sana japo wezako wako wengi lakini bado wameshindwa kujibu hoja yako..

mkuu hata kama wako 100! kwenye ukweli UONGO HUJITENGA! MI NNACHOFANYA NI KUWAONESHA ANDIKO LAO WENYEWE!
KITU AMBACHO WENGI WAO HAWALIJUI!!
 

JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?

Makanisa ya Kikristo yanafunza ya kuwa Yesu Kristo si kama kuwa ni Mwana wa Mungu tu, bali hakika ni Mungu khasa. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni mmoja. Watatu katika mmoja, na mmoja katika watatu. Wote ni wa milele, wote ni sawa. Yesu ni Mungu, na Mungu ni Yesu. Hiyo ni imani ya Kikristo, ambayo inaaminiwa na karibu Wakristo wote. Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?
Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema: "Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo." Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa. Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.
Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.
Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:
1.Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
2.Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
3.Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa? Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu? Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"? Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake. La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo. Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.
Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu
 
[h=3]The Manner of Islam[/h]


THE WICKED SHALL NOT INHABIT THE EARTH
Wickedness takes many forms and at different times; however, the greatest wickedness facing the Righteous at present, and I speak of the nation of America and the world, is the religion of Islam. Yet, I'm afraid that the leaders of our nation do not really know or understand what the religion of Islam actually is. This is the type of ignorance that can kill you.


The following will be some simple facts that all need to know. It is derived from "Cullen's Find on Islamization, adapted from Dr. Peter Hammond's book:
Slavery, Terrorism and Islam: The Historical Roots and Contemporary Threat."
Dr. Hammond said, "Islam is not merely a religion, nor is it merely a cult; in its fullest form, it is a complete, total, 100% system of life. Islam has religious, legal, political, economic,social and military components. The religious component is a beard so to speak, for all of the other components."Islamization begins where there are sufficient Muslims in a country to agitate for their religious rights. When politically correct, tolerant, and cultur ally diverse societies agree to Muslim demands for their religious rights, some of the other components tend to creep in as well. Here's how it works:


"As long as the Muslim population remains around or under 2% in any given country, they will be for the most part regarded as a peace-loving minority, and not as a threat to other citizens. This is the case in the following nations:


United States – Muslim 0.6%
Australia – Muslim 1.5%
Canada – Muslim 1.9%
China – Muslim 1.8%
Italy – Muslim 1.5%
Norway – Muslim 1.8%


PROSELYTIZING
"At 2%-5%, they begin to proselytize from other ethnic minorities and disaffected groups, often with major recruiting from the jails and among street gangs. This is happening in:


Denmark – Muslim 2%
Germany – Muslim 3.7%
United Kingdom – Muslim 2.7%
Spain – Muslim 4%
Thailand – Muslim 4.6%


A DEMAND FOR MUSLIM WAYS TO BE ADOPTED
"From 5% on, they exercise an inordinate influence in proportion to their percentage of the population. For example, they will push for the introduction of ‘halal' (clean by Islamic standards) food, thereby securing food preparation jobs for Muslims. They will increase pressure on supermarket chains to feature ‘halal' on their shelves-along with threats for failure to comply. This is occurring in:
France – Muslim 8%
Philippines – Muslim 5%
Sweden – Muslim 5%
Switzerland – Muslim 4.3%
The Netherlands – Muslim 5.5%
Trinidad and Tobago – Muslim 5.8%


SHARIA LAW
"At this point, they will work to get the ruling government to allow them to rule themselves (within their own ghettos) under Sharia, the Islamic Law. The ultimate goal of Islamists is to establish Sharia Law over the entire world.


LAWLESSNESS AS A MEANS TO HAVE THEIR WAY
"When Muslims approach 10% of the population, they tend to increase lawlessness as a means of complaint about their conditions. In Paris, for instance, the world saw the car-burnings. These were Muslims. Any non-Muslim action offends Islam, and results in uprisings and threats, such as in Amsterdam, with opposition to Mohammed cartoons and films about Islam. Such tensions are seen daily, particularly in Muslim sections, such as:
Guyana – Muslim 10%
India – Muslim 13.4%
Israel – Muslim 16%
Kenya – Muslim 10%
Russia – Muslim 15%


JIHAD MILITIA FORMATIONS
"After reaching 20% of the population, nations can expect hair-trigger rioting, Jihad militia formations, sporadic killings, and the burnings of Christian Churches and Jewish Synagogues such as in:
Ethiopia – Muslim 32.8%


TERROR ATTACKS
"When the population reaches 40% Muslims, such nations will experience widespread massacres, chronic terror attacks, and ongoing militia warfare, such as in:
Bosnia – Muslim 40%
Chad – Muslim 53.1%
Lebanon – Muslim 59.7%


Read more »
 
[h=3]MBINU ZINAZOTUMIKA NA WAISLAMU ILI KUHARIBU IMANI YA KIKRISTO KATIKA KARNE YA 20-21 (21st CENTURY ISLAMIC STRATERGIES TO ELIMINATE/CORRUPT CHRISTIANITY IN AFRICA)[/h]


[h=3]Utangulizi:[/h]Leo hii, ukitembea sehemu mbalimbali hapa duniani utakutana na waislamu wengi. Waislamu wameenea kila Bara kama vile Ulaya, Afrika, Asia, na America. Inaaminika kuwa kwa kila watu watano hapa duniani, mmoja kati yao ni mwislamu. Tunashuhudia baadhi ya wakristo wakiacha imani yao na kukumbatia uislamu. Katika Bara la Afrika, uislamu umeenea kwa kasi ya ajabu. Je, ni nini kinachofanya uislamu uenee hivyo? Je, ni mbinu gani zinazotumika ili kueneza uislamu? Fuatilia somo hili ili uweze kujua hayo yote.

1. Maana ya neno "lslam"
Neno 'Islam' Asili yake ni lugha ya 'kiarabu' lenye maana ya 'utii' au 'amani'.

2. Mwanzo wa Dini ya Kiislamu
Neno "Islam" ni tofauti na "Dini ya Kiislamu". Hii ni kwa sababu neno "Islam" lilitumika na waarabu hata kabla ya kuanza kwa dini ya kiislamu. Kwa hivyo "Dini ya kiislamu", maana yake ni "kujisalimisha chini ya amri za Allah" au "Amani chini ya sheria za Allah".

i. Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).

Katika ufafanuzi wa aya ya 19-20, katika Suratul Yusuf 12:20 kuna maneno haya--
Unaona kuuzana kulikuwako zaidi ya miaka 4000 kabla ya kuja dini ya kiislamu aliyokuja nayo nabii Muhammad. Kisha wakausingizia uislamu kuwa ndio uliokuja na kuuza watu.

Kadiri ya aya hizi zote tunaona ya kuwa dini ya kiislamu ilianzishwa rasmi hapa duniani Ramadhan siku ya Jumatatu mwezi 17 sawasawa na Tarehe 27 December mwaka 610 Baada ya Kristo (B.K), na mtu aitwae Muhammad Bin Abdalah Bin Abd-Muttalib Bin Hashim Bin Abd Manafu Bin Kusay. Mama yake aliitwa Amina Bint Wahab.
Ama baada ya kuona mwanzo wa Dini ya uislamu sasa tuanze kuangalia mbinu za waislamu.

3. Mbinu Zinazotumika na Waislamu
Mwanzoni Muhammad, mtume wa waislamu, alitumia mbinu hata za kivita ili kueneza dini yake ya kiislamu. Hata wafuasi wake waliamrishwa kupigana kwa ajili ya dini yao. Qurani inasimulia hivi---

Qurani 5:35 Suratul Al -Maidah (Meza)
Enyi mlioamini mcheni mwenyezi Mungu na tafuteni njia ya kumfikilia (kufikilia pepo yake). Na piganeni kwa ajili ya Dini yake ili mpate kufaulu.
Katika Qurani, kitabu kinachowaongoza waislamu, zipo aya nyingi zinazowaamrisha waislamu
wapigane. Baadhi ya aya hizo ni Qurani 47:4 Suratul Muhammad na Qurani 9:123 Suratul At - Tawba. Muhammad mwenyewe alisema hivi katika kitabu cha hadithi zinazoaminiwa na waislamu wote:-

Sahih Al-Bukhari Vol. 4 Hadith na 196, Ukurasa wa 124:
Imesimuliwa na Abu- Huraira: Mtume wa Allah akasema, Nimeamrishwa kupigana na watu hadi watakaposema hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah; Na yule atakayesema kwamba hakuna apasaye kuabudiwa ila Allah, maisha yake na mali yake yataokolewa nami…

Tafsiri ya Kiingereza:
Narreted Abu-Huraira Allah's Apostle said, I have been orderedt fight with the people till they say, none has the right to be worshipped but Allah ; his life and property will be saved by me…

Hivi ndivyo alivyosema mtume wa waislamu Muhammad,aliye mfano mwema wa waislamu wote (Qurani 33:21 Suratul Al-Ahzab). Muislamu ni lazima atekeleze kama alivyoamurishwa Muhammad na Allah. Tena tunajua kwamba, watu wote hawawezi kusema "hakuna apasaye kuubudiwa ila Allah". Hao wasiosema hivyo, kadiri ya Hadith hii, wanatakiwa kupingwa na kuawawa mara moja. Kadiri ya Qurani, miongoni mwa watu wanaotakiwa kuangamizwa ni "Wayahudi na Wakristo" (Qurani 9:30 sSuratul At-tawba). Katika kufanikisha uendelezaji wa uislamu hivi sasa, waislamu wamebuni na kutumia mbinu mbalimbali.

I. Kuunda Jumuiya na Taasisi Mbalimbali za Waislamu
Hatua ya kwanza iliyotumika na waislamu ni kuunda jumuiya. Waislamu wana jumuiya nyingi hivi sasa na taasisi nyingi Lakini nitazieleza baadhi yake.

i.Jumuiya ya Organization of Islamic Conference (O. I. C.)
Jumuiya hiyo ilianzishwa baada ya kumalizika vita kati ya Israeli na mataifa kumi na tatu (13) ya kiarabu. Vita hivyo vilipiganwa kwa siku sita na vikamalizika tarehe 5/6/1967. Katika vita hivyo waisraeli waliyashinda mataifa yote 13 ya kiarabu. Ina aminika kuwa wakati huo waisraeli walikuwa ni watu wachache wapata watu 400,000 tu. Baada ya kushindwa huko ndipo mataifa hayo 13 ya kiarabu yakafanya kikao cha kutathimini vita hivyo. Mkutano huo ulifanyika mjini Rabat nchini Morocco chini ya mfalme Hassani. Kikao hicho kilifanyika tarehe 25/9/1969 (kalenda ya kiislamu ni mwezi 12 Rajabu 1389), ndipo mataifa hayo yakaanzisha rasmi jumuiya hiyo ya Organization of Islamic Conference (O.I.C.). Hadi kufikia mwaka wa 2001, jumuiya hiyo imeweza kuwa na wanachama mataifa 56 duniani. Na juhudi zinafanyika ili kupata wanachama zaidi. Jumuiya hiyo ndiyo inayopanga na kutekeleza mbinu ya kuendeleza uislamu duniani.

ii.Kuanzisha kwa Jumuiya ya Islam in Africa Organization (I. A. O.)
Jumuiya hii ya 'Islam in Africa Organization' ilianzishwa chini ya O. I. C. na wawakilishi wa dini ya kiislamu kutoka mataifa 24 walikutana na kuunda jumuiya hiyo. Mkutano uliounda jumuiya hiyo ulifunguliwa na aliyekuwa Raisi wa Nigeria aliyeitwa Ibrahim Babangida.
Jumuiya hiyo ndiyo inayohusika kupanga na kutekeleza namna ya kuendeleza uislamu katika bara la Afrika. Jumuiya hiyo ilianzishwa tarehe 28/11/1989 kule Abuja Nigeria chini ya usimamizi wa O.I.C.

iii.Taasisi za Fedha (Tafakari kuhusu Sharia Banking System)
Ili kuendeleza dini ya kiislamu, mataifa ya kiarabu ambayo yana utajiri mkubwa unaotokana na mafuta yamezipatia nchi hizo mtaji usiotazamiwa kumalizika. Utajiri wao unatumika kueneza uislamu kwa kuishambulia imani yetu wakristo. Taasisi za fedha zilizoundwa chini ya jumuiya ya O.I.C. na I.A.O. ni hizi: -
Islamic Development Bank
Islamic Development Fund
Jukumu la taasisi hizo za fedha ni kuhakikisha kuwa wanatoa fedha za kuendeleza shughuli za kukuza na kusaidia nchi wanachama katika kuendeleza miradi ya uchumi, viwanda, biashara, hospitali, visima vya maji, barabara na mashule. Vile vile, taasisi hizo zinatoa fedha ili kuwashawishi hata viongozi wa mataifa mbalimbali ili wajiunge na jumuiya za O. I. C. na I. A. O. Kwa mfano, taifa ambalo lilipewa fedha nyingi mara baada ya kujiunga na jumuiya hizo za kiislamu ni Nigeria ambayo ilipewa dola za kimerikani US $ 21 BILLION. Kwa ajili ya maendeleo ya waislamu. Hata aliyekuwa Raisi wa nchi hiyo, Ibrahimu Babangida, alipokubali nchi yake iwe mwanachama wa O. I. C. na I. A. O., November 1989 kule Abuja Nigeria, Account yake iliyokuwa katika Bank inayoitwa Arab-African lnternational Bank, ilionyesha alikuwa na dola za kimarekani US $ 57.48 Billion. Aidha mawaziri wawili na mkuu wa jeshi, Account zao zilikuwa na fedha nyingi nazo zilionyesha fedha hizi:-
Mmoja alikuwa na US $ 15.2 Billion
Mwingine alikuwa na US $ 17.8 Billion
Mwingine account yake ilikuwa na US $ 24.9 Billion
Na hii ilikuwa ni motisha kwao. Jambo hili linatishia kuangamizwa kwa imani yetu sisi wakristo.




Read more »
 
JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?

Makanisa ya Kikristo yanafunza ya kuwa Yesu Kristo si kama kuwa ni Mwana wa Mungu tu, bali hakika ni Mungu khasa. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni mmoja. Watatu katika mmoja, na mmoja katika watatu. Wote ni wa milele, wote ni sawa. Yesu ni Mungu, na Mungu ni Yesu. Hiyo ni imani ya Kikristo, ambayo inaaminiwa na karibu Wakristo wote. Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?
Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:
Swali lako limeshindwa kuhold watertight!!!!! Hujui hata kuuliza swali. Na hilo ni tatizo la Waislam. Hawana ufahamu hata kidogo.

Pata elimu ya bure hapa:


Ina maana gani Yesu kuwa Mwana wa Mungu?

Jesus Saves




What did Jesus come to do?
 
[h=3]Je, Unafahamu Kuwa Majini ni Ndugu za Waislamu?[/h]

MAJINI [MASHETANI] NI NDUGU ZA WAISLAMU
Na. Mwl. Daniel Mwankemwa

Utangulizi:
Majini ni viumbe visivyoonekana kwa macho ya kawaida ya wanadamu. Hii ni kwa sababu viumbe hivi viko katika asili kutoonekana. Majini huitwa pia Ibilisi, shetani, pepo mchafu au joka la zamani.

ASILI YAO:
Kwa mujibu wa Biblia majini yalikuwa ni malaika kabla ya kuungana na yule muasi mkuu wa Mungu, yaani Lucifer aliyemuasi Mungu mbinguni na kutaka ukubwa wa kufanana na Mungu, na ndipo akatupwa huku duniani yeye pamoja na malaika zake, na huku wakiwa wamenyanganywa utukufu waliokuwa nao hapo awali. Vita hivyo viliongozwa na malaika mkuu wa Mungu wa Mbinguni yaani Yahweh(Yehova) kumtupa chini huyo malaika muasi pamoja na malaika zake. Viumbe hivyo vilivyotupwa ndivyo leo vinaitwa MAJINI au MASHETANI au PEPO WACHAFU au IBILISI au JOKA LA ZAMANI.

Uf. 12:7-12 "Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu."

Hivyo kwa mistari au aya hizo unaanza kupata taswira ya kile tunachojifundiza kuusiana na majini.
Ki-Biblia malaika ni viumbe walio katika hali ya roho ila wanaweza kuonekana kwa umbile la mwanadamu. Mw. 18:1-18, Lk 1:26-28, Kut 3:1-6






Read more »
 


Swali lako limeshindwa kuhold watertight!!!!! Hujui hata kuuliza swali. Na hilo ni tatizo la Waislam. Hawana ufahamu hata kidogo.

Pata elimu ya bure hapa:


Ina maana gani Yesu kuwa Mwana wa Mungu?


Jesus Saves






What did Jesus come to do?





WE NI HODARI WA KU COPY NA KU PASTE BILA HATA KUSOMA UNACHO PASTE!!

WEWE JIULIZE SWALI MOJA MUHIMU SANA!!

MUNGU UNAEMUABUDU UNA IMANI KUWA NI MWENYE HURUMA! MWENYE KUSAMEHE MADHAMBI!! MWENYE MAPENZI MEENGI SAANA! AU SIO??

SASA UNAKUBALI VIPI KUWA MUNGU HUYOHUYO MWENYE MAPENZI NA HURUMA NYINGI ILI AKUSAMEHE WEWE MADHAMBI YAKO! AKAAMUA KUMTOA KAFARA MWANAE MPENDWA, AUWAWE KIFO CHA KIKATILI MSALABANI??

HUONI KWA KUAMINI VYOTE VIWILI UNAJICHANGANYA MWENYEWE?? YAANI MUNGU ANA HURUMA NA MAPENZI!! HALAFU MUNGU HUYO HUYO KAAMUA KUUA MWANAE!!

YAANI WAKATI MWINGINE SIJUI BINAADAMU AKILI YAKE INAKUWA WAPI!! mi nashindwa kuelewa kabisa!!
 
[h=3]Bible Verses that say "Jesus is God"[/h]



Some people claim to believe that Jesus was a "good prophet", but they deny that Jesus is God. If that is you, I would like to encourage you to consider some of these Bible verses:


Matthew 1:23 - "Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel," which is translated, "God with us."

Isaiah 9:6 - For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Isaiah 43:10,11 - "You are My witnesses," says the Lord, "And My servant whom I have chosen, That you may know and believe Me, and understand that I am He. Before Me there was no God formed, Nor shall there be after Me. I, even I, am the Lord, and besides Me there is no Savior."
Revelation 1:17-18; Revelation 2:8 - (Jesus is the First and the Last)

Isaiah 44:6 - (God is the Redeemer)
2 Peter 1:1 (Jesus is the Redeemer) - "To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ"

Isaiah 44:24 - (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 1:1 - In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God... 1:14 - And the Word became flesh and dwelt among us,

John 5:17,18 - "My Father has been working until now, and I have been working." Therefore the Jews sought to kill Him, because He not only broke the Sabbath, but also said that God was His Father, making Himself equal with God.

John 5:23 - that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.


Read more »
 

YAANI WAKATI MWINGINE SIJUI BINAADAMU AKILI YAKE INAKUWA WAPI!! mi nashindwa kuelewa kabisa!!

Wewe hujui hata Asili ya dhambi ndio uelewe Mungu anafanyaje Kazi/ Kwanza tueleze kivipi binadamu awe na dhambi?

Blah blah hazima maana wala saidia kitu.
 
Swali lako limeshindwa kuhold watertight!!!!! Hujui hata kuuliza swali. Na hilo ni tatizo la Waislam. Hawana ufahamu hata kidogo.

Pata elimu ya bure hapa:


Ina maana gani Yesu kuwa Mwana wa Mungu?

Jesus Saves




What did Jesus come to do?

LETS ASK JESUS HIMSELF! WHAT DID HE COME TO DO!! AND WAS HIS MESSAGE AN OPTION??


Does JESUS teaches "JIHAD" (CRUSADES) in bible (LUKE 19:27) ?

"Do not think that I have come to bring peace upon the earth. I have come to bring not peace but the sword. For I have come to set a man against his father, a daughter against her mother, and a daughter-in-law against her mother-in-law; and one's enemies will be those of his household" (Mt 10:34-36).


NAB LUK 22:35

"...And the man without a sword must sell his coat and buy one."




Does JESUS teaches "JIHAD" (CRUSADES) in bible (LUKE 19:27) ?



Luke 19:27
English Standard Version (ESV)OF bible

27 But as for these enemies of mine, who did not want me to reign over them, bring them here and slaughter them before me.'"


SO IF YOU ATTACK MUSLIM FOR FIGHTING TO DEFEND THEMSELVES!
ALL THEIR DOING IS COPYING JESUS! THATS ALL.
 
Waislam Wote Duniani, Allah na Mtume wake Muhammad.

Nileteeni na au nionyesheni tarehe ya Kuzaliwa Isa Bin Maryam kama ilivyo ndani ya Koran.

Mkisha shindwa basi eleweni kuwa Allah is NOT Great. Islam is Bogus and Fraud, inter-alia, Muhammad is a diabolic Prophet of a demigoddess al-lat.
 
Bible Verses that say "Jesus is God"





Some people claim to believe that Jesus was a "good prophet", but they deny that Jesus is God. If that is you, I would like to encourage you to consider some of these Bible verses:


Matthew 1:23 - "Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel," which is translated, "God with us."

Isaiah 9:6 - For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace.

Isaiah 43:10,11 - "You are My witnesses," says the Lord, "And My servant whom I have chosen, That you may know and believe Me, and understand that I am He. Before Me there was no God formed, Nor shall there be after Me. I, even I, am the Lord, and besides Me there is no Savior."
Revelation 1:17-18; Revelation 2:8 - (Jesus is the First and the Last)

Isaiah 44:6 - (God is the Redeemer)
2 Peter 1:1 (Jesus is the Redeemer) - "To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ"

Isaiah 44:24 - (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 1:1 - In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God... 1:14 - And the Word became flesh and dwelt among us,

John 5:17,18 - "My Father has been working until now, and I have been working." Therefore the Jews sought to kill Him, because He not only broke the Sabbath, but also said that God was His Father, making Himself equal with God.

John 5:23 - that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.


Read more »

NOW WATCH THE CONTRADICTIONS HERE!! NDIO UJUE HIKI KITABU KIMECHAKACHULIWA NAMNA GANI!!


Bible Verses That Indicate Jesus Is Not God The Creator


1. Matthew 24:36
No one knows about that day or hour, not even the Son, but the Father only.
Here Jesus makes a distinction between what he knows and what the Father knows.

2. Matthew 26:39
My Father, if it is possible, may this cup be taken from me, yet not as I will, but as Thou will.
Jesus' will is likewise autonomous from God's Will. Jesus is seeking acquiescence to God's will.

3. John 5:26
For as the Father has life in Himself, so he has granted the Son to have life in himself.
Jesus received his life from God. God received his life from no one. He is eternally self-existent.

4. John 5:30
By myself, I can do nothing: I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who has sent me.
Jesus says, "by myself, I can do nothing." This indicates that Jesus is relying upon his own relationship with God. He is not trying to "please myself" but rather is seeking to "please the one who sent me."

5. John 5:19
The Son can do nothing by himself; he can do only what he sees the Father doing, because whatever the Father does, the Son does also.
Jesus declares that he is following a pattern laid down by God. He is expressing obedience to God.

6. Mark 10:18
Why do you call me good? No one is good, except God alone.
Here Jesus emphatically makes a distinction between himself and God.

7. John 14:28
The Father is greater than I.
This is another strong statement that makes a distinction between Jesus and God.

8. Matthew 6:9
Our Father, which art in Heaven.
He didn't pray, Our Father, which art standing right here!"

9. Matthew 27:46
My God, My God, why hast thou forsaken me?
Inconceivable if he is God the Creator.

10. John 17:21-23
. . .that all of them may be one, Father, just as you are in me and I am in you. May they also be in us so that the world may believe that you have sent me. . ..that they may be one as we are one: I in them and you in me.
In this prayer Jesus defines the term "to be one." It is clearly accomplished through the relationship of two autonomous beings. Christian believers are to model their relationship (to become one) after the relationship of God and Christ (as God and Christ are one). Notice that "to be one" does not mean to be "one and the same."

11. 1 Corinthians 15:27-28
For he "has put everything under his feet." Now when it says that "everything" has been put under him, it is clear that this does not include God himself, who put everything under Christ. When he has done this, then the Son himself will be made subject to him who put everything under him, so that God may be all in all.
Paul declares that God put everything under Christ, except God himself. Instead God rules all things through Christ. (remember: "through him all things were made.")

12. Hebrews 1:3
The Son is the radiance of God's glory and the exact representation of his being.
Jesus is the exact representation of his being. I send my representative to Congress. He is not me, myself. He is my representative.

13. Hebrews 4:15 (compared with James 1:13)
For we do not have a high priest who is unable to sympathize with our weaknesses, but we have one who has been tempted in every way, just as we are-yet without sin.
Jesus has been tempted in every way, just as we are, yet he never sinned. See

James 1:13: When tempted, no one should say, God is tempting me. For God cannot be tempted by evil, nor does he tempt.
Jesus was tempted in every way, but God cannot be tempted. This is why Jesus said, "don't call me good, none are good, only God."

14. Hebrews 5:7-9
During the days of Jesus' life on earth, he offered up prayers and petitions with loud cries and tears to the one who could save him from death, and he was heard because of his reverent submission. Although he was a son, he learned obedience from what he suffered and, once made perfect, he became the source of eternal salvation for all who obey him
Jesus had to walk a course of faith and obedience in order to achieve perfection. By achieving perfection, Jesus "became" the source of eternal salvation
 

LETS ASK JESUS HIMSELF! WHAT DID HE COME TO DO!! AND WAS HIS MESSAGE AN OPTION??


Does JESUS teaches "JIHAD" (CRUSADES) in bible (LUKE 19:27) ?

"Do not think that I have come to bring peace upon the earth. I have come to bring not peace but the sword. For I have come to set a man against his father, a daughter against her mother, and a daughter-in-law against her mother-in-law; and one's enemies will be those of his household" (Mt 10:34-36).


.


Teyari umesha kanyaga miwaya weye muhammadan, ha ha ha ha ha ha, wewe unashindwa kusema UKWELI. YAANI WEWE SASA UMEKUWA MUONGO KAMA ALLAH wako na Mtume wake. Pathetic Islam.

HUU NDIO UKWELI WA HIYO Passage. Ilikuwa ni
The Parable of the Ten Minas

11 As they heard these things, he proceeded to tell a parable, because he was near to Jerusalem, and because they supposed that the kingdom of God was to appear immediately. 12 He said therefore, "A nobleman went into a far country to receive for himself a kingdom and then return. 13 Calling ten of his servants,[a] he gave them ten minas,[b]and said to them, ‘Engage in business until I come.' 14 But his citizens hated him and sent a delegation after him, saying, ‘We do not want this man to reign over us.' 15 When he returned, having received the kingdom, he ordered these servants to whom he had given the money to be called to him, that he might know what they had gained by doing business. 16 The first came before him, saying, ‘Lord, your mina has made ten minas more.' 17 And he said to him, ‘Well done, good servant![c] Because you have been faithful in a very little, you shall have authority over ten cities.' 18 And the second came, saying, ‘Lord, your mina has made five minas.' 19 And he said to him, ‘And you are to be over five cities.' 20 Then another came, saying, ‘Lord, here is your mina, which I kept laid away in a handkerchief;21 for I was afraid of you, because you are a severe man. You take what you did not deposit, and reap what you did not sow.' 22 He said to him, ‘I will condemn you with your own words, you wicked servant! You knew that I was a severe man, taking what I did not deposit and reaping what I did not sow? 23 Why then did you not put my money in the bank, and at my coming I might have collected it with interest?' 24 And he said to those who stood by, ‘Take the mina from him, and give it to the one who has the ten minas.' 25 And they said to him, ‘Lord, he has ten minas!' 26 ‘I tell you thatto everyone who has, more will be given, but from the one who has not, even what he has will be taken away. 27 Butas for these enemies of mine, who did not want me to reign over them, bring them here and slaughter them before me.'"

HUNA HAYA WEWE MUHAMMADAN. Siku nyingine kadanganye MSIKITINI na sio kwa Wenye ufahamu Biblia.

FYI. I can teach your ALLAH the Bible na Koran yake iliyo jaa shaka.

KWANINI WAISLAM MNAPENDA SANA KUSEMA UONGO KAMA ALLAH WENU?
 
Back
Top Bottom