kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Unazungumza kuhusu Yesu Kristo halafu unaleta ushaidi wa Korani? Hivi Allah wako anaweza tupa tarehe ya Kuzliwa Yesu Kristo?
Pata elimu ya bure hapa:
Max Shimba: YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) - YouTube
Max Shimba: YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) 2 - YouTube
Halafu muuliza Allah, kwanini alisema kuwa HAKUNA Mungu?
"....na Tukampa ISA, mwana wa Mariyamu ( Yesu mtoto wa Maria) hoja zilizo wazi wazi, na Tukamtia nguvu kwa Roho mtakatifu'' .
(Quran 2:87)
".....Ewe Mariyamu! Mwenyezi Mungu anakupa khabari njemaza neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi, ISA mwana wa Maryamu..."
Quran (3:45)
..Masihi ISA bin Maryamu ni Mtume wa MwenyeziMungu....
(Quran 4:171).
Na Tukawafuwatishia (Mitume hao) ISA bin Maryamu...
(Quran 5:46).
Na Zakaria na Yahya na ISA na Ilyas, Wote (walikuawa) ni miongoni mwa watu wema.
(Qur'an 6:85).
[h=2]YESU NA MAJINA YAKE[/h]Ingawaje Yesu anatajwa kwa jina mara ishirini ndani ya Quran Tukufu, piya kiheshima anaitwa Ibni Maryam (Mwana wa Maryam); Masihi (Messiah kwa Kiebrania) ambalo hutafsiriwa kama Kristo Abd-ullah- mja wa Allah; Rasul-ullah-Mtume wa Allah.Anaelezewa kama neno la Mungu , kama Roho wa Munguishara ya Mungu, na sifa nyingine kemkem za utukuzo zilizotolewa katika zaidi ya sura kumi na tano. Quran inampa heshima Mtume huyu mkubwa wa Mungu, na Waislamu hawajafanya kinyume na hivyo kwa miyaka elfu moja na miya nne.
Hakuna hata neno moja la dharau katika Quran yote ambalo wale Wakristo wenye hiyana zaidi wanaweza kulitafutiya dosari.
[h=2]Nabii Issa (A.S) katika Quran[/h]
| Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa (Yesu), mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa. 2:87 Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa (Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake. 2:136 |