Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Watu wanashindwa kuelewa maana ya dini.Dini ni mfumo wa maisha unaojichagulia.Hata huyo anayesema hana,uko mfumo fulani wa maisha uliojichagulia,huo mfumo wa kusema hana dini,ndio dini yenyewe.

Dini sio mfumo wa maisha pekee bali ni imani kuhusu uwepo wa mungu
 
Mpango Wa Wokovu ni nini?

Una njaa? Si njaa ya chakula, lakini je, una njaa ya kitu Fulani zaidi maishani? Je, kuna hali Fulani ya kutotosheka ndani yako? Ikiwa iko basi Yesu ndiye njia! Yesu alisema, "Mimi ndimi mkate wa kweli. Kila ajaye kwangu hatahisi njaa na aniaminiye hataona kiu" (Yohana 6:35).

Je, umechanganyikiwa? Je, huoni mbele ya maishani mwako? Je, unajihisi kama umeachwa kwenye giza na huoni pa kutokea? Ikiwa hali yako ni kama hiyo basi Yesu ndiye njia! Yesu alisema, "Mimi ndimi nuru ya ulimwengu. Anifuataye hatatembea gizani, bali atakuwa na nuru ya uzima" (Yohana 8:12).

Je, unajisikia kama umefungiwa nje ya maisha yako? Je, umejaribu njia nyingi na kutambua ya kwamba kile ulichokitarajia hakipo ndani yake? Je, unatafuta njia ya kufikia maisha makamilifu? Ikiwa haya ndiyo uyatafutayo, Yesu ndiye njia! Yesu alisema, "Mimi ndimi mlango wa kondoo; aingiaye kupitia mimi ataokolewa. Ataingia na kutoka na kupata malisho" (Yohana 10:9).

Je, watu wengine husababisha kushindwa kwako? Je, uhusiano wako nao umekuwa si wa kina na bila muelekeo? Je, ni kama watu wanakutumia tu kwa manufaa yao? Ikiwa ndiyo hali unayopitia Yesu ndiye njia! Yesu alisema, "Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema hutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo……. Mimi ndimi mchungaji mwema; Ninajua kondoo wangu na kondoo wangu wananijua" (Yohana 10: 11,14).

Je, unashangazwa na kinachotendeka baada ya maisha haya? Je, umechoshwa na maisha ya kupigania tu vitu vinavyooza na kushika kutu? Je, wakati mwingine maana ya maisha yako huionea shaka? Je, unataka kuishi hata baadaya kufa? Ikiwa haya ndiyo uliyonayo basi Yesu ndiye njia! Yesu alisema, "Mimi ndimi huo ufufuo na uzima. Aniaminiye ataishi, hata ajapokufa; na aishiye na kuniamini hata kufa kamwe" (Yohana11:25-26).

Njia ni nini? Ukweli ni nini? Uzima ni nini? Yesu akajibu, "Mimi ndimi njia kweli na uzima.Hakuna afikaye kwa baba bila kupitia kwangu" (Yohana 14:6).

Read more »
 
Sura Al-Baqara 2:109


Many of the People of the Book wish, through envy, to lead you back to unbelief, now that you have embraced the faith and the truth has been made plain to them. Forgive them and bear with them until Allah makes known His will. He has power over all things.

Hapa quran inaongelea watu wa kitabu (yaani Wakristo), na kusema:

Wengi wa watu wa kitabu, kutokana na wivu wao, wanatamani kuwarudisheni kwenye kutoamini baada ya kuwa mmeamini, pamoja na kwamba ukweli umeshadhihirishwa wazi mbele yao. Kwa hiyo wasameheni na kuwavumilia hadi Allah atakapowafunulia mapenzi yake. Yeye ana nguvu juu ya kila kitu.

Quran pia inawaagiza Waislamu katika sura Al Imran 3:20 kwamba:

... if they give no heed, then your only duty is to warn them.

Yaani:

... kama wasipowasikiliza, basi ninyi kazi yenu pekee ni kuwaonya tu.

Kwa hiyo, kutokana na aya hizi mbili, yaani Al-Baqara 2:109 na Al Imran 3:20, tunaona mambo yafuatayo:

1.Ni wajibu wa Waislamu kuhubiri dini yao lakini si wajibu wao kuwalazimisha watu kuamini dini yao.
2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.
3.Ni wajibu wa Waislamu kutoa maonyo tu kwa wale wanaowahubiria.

LAKINI, HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO:

Al-Nisa 4:101

The unbelievers are your sworn enemies.

Yaani,

Wale wasioamini ni maadui zenu wakubwa.

Vilevile inasema katika sura Al-Tawba 9:3

Proclaim a woeful punishment to the unbelievers.

Yaani:

Tangazeni mapigo makuu (ya ole) kwa wasioamini.

Pia quran inasema katika sura Al-Anfal 8:39

Make war on them until persecution is no more and Allah's religion reigns supreme.

Yaani:

Fanyeni vita juu yao hadi kusiwepo na mateso tena na hadi pale dini ya Allah itakapokuwa imetawala.

Maswali:

1. Je, aliyempa Muhammad maneno ya 2:109, 3:20 na yale ya 4:101, 9:3, 8:39 ni huyo huyo au ni wawili tofauti?
2. Iweje aseme kuwa usiwalazimishe watu kuamini bali waonyeni na kuwavumilia tu, kisha anageuka sehemu nyingine na kusema walazimisheni, tena kwa vita?
3. Je, hii si ishara ya tabia ya usahaulifu ambayo si tabia ya Mungu bali ni ya mwanadamu?
4. Kama ni huyo huyo, je, aya hizi zinafanana au zinapingana?
5. Kama zinafanana, ni kwa vipi?
6. Kama zinapingana, huu si ushahidi tayari kuwa quran haitoki kwa Mungu wa kweli kama ambavyo quran yenyewe imeweka kigezo cha kujua hilo? Maana Mungu wa kweli hawezi hata kidogo kusahau jambo alilolisema kabla halafu aje aseme kitu tofauti. Ni viumbe tu ndio wanaweza kusahau na kukosea.
 
Sura Al-Ankabut 29:6


Quran inasema:

Allah does not need his creatures' help.

Yaani,

Allah hahitaji kusaidiwa na viumbe wake. (bila shaka ni katika kutekeleza makusudi na mipango yake).

LAKINI QURAN HIYO HIYO INAWAAMBIA WAISLAMU:

Sura Muhammad 47:7

If you help Allah, He will help you and make you strong.

Yaani,

Kama mkimsaidia Allah, yeye naye atawasaidia na kuwafanya kuwa imara.

Maswali:

1. Umesema huhitaji msaada, kisha unasema tena unahitaji msaada! Je, Mungu anaweza kufanya jambo kama hilo?
2. Aya hizi zinafanana au zinapingana?
3. Je, hii si ishara kuwa aya hizi zilisemwa tu ili kukidhi mahitaji ya wakati fulani, lakini msemaji alipoona anahitaji kuwafanya watu watende kinyume chake, akajikuta amesema tofauti na alivyosema siku za nyuma?

Na tena quran inasema katika sura Al-Baqara 2:244


Fight for the cause of Allah and bear in mind that He hears all and knows all.

Yaani:

Fanyeni vita kwa ajili ya Allah na mkumbuke kwamba anaona yote na anajua yote.

Maswali:

1. Kama kweli Allah hahitaji msaada wa viumbe wake; na kama kweli aliumba ulimwengu wote kwa NENO TU, iweje NENO hilo hilo lisiweze kuwabadilisha wanadamu hadi alazimike kuliingiza ndani yao kwa nguvu, kwa vitisho na kwa ukali namna hiyo?

(Ukristo unashinda na kufanikiwa kwa NENO tu. Maana sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu wetu. Yeye aliumba kwa Neno; na sisi watoto wake, tunaumba kwa Neno hilo hilo. Tunahubiri tu na watu wanaokolewa, wanaponywa, wanalindwa na kusimama na Mungu wa kweli. Huoni kwamba hii hasa ndiyo maana ya nguvu ya Mungu? Hatuhitaji kuchinja au kupiga watu ili wampende Mungu!! Unawezaje, hata tu wewe mwenyewe, kumfanya mwanao au mkeo akupende kwa njia ya vipigo na kulazimisha? yaani, ukitaka mwanao au mkeo akupende utamshikia rungu au panga au bunduki? Je, hiyo si ishara kwamba wewe huna nguvu ndiyo maana unalazimisha? je, huko si kujikanganya maana umetuambia kuwa wewe ni Mungu unayeweza yote?)
2. Je, Allah anapotaka wanadamu wanaomwamini wafanye vita ili kuwalazimisha wasioamini wamwamini, huko si kutaka msaada kwa viumbe wake?
 
NYIE WAKIRISTO HAMUABUDU MUNGU!! NYIE MNAABUDU YESUAMBAE NI MTU!!NA MAMA YAKE NA SIJUI ROHO MTAKATIFU !
NA JUU YA HIVYO MNAABUDU! MASANAMU NA MNAYAPIGIA GOTI KILA SIKU!!

MUNGU WA WAISLAMU NI MMOJA TU!! NA USHAHIDI NI HUU HAPA!
!

112:1to top

112_1.png
Sahih International
Say, "He is Allah , [who is] One,


112:2to top

112_2.png
Sahih International
Allah , the Eternal Refuge.


112:3to top

112_3.png
Sahih International
He neither begets nor is born,


112:4to top

112_4.png
Sahih International
Nor is there to Him any equivalent."




Tatizo kubwa sana kwa Waislam ni Uelewa tu. mungu wa Quran (Allah) ndiye Shetani kwenye Biblia, u8napotafakari ukimchukua mungu wa kwenye quran kana kwamba ndiye wa kwenye Biblia lazima uone maruweruwe.
Kilicho bora ni kujipa uhuru wa kutafakari na kusoma Biblia vema,then ukikwama uliza ili uijue kweli na kweli ikuweke huru. Mnafanya vema kuamini juu ya mungu mmoja na kuw na imani kali juu ya imani yernu hilo.lakini msisahau hata shetani anaamini juu ya Mungu mmoja...hivyo imani yenu haina cha ziada kwani hata SHETANI NDIVYO ANAVYOAMINI,Biblia imeandika juu ya Shetani kuamini Mungu mmoja na kutetemeka,na yeye huyo ndiye kawafundisha na kuweka msisitizo juu ya imani ya Mungu mmoja,nanyi kwa kutokumjua Mungu wa kweli mnafuata mafundisho ya shetani huku fundisho lililokuu ni Kumpwekesha Mungu ambalo ni jambo ambalo shetani analifahamu na kutetemeka kwalo,matokeo yake mnayaishi maisha ya shetani mikamini naye ni Mungu. Janga kubwa hilo.
Ungekuwa na hekima japo kidogo ungejiuliza wewe kama Muislam ni mambo gani yatakufanya Uikimbie Jehanam ambayo kwa mujibu wa Mafundisho ya Allah wenu ndipo kila Muislam ataenda, na hajasema kama mkisha enda mtatoka zaidi ya blah blah kibao juu ya Paradisho yenye mito ya Pombe, Bila akili unauwa watu ili uende ukafaidi mito ya pombe peponi kwa ALLAH, hekima kidogo tu ungejua kwamba huyu Allah ni...HAKIKA POMBE NI MALI YA SHETANI, KAMA KWELI POMBE NI MALI YA SHETANI ? HIYO PEPO ILIYOJAA MITO YA PPOMBE NI PEPO YA NANI KAMA SI SHETANI ? Kwanini hamtakiki kufikiri japo kidogo...?
 
[h=3]Jifunze tofauti hapa: Vitu hadimu hivi ati:

God of the Bible is Not Allah of the Koran
[/h]



Vitu HADIMU ndio vitu gani hivyo!?
Unajua mhutu akijaribu kiswahili lzm kimuumbue!
Mi najaribu kukusaidia max mkwawa!
Nakuhofia adhabu ya Mungu inayo umiza sana!
Na ningependa na wewe uwe ni ktk wanao abudu MUNGU badala ya masanamu!
Ni masikitiko kuona binaadamu mwenzako anapotea na hali anajua!!
 
THE TRUE JESUS!
THIS WILL REALLY HELP YOU! Jesus A Prophet of Allah Khalid Yasin - YouTube

Okoa nafsi yako ndugu! Mauti hayako mbali! Usijivunie hizo pumzi alizokupa Mungu!
Saa yoyote anaweza kuzichukua!
Muogope aliye kuumba! Na wewe unajua kabisa kuwa YESU HAJAKUUMBA!!

Tatizo kubwa sana kwa Waislam ni Uelewa tu. mungu wa Quran (Allah) ndiye Shetani kwenye Biblia, u8napotafakari ukimchukua mungu wa kwenye quran kana kwamba ndiye wa kwenye Biblia lazima uone maruweruwe.
Kilicho bora ni kujipa uhuru wa kutafakari na kusoma Biblia vema,then ukikwama uliza ili uijue kweli na kweli ikuweke huru. Mnafanya vema kuamini juu ya mungu mmoja na kuw na imani kali juu ya imani yernu hilo.lakini msisahau hata shetani anaamini juu ya Mungu mmoja...hivyo imani yenu haina cha ziada kwani hata SHETANI NDIVYO ANAVYOAMINI,Biblia imeandika juu ya Shetani kuamini Mungu mmoja na kutetemeka,na yeye huyo ndiye kawafundisha na kuweka msisitizo juu ya imani ya Mungu mmoja,nanyi kwa kutokumjua Mungu wa kweli mnafuata mafundisho ya shetani huku fundisho lililokuu ni Kumpwekesha Mungu ambalo ni jambo ambalo shetani analifahamu na kutetemeka kwalo,matokeo yake mnayaishi maisha ya shetani mikamini naye ni Mungu. Janga kubwa hilo.
Ungekuwa na hekima japo kidogo ungejiuliza wewe kama Muislam ni mambo gani yatakufanya Uikimbie Jehanam ambayo kwa mujibu wa Mafundisho ya Allah wenu ndipo kila Muislam ataenda, na hajasema kama mkisha enda mtatoka zaidi ya blah blah kibao juu ya Paradisho yenye mito ya Pombe, Bila akili unauwa watu ili uende ukafaidi mito ya pombe peponi kwa ALLAH, hekima kidogo tu ungejua kwamba huyu Allah ni...HAKIKA POMBE NI MALI YA SHETANI, KAMA KWELI POMBE NI MALI YA SHETANI ? HIYO PEPO ILIYOJAA MITO YA PPOMBE NI PEPO YA NANI KAMA SI SHETANI ? Kwanini hamtakiki kufikiri japo kidogo...?
 
mimi ni atheists na mkatoliki safi kabisa....nihitji evidence kabla ya kuamini..sio mara imeandikwa pale mara huku..nashukuru kwa Mungu ninayemuamini ametoa evidence zote..hakuna swali ambalo halijajibiwa...unataka kujua kama kuna maisha baada ya kifo?scientifically iko proved
 
mimi ni atheists na mkatoliki safi kabisa....nihitji evidence kabla ya kuamini..sio mara imeandikwa pale mara huku..nashukuru kwa Mungu ninayemuamini ametoa evidence zote..hakuna swali ambalo halijajibiwa...unataka kujua kama kuna maisha baada ya kifo?scientifically iko proved

Ndugu, huwezi kuwa mkatoliki safi na hapohapo ukawa atheist!
Na hakuna atheist akashkuru mungu!
Atheist hakubali kabisa kama kuna mungu!
Wewe nibwajibu wako kupima hio imani yako ya kikatoliki! Je ! Imekamilika??

Jaribu kuangalia andiko lako! Je liko sawasawa? Na haligongani na kuleta utofauti lenyewe kwa lenyewe?
Katoliki wana imani kuwa yesu ni mungu!

Je akili yako inakubali kuwa mungu anaweza kuzaliwa na mwanamke halafu mungu akauwawa na viumbe aliowaumba mwenyewe??

kwa mujibu wa biblia Ibada yote ya yesu alikiwa akiielekeza kwa Mungu!
Jiulize wewe! Iweje leo wakatoliki waelekezen ibada yao kwa yesu??

Je! Mungu muumba wa kila kitu anawe kuwa na sifa ya kula, kunywa, kwenda choo, na kuchoka??

Ukishachunguza hio imani yako! Ndio utapata jibu.lkn kuabudu tu kwa kufuata mkumbo kutakuja kukupa majuto MAKUU siku ya mwisho.
 
Wacha kudanganya watu wewe!
Kwenye qurqn hakuna Yesu au Jesus kuna Isa,Isa sio Yesu hata kidogo!

Kutoa Povu ni kawaida yenu waparokia!
Unaposema kitu always fuatisha na andiko!
Ubishi wako utakuingiza katika adhabu mbaya sana km hutotaka kuuona ukweli!!
 
Marko 13:5-6

5 Yesu akaanza kuwaambia, Jihadharini, mtu asiwadanganye.
6 Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye, nao watadanganya wengi.

Hapa tunaona mungu wako ana njaa!

Jesus Curses the Fig Tree

Jesus was hungry and when he found that the Fig Tree bore no fruit (it was not the season) he cursed it. Later on the disciples noted that the tree had withered. (paraphrased) Mark 11:12-14.-

Na hapa kumbe mungu ana watoto kedekede na wala sio yesu tu!!

Nephilim: The Sons of God

When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. Genesis 6:1

Sasa we endelea kudanganya watu!
Huo uongo utakutokea puani!!
 
Back
Top Bottom