fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
- Thread starter
-
- #21
Ana squt tamu sanaaNimeipenda sauti yake
Akikaza anaweza akafika level za wizkid ila sio kumfkiaahahaha yani huyo dogo anaeimba kama hana meno hamfikie wiz mnyama starboy.
Pia kuna Zlatan na Joeboy nao wanakuja yente sana.Sawa mkuu.
Ahsante Sana
Hahaha kweliiii??Chiku keto anamkalisha huyu mkush, tupigie promo vyetu alaa
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
tutamleta fiesta dsmNamkubali Sana
Kuanzia dumebi Hadi iron man
Saanaa.Kuna dogo mwingine anaitwa Joeboy ,yupo vizuri sana.