REMA huyu anaweza akawa mkali wa siku zijazo baada ya ufalme wa wizkid na davido kupita

REMA huyu anaweza akawa mkali wa siku zijazo baada ya ufalme wa wizkid na davido kupita

Chalii wa ajabu sana,ngoma zake zote katoa mwaka huu 2019-😀umebi,Iron man,Bad Commando,Iam Rema,American Love.
 
Ana uwezo na anakubalika world wide now.... atatisha ata kabla ya utawala wa davido na wiz kuisha
 
hata marioo atakuja kuwa mfalme baada ya hawa wahasimu kikubwa tu ni kuwa "zama zitazungumza!"
 
Back
Top Bottom