Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
At least Remy Ma kaitendea haki Hip-Hop ....
Remy Ma ni noma, kamchana vibaya sana malaya Nicki Minaj.... Mwanzo Mwisho!Hahahaaa Kibs wewe na hip hop wapi na wapi kaka?
Kwanza umeelewa hata kilichoongelewa humo?
Picturesquely explaining his reasoning.Hahaaaa dayuuum.
What's that all about?
Young MA n shiiiiiidah[emoji23][emoji23][emoji23]acha kuchekesha kadamnasi....
eti amna rapa wa kike anaetema kuliko nicki...,,
iyo mistari ya kusema ana hela na matako[emoji23][emoji23] nigga please.....
Young M.A tuu ni mmoja wa marapa wakike anaechana kuliko nicki.....dogo anadondoka na biti dakika 6....nA sio nyimbo moja na ni hard rap....
Hebu andika hayo uloandika kwa Kiingereza nione....[emoji12] [emoji12]Remy Ma ni noma, kamchana vibaya sana malaya Nicki Minaj.... Mwanzo Mwisho!
Na mdada wa Terror Squad, social media imemkubali....
Kheeee heeee heeee Eeeh!Hebu andika hayo uloandika kwa Kiingereza nione....[emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3]Hii ndiyo tabu ya humu. Wengi wanabishana kwa hadithi wanazoambiana vijiweni, hawafanyi hata uchunguzi kidogo.
Mzee umesearch vzur Rockafella alyeongelewa na Nas?
Mkuu safari hii ina anzia mbali iikibidi utotoni sio kwa Ras Simba utachanganya tu na Ki-bashite au Ki-kolomije. Si ulimsikia baba mchungaji toka Kolomije alivyoongea ki-trump kuna lafudhi na rigid kama kibashite?Duh hivi nyie mnaishi Tanzania maana haya mambo haya mnayajuaje na mimi nikayajue nikawatishe wana wa mtaani kwetu kwa mahabari haya tena kwa ki trump kama chako mkuu...
kweli aisee mkuu maana hata cha ras simba hakiko level hizi za mawingo siyo matawi...Mkuu safari hii ina anzia mbali iikibidi utotoni sio kwa Ras Simba utachanganya tu na Ki-bashite au Ki-kolomije. Si ulimsikia baba mchungaji toka Kolomije alivyoongea ki-trump kuna lafudhi na rigid kama kibashite?
Jamaa kashakujib alyeongewa hapo na sio huyu Billionaire ulyemtajaWewe ndio nikuulize unamjua ni Rockafella yupi?Namjua ni yupi,vizuri sana.
Mkuu with all due respect let me remind you, we see plenty of these immature insults in SHETHER, eg. Nicki's ass implant dropping/falling down ..e.t.c.Exactly, most cats in here (me included) have been brainwashed into just agreeing that Ether was better, yes it got so much love from everyone, but if you take a closer look into what Nas says really, you start thinking maybe it wasn't that great, "cockafella records, gay-z, no moustache, i rock hoes, you rock fellas" these just sound like some over hyped immature insults, especially coming from someone who's considered one of the GOATs, so i am open to hearing other's views on what exactly makes Ether a better song (lyrically) than the takeover, go through the content, explain, don't call me stupid or anyone else.