Tatizo Dan Cooper unaongea kwa kejeli sana as if u are a triple beam n!gga..
Ha! I'm just another n!gga who disrespect when disrespected. I stated my opinion, y'all n!ggas came at me calling me names without even asking what I meant by sh!t I said. If y'all actually came with some reasoning that make sense, that'd be cool, but you come at me with disrespect supported by your opinions or hadithi za vijiweni, I have no choice but to ridicule you, that way you keep off mine.
post: 19927813 said:
Kuhusu AIDS Nas alisema the truth,the billionaire Rockerfellar wa Standard Oil alikufa kwa ukimwi,hiyo ni fact...na kwa diss track any fact is a plus point...Jay talked theories za kulala na Nas baby mama,truth ni ngumu kujua,mwanamke mwenyewe haku prove kama ni kweli,hivyo ni speculation...Ether won because of FACTS na sio kujidai.
Hii ndiyo namaanisha hadithi za vijiweni. Rockefeller ni jina la familia, sio la mtu. Ukitaja tu Rockefeller kumaanisha mtu, akilini anakuja John D. Rockefeller, kwa sababu ndiye mwanaume aliyeliweka hilo jina kwenye ramani ya ulimwengu(check-out
The Men who built America, cool series). Ni sawa na kutaja Nyerere tu kwenye wimbo, obviously watu watadhani ni hayati mwalimu. Na J.D. Rockefeller alikufa zamani sana kabla hata Ukimwi haujafikiriwa.
FACT: Hakuna record ya mwanafamilia yeyote wa Rockefeller kufa kwa Ukimwi, nilishajaribu kutafuta na nikakosa.
FACT: According to Hov's account, Roc-a-fella was named after a neighborhood hustler who used that name as his alias. And that's the dude who allegedly died of AIDS.
FACT: Hov hakuongelea masuala ya kulala na baby mama kwenye takeover. Na hoja zangu zimejikita kujadili kuwa ether ni wimbo m'bovu.
Kitu kingine kinachonisumbua, sielewi kwanini mnapinga hoja zangu na kunikashifu, ikiwa hata hamuelewi lugha nayotumia ambayo ndiyo lugha iliyotumika kwenye tunachojadili.
"Nas argued Rocafella died of AIDS, that was the end of his chapter/
And that's the guy y'all chose to name your company after?/. Now tell me since when people who die with aids don't have nothing to be celebrated for, or paid homage to? Eazy-E died of aids, is he not celebrated? What point, other than ignorance and stupidity, justify writing off one's life just because they die of fcukin aids??"
Kwa kiswahili ningesema, mtu kufa kwa Ukimwi haimaanishi watu wasishangilie au kuiga mazuri aliyoyafanya katika uhai wake. Eazy-E alikufa kwa Ukimwi, ila mpaka kesho anakumbukwa na kupewa heshima yake kwa mafanikio aliyoyapata akiwa hai. Nas alichofanya ni kumuhukumu Roca-a-fella kwa sababu tu alikufa kwa ukimwi, na hiyo kutokana na fikra nyepesi na kukosa uelewa.
post: 19927813 said:
Kuhusu Nas kujiita Escobar,hujui lolote Dan Cooper.
True rival wa Nas alikua Biggie na sio JayZ...ueleww hilo...JayZ came in way later.
Hoja yangu ni ether, wimbo wa Nas kwenda kwa Hov ni m'bovu. Na kwa taarifa yako, Nas alikuwa pia na migongano ya maneno na ushindani na Tupac. Punchline; Sio Biggie pekee ndiye aliyekuwa na ushindani na Nas, pia jifunze kubaki kwenye mada husika boss.
post: 19927813 said:
In the late 90's emerged a trend of rappers creating mafioso rap paralels,Nas formed a rap super group called The Firm,he chose moniker Escobar,AZ alijiita Sosa,pia Foxy Brown,Nature and Cormega walikua na yao.....
FACT: Mafioso ni mwanafamilia wa Mafia ambao ni wataliano, na wamarekani wenye asili ya Italia. Escobar ni walatino. Walatino hawajawahi kuwa Mafioso/Mafia.
post: 19927813 said:
Biggie nae akakurupuka kumuiga Nas,nae akaja na The Commission,japo haiku last a minute due to his demise..Biggie alijiita "Frank White" yule wa King of New York movie,Jay-Z alijiita Iceberg Slim,Lil Cease alijiita Cease DeGenero,Charlie Baltimore alibaki na jina lake hilo hilo,yaani The Commission ni copy ya The Firm..
The Commission ni bodi ya wazee wanaongoza Mafia. Kama Nas angeita kundi lake The Cartel, then ningesema Biggie kaiga, ila The firm na The Commission, hakuna uwiano.
post: 19927813 said:
Huo upuuzi wako wa kudhani Nas kujiita Escobar una equate na AIDS ya bwana Rockerfellar the billionaire na kwamba eti JayZ hajawahi jiita majina ya kimafioso unafeli maana sidhani kama unamjua original mafioso "Iceberg Slim" haswa na ni moniker ya JayZ kipindi hicho na Mafioso Rap sub-genre..
Huwe weka hoja mbili apples na oranges ukaoanisha...
"And here's where I rate Nas pretty stupid. Dude called himself Nas Escobar, after Pablo Escobar. Pablo lived as a drug dealer, killed masses direct and indirect, and died as a drug dealer. Pablo Escobar couldn't even get a proper burial, his death was celebrated. Pablo's life was so shameful, that even his kids changed their names so not to be associated with their father's legacy, and that's the man Nas chose to pay homage to. So even if the bars above were reasonable, Nas doesn't have the right to question others on who they choose to celebrate."
Kwa kiswahili ningesema; Nas kujiita Escobar ikiwa anamuenzi Pablo Escobar, hana haki ya kumsema Hov kwa kumuenzi mtu aliyekufa kwa ukimwi, kama kweli mtu kufa kwa ukimwi ingekuwa dhambi. Hakuna chochote cha kujivunia kuhusu maisha ya Pablo mpaka kifo chake, zaidi ya fedheha na aibu. Jamaa wanae walibadili majina yao na kulitosa Escobar, pamoja na kuhama nchi baada ya m'dingi kufa. Mpaka kesho wanatembelea Colombia kwa usiri na kujificha kutokana na fedheha na sifa mbaya aliyoacha dingi yao. Na huyu ndiye mtu ambaye Nas kachagua kujifananisha naye, au kumuenzi.
post: 19927813 said:
Truely Nas was battling Biggie musically and not the unknown weaker JayZ at the time...
FACT: Ether ilikuwa majibu ya Nas kwa Takeover ya Hov. Biggie was long dead and gone then. And at the time, Hov was the biggest rapper.
post: 19927813 said:
Na kuita maoni ya wenzio "just opinions" wakati na wewe pia unatoa "just opinions" ni ukosefu wa maarifa tu,upo very delusional kudhani wenzio "just opinions" na wewe unatoa authoritative commentaries,ni kujivika cheo hewa since sisi wote humu wewe included tunatoa opinions tu,huna haja ku-grade wenzio.
Already explained up above.