Report: Kenya inaongoza E Africa kwa kuchukiwa na wananchi wake

Report: Kenya inaongoza E Africa kwa kuchukiwa na wananchi wake

hivi ni wapi kuna dirty politics kati ya Kenya na Tz.
Tz ni nchi ya kusadikika broo@ completely a failed state# yawn nchi inarudi nyuma baada ya kusonga mbele# nakumbuka enz za mwalimu Tanzania ilikuwa na viwanda vingi. natulikuwa tu export sana cash crop in the world market@ those day we were the best and biggest economy in East Africa but now we are the poorest nation in the world
 
Am Tanzanian DON't agree with this report. @ kwanza watanzania ndio wengi hatu pendi Kuishi home@,Tanzania ndio ina diaspora wengi kuliko nchi zote EAC but most of them are undocumented@ for eg kuna watanzania weng sana latin America hasa Brazil Colombia Argentina na Mexico wanaish kule and they don't give a shit abt Tz# nadhan wakenya wanapenda nchi yao kuliko wabongo

We normally appreciate the assertion backed with facts and figures from a credible authority.
 
Stop nonsense bro we are hardworking Tanzanian we are not drugmules # tunapambana na maisha yetu abroad tunafanya mishe halali abroad na tunalipa kodi acha ujinga huo si kila alieko south America ni drug dealer@ duck yo idiot
You keep smuggling until the bullet does the unplanned landing on your head deeper.
 
Hapo mbona hujaweka takwimu za nchi nyingine za EA halafu unasema Kenya ndio inaongoza EA?

Halafu wakenya waliopo nje ya nchi zao huwa wanaonyesha nationalism kwa Kenya na wanashiriki sana mambo mengi kuhusu Kenya kuliko hata UG au Tz sijajua labda ni kwa sababu Rais wa TZ hatoki nje ya nchi, au ni sababu TZ hakuna uraia pacha wala wananchi hawapigi kura na hawaruhusiwi kununua ardhi?

Ila naelewa, ukiwa CCM moja ya kazi yako ni kutafuta kwa tochi matatizo ya nchi jirani ili kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi yao ni bora na waendelee kuwa vipofu na kuwashangilia
Umempa za uso😀😀😀
 
Tz ni nchi ya kusadikika broo@ completely a failed state# yawn nchi inarudi nyuma baada ya kusonga mbele# nakumbuka enz za mwalimu Tanzania ilikuwa na viwanda vingi. natulikuwa tu export sana cash crop in the world market@ those day we were the best and biggest economy in East Africa but now we are the poorest nation in the world
Which country in Latino do you live,
 
Kwikwikwikwi supadipu lensi ni kichaa🙄🙄
 
Tanzania is failed state my friends blv me# na mim pia ni Mtz

Sawa ni mTanzania. Lkn hujathibisha hiyo kauli yako.

Nikwambie KITU hii sub forum ina watu WENYE UELEWA wa juu pengine kuliko sub forums zingine za JF. Hapa kila kinachoongewa lazima kiwe na ushahidi. Ndiyo MAANA utakuta watu wanavyojishughulisha kutafuta links kwenye Google.
 
Hakuna proof ya hayo unayoyasema. Hayo ni maneno yako tu yenye nia mbaya na nchi yetu. Most of people kama wewe huwa ni wakenya. Hakuna mtanzania anaweza kwenda kuteseka nchi ya ugenini na kuacha nchi nzuri yenye kila kitu.
Ardhi ipo, Madini yapo, Uvuvi upo nk. Hao watakuwa ni wakenya wanajifanya watanzania au wewe ni mkenya unataka kuchafua nchi yetu tukufu.

Wewe tembea uone Watanzania wenu ng'ambo wanavyoteseka! Hawana docs, hawana elimu au ujuzi. Balaa!
 
Back
Top Bottom