Hapo mbona hujaweka takwimu za nchi nyingine za EA halafu unasema Kenya ndio inaongoza EA?
Halafu wakenya waliopo nje ya nchi zao huwa wanaonyesha nationalism kwa Kenya na wanashiriki sana mambo mengi kuhusu Kenya kuliko hata UG au Tz sijajua labda ni kwa sababu Rais wa TZ hatoki nje ya nchi, au ni sababu TZ hakuna uraia pacha wala wananchi hawapigi kura na hawaruhusiwi kununua ardhi?
Ila naelewa, ukiwa CCM moja ya kazi yako ni kutafuta kwa tochi matatizo ya nchi jirani ili kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi yao ni bora na waendelee kuwa vipofu na kuwashangilia