Kesi ni nyingi lakini zinazoripotiwa polisi ni chache na zinazoifikia mitandao ya kijamii ni chache zaidi kwakuwa kwa sehemu kubwa mambo haya hutokea ama hufanyika kwenye maeneo yao wenyewe..! Malaya wa kichina wanagonganisha magari kwa kwenda mbele
Iko hivi; Kwanza lazima utambue hawa wachina unaowaona wanafanana wote kila mtu ana kabisa yake... Na wako hapa kwa makundi yao ya kikabila na ni kitu cha kawaida kukuta kabia moja halielewi lugha ya kabila lingine
Hawa wote wanaunganishwa na lugha ya Kichina inayoitwa Mandarin Chinese na ndio lugha inayoongewa na waswahili wengi
Utofauti wa lugha na maeneo watokayo huwatofautisha kwa mbali mno...
Ukiwaona wa kamari hao wanatoka Fu jian, wanapenda kuongea kwa sauti kama wanafoka, wana mishe nyingi na temper yao iko juu sana.. Hawa wanaongoza kwa kupenda shortcut na biashara haramu wao ni kama uji na mgonjwa
Kuna wauza nguo, wauza viatu, wajenzi nknk.. Hawa wote hutofautiana mpaka vyakula na hata ile migahawa yao ya kichina iko kwenye mfumo huo
Wala mbwa na wanyama wa ajabu ajabu
Wapenda pilipili sana
Wachafu sana
Wavuta sigara sana nknk
Ongezeko lao Tanzania na kufunguka kwa biashara huria hasa kipindi cha JK kuliwafanya wengi waliokuja huku watake huduma ya ngono ambayo kwa wanawake wetu mila na desturi zilipishana , hivyo baadhi yao wazee wa fursa wakaanza kuwaleta mabinti wa kichina kwa ahadi ya kazi, ambapo hata hivyo waliishia kwenye majumba yaliyokodishwa na hao waliowaleta na kufanyishwa biashara ya ngono
Hapo kabla mabinti wachache niliobahatika kuongea nao kwa kificho sana na hofu kuu walitamani sana wapate msaada walau wa ubalozi ama namna ya kuwanasua toka mikono ya hao waliowaleta ambao huwapokonya hati zao za kusafiria na kuwafanyisha ngono hata mara tano au sita kwa siku...!
Kinachofanyika ni hiki.. Hawa wauza binadamu wenzao ni magenge yenye biashara haramu toka huko kwao lakini huku hujificha nyuma ya biashara yoyote halali ya kuzugia...
Hupenda kuchagua zile nyumba za apartments na hupenda kupanga kwenye apartments ambazo wamiliki wake wana nguvu kwenye mamlaka za nchi hasa wanasiasa na wafanyabishara wakubwa. .. Hapo wana uhakika wa watu wao kutobughudhiwa na uhamiaji ama mamlaka zingine.. Maeneo wanayopendelea sana ni Masaki na Mikocheni kisha mitaa ya Posta na mwisho ni Kariakoo ama Ilala kwa uchache sana
Humo kwenye apartment ya bedroom 3 huwekwa mabinti kuanzia sita mpaka kumi.. Ambao hawawezi kutoka bila ruhusa ya bwanamkubwa
Kishapo kichachofanyika hapo sasa hao wauzaji kutangaza biashara kwa wenzao kwa kigezo cha kufanyiwa masaji... Ambapo rates ni kama ifuatavyo
Saa moja ni $100 mpaka 200 kulingana na uzuri.. Hiyo ni tofauti na gharama za gesti/hotel ambao nao huchaji kati ya $70 mpaka 100 kwa shortime.. Moja maarufu kwa shughuli hizo iko sealander Lakini nina hakika siku hizi zimekuwa lukuki
Kukaribishwa nyumbani (penye danguro) chakula na vinywaji ni $300 mpaka 500.. Hizi ni za enzi hizo
Kutoka naye dinner nayo ni $200 mpaka 300
Baaadhi ya nyakati na kwa baadhi ya wanyange dau hufika mpaka $600 .. Na hasa hasa siku za weekend, sikukuu ama kwenye matukio maalum
Binti mmoja kwa siku anaweza kulalwa na wanaume mpaka watano.. Kinachofanyika.. Tajiri ndio anapokea simu ya mhitaji kisha anamtuma dereva (mara nyingi gari zao ni Noah, Alphard nk zenye Tinted.. Kazi ya dereva ni kwenda apartment kumchukua anayetakiwa na kumepeleka anapohitajika, kumsubiri kisha kumrudisha..
Kwa mahitaji yalivyo makubwa kila binti kila siku hapungui kulalwa si chini ya mara mbili
Fuatilia part two namna ugomvi unavyotokea na hatimaye kuumizana, kujeruhiana na hata kuuana....
Itaendelea..