Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
1. Waziri wa Afya - out
2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out
3. Waziri wa kilimo - out
4. Waziri wa Elimu - out
5. Waziri wa Nishati - out
6. Waziri wa ardhi - out
7. IGP - OUT
8. Mkuu wa uhamiaji - out

Kuondolewa Kwa :-
6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia
7. DC na Das kote alikopitia
8. Wakuu wa mikoa na RAS kote aliko pitia
9. Makatibu wawilaya na mikoa wa CCM kote alikopitia
10. RPC NA ODC kote alikopitia.
 
No 7 kumtoa unahitaji 2/3 ya wabunge!!,NO ninaota hapa,President anaweza kum fire muda wowote loooo tunaishi nchi ya ajabu
 
Mambo hayaendi HIVO Kbisaa
 
Reactions: DPN

Sio lengo la hayo maigizo.
 
Ukishawatoa unarudisha tena makada wa Lumumba, vijana wa UVCCM na masela wenye connection na system jumlisha wale waliopumzishwa zamani Kwa sababu mbalimbali.

Halafu wakisharudi hakuna Kpi's, targets wala checks and balance Bali ni mwendo uleule mchibuyu.
 
Ndoto ya Abunuwasi
 
Reactions: DPN
Lengo ni uchaguzi so ikifanyika hivyo ni kuwapumbaza wananchi na ile kauli ya "toka nje kuna mvua..." Wakati huyo unaemwambia yupo huko huko nje.

Wakiwakata hao viongozi basi sababu ni hiyo!.
 
Mbona kama kapita nchi nzima...huyo Rais mwenyewe vipi!?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…