Repoti yako ya mwaka 2010 imetoka!!!

Repoti yako ya mwaka 2010 imetoka!!!

dah! mkuu nilikutegemea unipigie debe naona unalishindilia misumari jeneza

mmmhhh wewe
hukusikia panadol ina uwa?

afadhali hata Klorokwin inakupa tu kichaa kwa mwaka
hahhahahhh lol

hahahahahaha,
Nilikua naifanyie experementi lab,
nimegundua hii klorokwini ni bomba sana,
inatibu hata vichaa.
Naamuru watu wote waanze kuimeza akiwemo afridenzi. lol
 
mmmhhh embu acha hayo maneno dear..
na mie ntabakia na nani ??

mmmhh mie bado namuhitaji sana
naogopa kwa mpweke..
na ninahitaji blanket langu usiku dear.
haahah lol

tutakupatia tabutupu ana A+++ ya uvumilivu na kulala bila nguo
 
tutakupatia tabutupu ana A+++ ya uvumilivu na kulala bila nguo

hahahahaha,
hiyo ya kulala bila nguo ili kuwa option sikufanya. halafu tutagombana maana mie sijui lolote na mwenzangu ana A+++++.
 
hahahahahaha,
Nilikua naifanyie experementi lab,
nimegundua hii klorokwini ni bomba sana,
inatibu hata vichaa.
Naamuru watu wote waanze kuimeza akiwemo afridenzi. lol

mmmhhhh yaani we ndo umegundua leo dear
kuwa Klorokwin inatibu kila ugonjwa
mmmhh ila unatakiwa ufuate maelezo

wewe huoni AD alivyo kuwa addictive
hahahah lol
 
mmmhhhh yaani we ndo umegundua leo dear
kuwa Klorokwin inatibu kila ugonjwa
mmmhh ila unatakiwa ufuate maelezo

wewe huoni AD alivyo kuwa addictive
hahahah lol

wewe kweli unaifahamu klorokwini, nazani ipo haja ya ku upgrade dozi yako. yule husninyo yeye akila tembe moja tu anatapika na kupandisha mashetani
 
mmmhh mie sitaki yeye alale bila nguo..
mie nataka awe nazo ili nizitoe mwenyewe
hahahaha lol

kwa meno? hehehe i hope hakuna under 18 viewing zis sred...........tusje tukahukumiwa kwa kosa la "online pedofail"
 
sku ile youtube walikomplein , walisema video zao kama 50 hivi zilipotea ndani ya sekunde 20 katika mazingira ya kutatanisha. nazani microsoft ilibidi waingilie kati kusuluhisha baina ya youtube na JF.
Halafu jamaa kapotea katika mazingira ya kutatanisha isiwe TF kamtangazia U.S kuwa ni gaidi lililokubuhu lol!
 
wewe kweli unaifahamu klorokwini, nazani ipo haja ya ku upgrade dozi yako. yule husninyo yeye akila tembe moja tu anatapika na kupandisha mashetani

mmmhh atazoea tu dear..
klorokwin ni chugu kama hujaizoea..
lakini ukichukua mara 2 au 3
ina utamu zaidi ya asali
hahah lol
 
Halafu jamaa kapotea katika mazingira ya kutatanisha isiwe TF kamtangazia U.S kuwa ni gaidi lililokubuhu lol!
hakyanani kuna namna sio bure. jamaa alikuwa mida kama hizi analembea mapost kama ana keyboard 2 vile. lakini tangu jana haonekani kabisa yaani.
 
kwa meno? hehehe i hope hakuna under 18 viewing zis sred...........tusje tukahukumiwa kwa kosa la "online pedofail"

mmmhhh
duuhhhh
hopefull not..
maana kama wapo sasa watakuwa blind..
maana kuna thread nyingine humu :shut-mouth::doh:
 
hakyanani kuna namna sio bure. jamaa alikuwa mida kama hizi analembea mapost kama ana keyboard 2 vile. lakini tangu jana haonekani kabisa yaani.
AD mwenyewe anazuga hapa anasubiri labda Youtube atatokea,nadhani TF kamwambia Uncle Sam jamaa ni nduguye Ghailani.
 
Back
Top Bottom