Reputable NGO kutokutoa interview feedback kwa candidate

NdO Utulie Sasa,,watakuita.
 
Kama unajua kabisa kuwa wana kawaida ya kuchelewa na kutojibu email kinachokufanya ufungue thread ni nini? Wakati mwingine wanaweza kukuona kama hata kama watakuajiri unaweza kuja kuwa msumbufu. Wewe kama uliambiwa subiri inabidi usubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…