Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
NdO Utulie Sasa,,watakuita.Mkuu unaonekana upo konki sana,,,,Kwa Ile nafasi ilivyo haiitaji uharak coz Kuna watu 7 so walikuwa wanaongeza mtu wa nane,,ubize ni kweli maana interview ilikuwa nafanya na country Manager na Mama yupo Australia,,,huyo ndo yupo busy sana,,interview nilizofanya mara nyingi zilisababishwa na ubize wa yule mama, imagine toka no fanye application miezi miwili na nusu imepita ila Bado ni ma interview tu